Jinsi ya Kusajili kampuni katika Jamhuri ya Muungano wa Tanzania | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Jinsi ya Kusajili kampuni katika Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Discussion in 'Biashara, Uchumi na Ujasiriamali' started by Mchaga, Nov 10, 2008.

 1. Mchaga

  Mchaga JF-Expert Member

  #1
  Nov 10, 2008
  Joined: Apr 11, 2008
  Messages: 1,372
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 135
  Wana JF naomba mwenye taarifa za taratibu za kusajili kampuni ya madini pale nyumbani Tanzania anisaidie.

  Natanguliza shukrani zangu.

  -------------------------------------

   
 2. C

  CottonEyeJoe JF-Expert Member

  #2
  Nov 10, 2008
  Joined: Jan 8, 2008
  Messages: 330
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 35
  Unapitia through Brela kama makampuni ya kawaida tu, lakini kuruhusiwa kuchimba mawe inabidi aidha uwe na GML au PML (Prospecting Mining Licence) licence ya eneo amabalo unachimba hayo mawe na hii unapata kutoka ofisi ya MADINI.
   
 3. Mchaga

  Mchaga JF-Expert Member

  #3
  Nov 11, 2008
  Joined: Apr 11, 2008
  Messages: 1,372
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 135
  Asante sana CottonEyeJoe
   
 4. Buswelu

  Buswelu JF-Expert Member

  #4
  Nov 11, 2008
  Joined: Aug 16, 2007
  Messages: 1,989
  Likes Received: 42
  Trophy Points: 145
  Uko nje ya nchi...unataka kuchimba madini...this is latest point ya mining....kwa maana halisi ni kwamba labda useme unataka kufanya exploration ya madini..tanzania..na hapo unasajili company ya exploration....

  Unafanya utafiti maeneo yako then ukisha pata deposit ya kutosha ya madini kuweza kuchimba kwa mfani 5-10 Million Oz..(kipimo cha Gold)then unaweza ku apply Mining license.Ila unaweza at the same time ukawa na license mbili katika company moja nimeona kwenye company moja Tanzania royality company hawa wana licence ya mining and exploration..ila wamefanya kaujanja kamoja ka kuwa na company mbili katika mwamvuli mmoja.Moja ikiitwa mama na nyingine dada.

  Kwa ushauli exploration mining tanzani ni ngumu sana hata ma kampuni makubwa sasa yanatapata shida kufanya kwa kuwa eneo kubwa la tanzania limeshafanyiwa utafiti unawe zakuwa na PL 100,100% ownership lakini ukifanya exploration kwa level ya kwanza haikupi matumaini kwenda level ya pili...at the end of the day inakuwa useless.

  So kuwa makini sana unapo kuja kufanya mambo kam hii tanzania..most of wa wawekezaji wanakuja fanya JV(Join venture) na company zenye maeneo...kwani kuna about 50 - 100 exploration company kanda ya ziwa acha uko kusini mwa tanzania kwenye uranium.

  Asubuhi njema
   
 5. Mchaga

  Mchaga JF-Expert Member

  #5
  Nov 11, 2008
  Joined: Apr 11, 2008
  Messages: 1,372
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 135
  Ubarikiwe Buswelu
   
 6. Outlier

  Outlier JF-Expert Member

  #6
  Jan 4, 2009
  Joined: Dec 28, 2008
  Messages: 325
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Wakuu, naomba mwenye taarifa za namna gani naweza kusajili kampuni binafsi nchini Tanzania anipe. Nahitaji details aa mpaka zii hata ndogo ndogo, step by step.
  Asanteni
   
 7. Pascal Mayalla

  Pascal Mayalla JF-Expert Member

  #7
  Jan 4, 2009
  Joined: Sep 22, 2008
  Messages: 24,544
  Likes Received: 18,186
  Trophy Points: 280
  1. Kwanza chagua jina halafu nenda Brela kasajili jina. It's a one day process.

  2. Baada ya kupata 'OK' ya jina. Nenda kwa mwanasheria akuandalie documents mbili muhimu. Hii ni The Memorandum of the Company na Articles of Association copy nne nne. This is a Two days Job.

  3. Unarudi Brella na kujaza forms na ku-submit na hizo documents na unalipia - applicable fees. This is another two days job.

  In total 5 working days zinatosha kusajili kampuni. Ukianza Jumatatu, unamaliza Ijumaa. Kama una mkono mrefu, unaweza kufanyiwa kwa Fast Track na ukamaliza mambo yote in a day or two.
   
 8. Shadow

  Shadow JF-Expert Member

  #8
  Jan 4, 2009
  Joined: May 19, 2008
  Messages: 2,908
  Likes Received: 71
  Trophy Points: 145
  mzee rushwa haitaisha Tanzania kwa mtindo huu!
   
 9. Chibidu

  Chibidu JF-Expert Member

  #9
  Jan 4, 2009
  Joined: Dec 19, 2008
  Messages: 387
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 35
  Kwa nyongeza, hatua ya kwanza should be a "name search", kwahiyo ni lazima uende na barua uliyoiandika ukiomba kuangaliziwa jina. Kwa maana hiyo kwenye hiyo barua yako "utapropose" majina matatu ukiwa umeyapangilia kulingana na "priority order" yako.

  Hao watu wa Brela wakishaipokea hiyo barua watakupa kama siku mbili ili waangalie kwenye database yao kama hayo majina (kufuatana na priority order yako) hayajatumika.Ukishajua ni jina lipi limekubaliwa ndipo sasa utatakiwa kuandaa Memorandum of Association na Articles of Associasion kwa kutumia jina lililokubaliwa.

  Maelezo zaidi pata kwenye hii link.
   
  Last edited: Jan 4, 2009
 10. Chimo

  Chimo JF-Expert Member

  #10
  Jan 5, 2009
  Joined: Aug 31, 2008
  Messages: 668
  Likes Received: 202
  Trophy Points: 60
  Sasa hao BRELA wapo upande gani na jengo lipi hapa DSM na Mikoani wana matawi? kuna Kigezo gani ukitaka Kampuni yako iwe LTD au Holdings,Enterprises etc. Samahani kwa swali la nyongeza mtatusidia wengi tu jamani lol!!!
   
 11. Kafara

  Kafara JF-Expert Member

  #11
  Jan 5, 2009
  Joined: Feb 17, 2007
  Messages: 1,392
  Likes Received: 68
  Trophy Points: 145
  dah! mkuu umesoma hiyo link uliyopewa na chibidu?
  wapo eneo la mnazi mmoja, mtaa wa lumumba, jengo la ushirika jijini dar-es-salaam
   
 12. Outlier

  Outlier JF-Expert Member

  #12
  Jan 5, 2009
  Joined: Dec 28, 2008
  Messages: 325
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Wataalam, asanteni sana- hapa nimeelewa na nashukuru kwa linki naona pia ina maelekezo niliyokuwa ninayahitaji. Nitawasiliana nikimaliza kusajili.
   
 13. SMU

  SMU JF-Expert Member

  #13
  Jan 5, 2009
  Joined: Feb 14, 2008
  Messages: 7,918
  Likes Received: 2,067
  Trophy Points: 280
  Kumbuka, baada ya kusajili kampuni (Incorporation) na kabla ya kuanza biashara utatakiawa kupata leseni ya biashara (business licence) na pia kujisajili kama mlipa kodi (TIN certificate).

  Nakutakia mafanikio.
   
 14. Outlier

  Outlier JF-Expert Member

  #14
  Jan 5, 2009
  Joined: Dec 28, 2008
  Messages: 325
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Asante sana, i will do the needful. sitaki kuwa fisadi..
   
 15. Katikomile

  Katikomile JF-Expert Member

  #15
  Jan 5, 2009
  Joined: Jul 12, 2007
  Messages: 473
  Likes Received: 47
  Trophy Points: 45
  Ila kuna RECEPTIONIST wa pale BRELA ana nyodo ni balaa, binti ana majibu ya dharau sijawahi kuona. Nasikia huo ni mkwara wake ili akutoe upepo.

  Mara atakwambia ishu yako bado mara Oh! subiri huku anachat na simu. jamani BRELA tubadilishieni huyu mtu watu washalalamika sana hadi kwa Director of Operation lakini harekebishiki!!!!!!!!! AU CHAKULA YA MKULU???????
   
 16. Mahesabu

  Mahesabu JF-Expert Member

  #16
  Jan 5, 2009
  Joined: Jan 27, 2008
  Messages: 5,041
  Likes Received: 666
  Trophy Points: 280
  this is JF, Nami nilitaka fungua kampuni binafsi nadhani maelekezo haya yatanifaa sana. BIG THANKS...!
   
 17. s

  sav New Member

  #17
  Aug 28, 2009
  Joined: Jul 11, 2009
  Messages: 1
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Natafuta kwa nini forms zao za kusajili kampuni wasiziweke kwene mtandao ili watu kama sisi tunaotazitafuta tuweze kuzipata kwa urahisi?
   
 18. S

  Simoni Member

  #18
  Aug 28, 2009
  Joined: Oct 10, 2008
  Messages: 67
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  Niambieni jina lake huyo binti mwenye nyodo ili nimpe taarifa Mzee Mahingila the CEO wa BRELA. Hana mchezo yule mzee
   
 19. Junius

  Junius JF-Expert Member

  #19
  Aug 28, 2009
  Joined: Mar 11, 2009
  Messages: 3,183
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 133
  Yaani Mkuu nikushkuru sana kwa taarifa n Link its very informative. Thanks.
   
 20. BooSt3D

  BooSt3D Senior Member

  #20
  Aug 30, 2009
  Joined: Feb 29, 2008
  Messages: 130
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 33
  hizi biashara za kuonana na receptionist ndio zinaumiza wananchi!, haya mambo kama vipi yafanyike online tuu, kuna kila sababu ya kufanyia hizi issue online, sioni kwa nini lazima tuonane na watu. ndio maana rushwa haitokoma TZ. Tujifunze kuokoa muda.

  B.
   
Loading...