Uchaguzi 2020 Jinsi ya kuweka vema✅ kuchagua Rais wa Tanzania

Jiandae kisaikolojia maana ndio utaikuta chumba cha kura. Hiyo ni mfano tu kama hutaona vyama vyote vingine vimekatwa hapo
Kwanini uweke alama ya tiki kwenye kibox cha ccm?
Kama siyo kutafuta vichwa.
 
Bado siku chache tuifikie 28 Oktoba 2020 ambayo itaamua Tanzania inachukua mlengo gani wa kisiasa na kiuchumi.

Hivi ndivyo inavyotakiwa kupiga kura kwa kuweka alama ya Vema kumchagua Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
Chadema siioni mbona ?
 
Iongezee wewe, hivyo ulivyoona ndivyo Watanzania watafanya October 28th.

Kura zote za ndio ni kwa JPM.

JPM ANATOSHA
CCM KWA MAENDELEO YA TANZANIA
Niiongezee wapi? Ni jukumu langu? Hicho kichwa chako ni furushi la kubebea makamasi tu?
 
Niiongezee wapi? Ni jukumu langu? Hicho kichwa chako ni furushi la kubebea makamasi tu?
Na wewe ndio pua yanapotokea makamasi...

If you can't fight them then JOIN THEM...CCM ni magwiji wa SIASA ZA UKANDA HUU.

JPM ANATOSHA
CCM KWA MAENDELEO YA TANZANIA
 
Ccm chama nakiamini sana kwa kuwajali wanachama wake. Mimi namiliki Ford Ranger.
Yaani gari niliyokuhonga ndio unakuja kuwatambia watu huku.!? Je nikikupa V8 sindo utatamba mpaka kwenye vyombo vya habari vya TBC CNN na BBC...
 
Ukishika karatasi yako weka tiki hapo mwanzoni usijichoshe kabisa kuangalia huko kwingine.
 
1603306494803.png
 
Back
Top Bottom