Jinsi ya Kusajili kampuni katika Jamhuri ya Muungano wa Tanzania


S

SIDINHO

New Member
Joined
Aug 25, 2018
Messages
1
Likes
0
Points
3
S

SIDINHO

New Member
Joined Aug 25, 2018
1 0 3
Wana JF naomba mwenye taarifa za taratibu za kusajili kampuni ya madini pale nyumbani Tanzania anisaidie.

Natanguliza shukrani zangu.

-------------------------------------
Like it very much, its helpfull
 
Sweetbert Bikonya

Sweetbert Bikonya

Member
Joined
Aug 26, 2018
Messages
10
Likes
7
Points
5
Sweetbert Bikonya

Sweetbert Bikonya

Member
Joined Aug 26, 2018
10 7 5
[NJINSI YA KUSAJIRI KAMPUNI]1. Kwanza chagua jina halafu nenda Brela kasajili jina. It's a one day process.

2. Baada ya kupata 'OK' ya jina. Nenda kwa mwanasheria akuandalie documents mbili muhimu. Hii ni The Memorandum of the Company na Articles of Association copy nne nne. This is a Two days Job.

3. Unarudi Brella na kujaza forms na ku-submit na hizo documents na unalipia - applicable fees. This is another two days job.

In total 5 working days zinatosha kusajili kampuni. Ukianza Jumatatu, unamaliza Ijumaa. Kama una mkono mrefu, unaweza kufanyiwa kwa Fast Track na ukamaliza mambo yote in a day or two.
Kuna tatizo la kupeleka jina Brela mwisho wa siku unakuta jina ulilopeleka limeuzwa.Hii imekaaje kisheria maana mimi nilipeleka jina la Biko ambalo ni kiunganishi cha jina la baba matokeo baada ya miezi kama 2 nikakuta limeuzwa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
RED BULL

RED BULL

JF-Expert Member
Joined
Feb 12, 2018
Messages
707
Likes
561
Points
180
RED BULL

RED BULL

JF-Expert Member
Joined Feb 12, 2018
707 561 180
Kwanini Brela wanazingua kusajili Kampuni ? Kila siku wanasema system IPO down sijui INA matatizo, je ni Kweli hii kitu au ni hujuma wakati MTU umelipia kila kitu?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Afrolink-Tz Consult Ltd

Afrolink-Tz Consult Ltd

JF-Expert Member
Joined
Feb 25, 2018
Messages
291
Likes
428
Points
80
Afrolink-Tz Consult Ltd

Afrolink-Tz Consult Ltd

JF-Expert Member
Joined Feb 25, 2018
291 428 80
Kwanini Brela wanazingua kusajili Kampuni ? Kila siku wanasema system IPO down sijui INA matatizo, je ni Kweli hii kitu au ni hujuma wakati MTU umelipia kila kitu?

Sent using Jamii Forums mobile app
Nakushauri ingia ktk website yao www.brela.go.tz juu pale pna kipengele cha contacts, cheki utaona namba za simu kuwasilisha malalamiko. Wasilisha hapo kwa kumpigia cm ya mkononi mhusika moja kwa moja

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ubombo

Ubombo

Senior Member
Joined
Jun 27, 2018
Messages
181
Likes
83
Points
45
Ubombo

Ubombo

Senior Member
Joined Jun 27, 2018
181 83 45
Wana JF naomba mwenye taarifa za taratibu za kusajili kampuni ya madini pale nyumbani Tanzania anisaidie.

Natanguliza shukrani zangu.

-------------------------------------
:):):):)
 
RED BULL

RED BULL

JF-Expert Member
Joined
Feb 12, 2018
Messages
707
Likes
561
Points
180
RED BULL

RED BULL

JF-Expert Member
Joined Feb 12, 2018
707 561 180
Credit

Credit

JF-Expert Member
Joined
Sep 10, 2015
Messages
309
Likes
168
Points
60
Credit

Credit

JF-Expert Member
Joined Sep 10, 2015
309 168 60
Hivi hata hizi non-profit associations nazo zinasajiliwa BRELA? Kama siyo, ni taasisi gani inasajili hizi associations?
NB: Non-profit associations ni taasisi/kampuni zisizo za kibiashara. Msaada tafadhali.
 
Afrolink-Tz Consult Ltd

Afrolink-Tz Consult Ltd

JF-Expert Member
Joined
Feb 25, 2018
Messages
291
Likes
428
Points
80
Afrolink-Tz Consult Ltd

Afrolink-Tz Consult Ltd

JF-Expert Member
Joined Feb 25, 2018
291 428 80
Hivi hata hizi non-profit associations nazo zinasajiliwa BRELA? Kama siyo, ni taasisi gani inasajili hizi associations?
NB: Non-profit associations ni taasisi/kampuni zisizo za kibiashara. Msaada tafadhali.
Zinasajiliwa BRELA pia ambazo zinakuwa ni limited kampuni zisizo na shea (non-profit associations)
Gharama zake angalia ktk fomu ya "fee structure" za BRELA ni 300k+ (cheki no 2)

Ukisajili hii then unaweza kusajili km NGO ktk ngazi ya utendaji wilaya, mkoa, taifa au kimataifa Wizara ya Maendeleo ya Jamii na watoto
screenshot_2018-09-02-21-00-39-60-jpg.854849
img_20180818_225120-jpg.854853


Sent using Jamii Forums mobile app
 

Attachments:

Credit

Credit

JF-Expert Member
Joined
Sep 10, 2015
Messages
309
Likes
168
Points
60
Credit

Credit

JF-Expert Member
Joined Sep 10, 2015
309 168 60
S

Samrob

New Member
Joined
Sep 24, 2018
Messages
1
Likes
0
Points
3
S

Samrob

New Member
Joined Sep 24, 2018
1 0 3
Uko nje ya nchi...unataka kuchimba madini...this is latest point ya mining....kwa maana halisi ni kwamba labda useme unataka kufanya exploration ya madini..tanzania..na hapo unasajili company ya exploration....

Unafanya utafiti maeneo yako then ukisha pata deposit ya kutosha ya madini kuweza kuchimba kwa mfani 5-10 Million Oz..(kipimo cha Gold)then unaweza ku apply Mining license.Ila unaweza at the same time ukawa na license mbili katika company moja nimeona kwenye company moja Tanzania royality company hawa wana licence ya mining and exploration..ila wamefanya kaujanja kamoja ka kuwa na company mbili katika mwamvuli mmoja.Moja ikiitwa mama na nyingine dada.

Kwa ushauli exploration mining tanzani ni ngumu sana hata ma kampuni makubwa sasa yanatapata shida kufanya kwa kuwa eneo kubwa la tanzania limeshafanyiwa utafiti unawe zakuwa na PL 100,100% ownership lakini ukifanya exploration kwa level ya kwanza haikupi matumaini kwenda level ya pili...at the end of the day inakuwa useless.

So kuwa makini sana unapo kuja kufanya mambo kam hii tanzania..most of wa wawekezaji wanakuja fanya JV(Join venture) na company zenye maeneo...kwani kuna about 50 - 100 exploration company kanda ya ziwa acha uko kusini mwa tanzania kwenye uranium.

Asubuhi njema
Nimependa mawazo yako kaka
 
teamsolution

teamsolution

Member
Joined
Jun 19, 2017
Messages
23
Likes
24
Points
5
teamsolution

teamsolution

Member
Joined Jun 19, 2017
23 24 5
Taratibu Za kisajili Kampuni, Tanzania
usajili wa kampuni (BRELA)na masuala mengine mengi kama vile Leseni ya biashara, hati miliki; hufanywa kwa mfumo wa wa Usajili kwa njia ya Mtandao (ORS)
Hatua za lazima za kuingia kwenye mfumo wa ORS ni kama zifutazo;
(i) Kuwa na namba ya Utambulisho wa Utaifa inayotolewa na Mamlaka ya Vitambulisho vya Taifa (NIDA)
Namba ya Utambulisho wa Utaifa ndiyo kitambulisho pekee cha kuingia kwenye mfumo wa ORS.
Wakurugenzi na Makatibu wa Kampuni pamoja na Namba ya Utambulisho wa Utaifa ni lazima pia wawe na Namba ya utambulisho wa Mlipa Kodi (TIN) na kama siyo watanzania wanapaswa kuwa na namba ya pasi ya kusafiria.
Kama ni mgeni (siyo Mtanzania) ambaye anatarajia kusajili Kampuni Tanzania anatakiwa awe na namba ya pasi ya kusafiria (Passport Number) au namba ya kitambulisho cha utaifa kinachotolewa na Mamlaka ya Vitambulisho vya Taifa (NIDA).
(ii) Wakati unaandaa Malengo na Katiba ya Kampuni (Memorandum and Article of Association) hakikisha malengo unayojiwekea yameendana na shughuli unazozichagua kwenye mfumo wa ORS kwa mujibu wa ‘ISIC classification’ ambayo inapatikana kwenye mtandao na kwenye Tovuti ya BRELA www.brela.go.tz
Ili kuepuka usumbufu na kuchelewa hakikisha unakuwa na namba ya utambulisho wa Utaifa pamoja na namba ya utambulisho wa mlipa kodi kabla ya kuanza taratibu za usajili. Kwa kampuni zilizosajili zilizowasilisha maombi ya kusajiliwa kabla ya tarehe 1 Februari 2018, tafadhali zingatia yafuatayo:-
(i) Kuwa na Namba ya Utambulisho wa Utaifa (National Identification Number (NIN) inayotolewa na Mamlaka ya Vitambulisho vya Taifa (NIDA).
(ii) Wakurugenzi na Katibu wa kampuni kuwa na Namba ya Utambulisho wa Mlipa Kodi (TIN) na Namba ya Utambulisho wa Utaifa (NIN), kwa wasio Watanzania wawe na namba ya pasi ya kusafiria.
(iii) Ingia kwenye mfumo na uchague ‘Filing Annual Returns/Accounts ingiza taarifa muhimu.
(iv) Kuhakiki taarifa za kampuni yako katika ofisi ya Msajili wa Makampuni ikiwa nyaraka kwenye jalada lako hazijasajiliwa au hujawasilisha Mizania (annual returns) ya miaka ya nyuma.
Note:Bila kuweka nyaraka zako kwenye mfumo, hutaweza kuwasilisha taarifa/mizania ya Mwaka, kubadilisha Makatibu wa kampuni, taarifa za benki na kadhalika.


UNAHITAJI MSAADA ZAIDI NA KWA USHAURI, TUPO TAYARI KUKUSAIDIA KWA GHARAMA NAFUU. WASILIANA NASI 0684205039
 
faru joni

faru joni

JF-Expert Member
Joined
Dec 21, 2016
Messages
364
Likes
587
Points
180
Age
48
faru joni

faru joni

JF-Expert Member
Joined Dec 21, 2016
364 587 180
Habarini za asubuhi ndugu zangu....

Poleni na pilikapilika za kutafuta chakula cha kila siku...

Mada

Nataka kujua je kuna uwezekano wa kusajili kampuni as "INTERNATIONAL NON GOVERNMENT ORGANIZATION"

Na kama inawezekana pale BRELA, process zake zimekaaje..

Asanteni:
 
taiter

taiter

Member
Joined
Mar 22, 2018
Messages
43
Likes
54
Points
25
taiter

taiter

Member
Joined Mar 22, 2018
43 54 25
Hii ni taasisi sio kampuni, unatakiwa uwe na
muktasari wa kikao cha wajumbe waliokaa na kukubali kuanzishwa kwa taasisi,
cv's au wasifu wa Mwenyekiti, Katibu na mweka hazina,
barua ya afisa maendeleo wa mkoa, wilaya, halmashauri au Manispaa ambayo inakutambulisha,
passport size mbili kwa Katibu, Mwenyekiti na mweka hazina
Ada yake ni 115000 kama sijakosea hii ada ni kwa taasisi inayokusudia kufana kazi zake ndani ya tanzania
Pia unatakiwa ujaze form namba moja ya NGOs'
Usajili wake haufanyiki brela unafanyika wizarani huku Dodoma ofisi zao ziko udom wizara ya afya, jinsia na maendeleo ya jamii kama sijakosea ila ni wazar ya afya
 

Forum statistics

Threads 1,250,502
Members 481,371
Posts 29,735,853