Jinsi ya kupika makange ya samaki bila kutumia viungo vingi

Naona umeamsha njaa yangu Mjukuu, na hivi nimekuwa mpenzi wa Makange ya Samaki 😋🙌
 
Huwez kuwa efficient kama mm mweny kucha fupi, utakataje nyanya na kucha marefu kama sio utahangaika tuu nyanya moja unakata dakika kumi.

Mi mweny napika ghetto, hao makucha marefu wakijaga wanaanza kujishaua "ooh niache nikupikie", sawa mama pika, bac bhana utacheka yupo slow kinoma makucha yanamsumbua hadi nikamwambia ebu kakae huko niache nipike mwenyew.
😂😂Vijana mnatuonea sana
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom