Vyuo Vikuu vya Tanzania, Rais Samia anastahili Degree ya heshima katika kutatua Tatizo la maji, Mpeni na J.Aweso kwa usimamizi mzuri wa sekta ya maji

Robert S Gulenga

JF-Expert Member
Jan 3, 2013
2,215
1,533
Watanzania tulio zaliwa vijijini tunajua shida ya maji iliyokuwa inapatikana katika vijiji vyetu.

Tumpe Maua yake Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan kwa kumtua ndoo mama kichwani. Kwa sasa zunguka vijiji vyote vya Tanzania maji yanapatikana kila nyuma.

Hongera Mh. Aweso, kazi yako inaacha alama, hujamuangusha Mh Rais.

Mwenyezi Mungu ibariki Tanzania
 
Back
Top Bottom