Jinsi ya Kusajili kampuni katika Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

kwa yoyote anayefahamu taratibu za usajiri wa biashara naomba anisaidie kunijuza taratibu zao ili kupata usajiri niliwai kusikia BRELA ni kwer wanausika na usajiri wa biashara
Karibu I-Business Consult, hotline 0659211222, email: iconsultbuzness@gmail.com
Angalizo
Kuna uzi humu waweza kuutafuta kupata maelezo vilevile
fd043a934f578a33d0e74f18ce9abc79.jpg
 
ok nashkuru, lkn baada ya hilo kuna kingine kilinitia hasira nimeingiza info nikafika kwenye location kuna surveyed na un surveyed nikiingiza surveyed ukijaza info zote uki submit inakuletea fill out street kila nikiingiza jina inarudia hicho hicho nikaacha nikaja unsurveyed kila nikijaza inanirudishia kwamba niingize eneo linalojulikana lililo karibu nako nimehanaika nikaboreka nikaacha, so please help
 
Waungwana,

jirani yangu tusielewana lugha, hapa nimemuona akisafirisha Avocados sijui alikua akipeleka wapi ila zilikua kwenye boxes za exports.

Sio muhimu hit hii) muhimu hapa ni kwamba je ni hatua zipi au niende wapi kusajili brands kama mananasi au maembe na au asali kwa ajili ya kusafirisha nje ya nchi? Na mwisho kabisa export permit kwa bidhaa za vyakula.
 
Jina brela unasajir online kisha kam ni bidhaa za kula inabid upate kibali mamlaka husika ya chakula na dawa na hapo tbs itahusika kwa ubora wa bidhaa ikiwa ni pamoja na package
 
Nimeona watu wakiorodhesha shughuli nyingi zitakazofanywa chini ya kampuni moja na wengine wanakuwa specific na aina fulani tu ya shughuli ningependa kujua labda kuna gharama tofauti kati ya gharama za kuwa na kampuni yenye shughuli nyingi ndani yake lakini sio zote zinafanyika na ile yenye shughuli moja au mbili? Na vipi kwenye suala zima la kulipia mapato TRA kwenye kampuni yenye shughuli nyingi na ile yenye shughuli labda moja tu?
Ni kweli nahitaji kufungua kampuni lakini before nahitaji kufahamu juu ya mambo hayo mawili.
 
Msaada wa haraka wadau, ninataka kuanza biashara, ila sina kitambulisho cha kura wala cha taifa ( vilipotea),
Je inawezekana kuanza biashara yaani kupata namba ya mlipakodi na leseni bila kuwa na jina la biashara? Maana ili kusajili jina la biashara vinatakiwa vitambulisho, na mim hivyo sina, msaada tafadhali!
 
Kama una namba zako za vitambulisho ingiza kwenye website yao.. Brela itakubali tu hatakama umepoteza
 
Back
Top Bottom