Add Telegram bot in Telegram group, Telegram and Facebook moderator, Data Entry, English Swahili translation, Background remover, Web research, English Swahili, PDF to WORD convertion
Mr naomba hapa experience ya pdf to word convesion maana huku niki convert pdf to word nikija fungua kwenye ms word bado hiyo document inakuwa haiko katika hii form ya ms word inakuwa kama ka image flani juu ya hiyo converted doc ( pdf ). Au kwamaana nyingine nawezaje convert pdf to word, yani nipatr exactly word doc ambayo unaweza edit hapohapo
 
Lets keep it straight and simple, Upwork ni platform kwaajili ya professionals so, you have to be an expert in your skills na kama sio expert basi ujue how to source that skill properly.

Points you should consider au ku-note kabla hujaapply kwa hizo kazi.

1) Apply to your skills related jobs especially as your profile states

2) Apply kwa clients wenye atleast 50% or above hire rate.

3) Hiyo kazi unayotaka ku-apply iwe atleast 24 hours old or less.

4) Proposals submitted kwa hyo kazi ziwe less than 5

5) Check reviews history za clients from his/her previous jobs

6) Avoid clients wenye review mbaya, kwa namna yoyote ile.

Jinsi ya kuandika proposal, Follow hizi simple 5 steps.

1) Greeting (Hi + clients's name if you know) avoid majina ya sir, madam, etc

2) Andika line moja (1) simple about his job, make sure una include job key words. mfano, ( I just checked you are looking for a swahili translator to write for your upcoming kids book) Badilisha maneno according to your requirements and niche.

3) Elezea kwa line mbili (2) about your service and yourself if possible elezea about your previous similar jobs hata kama hazipo kwenye profile yako.

4) Jaribu ku-capture attention ya client kwa kumuuliza any question related na kazi aliyopost. in 2 simple paragraphs

5) Funga kwa kumwambia, a-schedule a call or chat to discuss more kuhusiana na hyo project na price au offer yako. mfano, (Let me know when you're available, so we can schedule a call or chat and discuss further the offer and requirements, Kind regards - (jina lako) )

Note: Always attach any of your past relevant work samples within the same criteria, Kupata kazi zenye less than 5 proposals ni adimu lakini unaweza ku-apply kazi 2 had 3 kwa siku lakini response rate ya clients itaongezeka kwa 50% or more. kuliko kutuma proposals nyingi bila mafanikio.

Goodnight, and keep Going!
Uzi wa maana sana huu, nimejoin Upwork recently, nitaapply hii theory hapa mkuu. Ila bado sijajua namna ya kupata malipo nikipata kazi. Maana Paypal bongo hakuna.
 
Habarii mkuu, ningeomba taarifa zaid kuhusu upwork
 
Uzi wa maana sana huu, nimejoin Upwork recently, nitaapply hii theory hapa mkuu. Ila bado sijajua namna ya kupata malipo nikipata kazi. Maana Paypal bongo hakuna.
Nikuuzie kitabu Cha UPWORK Mimi nilinunua 25000 utanipa 10000 kina maelekezo yote hayo kizuri kuwa nacho Kama unaamua kuwa serious huko
 
Kuna uzi mmoja uliwekwa hapa majuzi niliuelewa, nikichanganya na huu naona somo la freelance huko UPWORK linakuwa zuri sana.
Nimeanza kutengeneza akaunti, na profile imefikia 90/%.
Naomba ushauri hapa:-

Nawezaje kuuza Taaluma ya Ufundi Umeme..?
Nitumie mbinu gani ili nipate kazi ya kwanza..?
 
Attachments

  • IMG_20221231_023113.jpg
    IMG_20221231_023113.jpg
    44.1 KB · Views: 23
  • IMG_20221231_022546.jpg
    IMG_20221231_022546.jpg
    37.2 KB · Views: 17
Sawa, ila naomba msaada hapa:
Kwenye fiverr nimefungua akaunti na kutengeneza profile.
Shida ni kwamba, nikitaka ku apply gig ya kwanza wanasema ni verify phone number, nikiweka namba tena kwa format nzuri , Tanzania , +255757...... haiji rangi ya blue kwenye send vial sms.
Naletewa ujumbe kuwa siwezi verify kutumia simu mpaka computer, na mimi sina computer ndugu na ndo naanza hivi.
Naomba ushauri wako..!

Tumia PC mkuu utafanikiwa kuverify phone number
 
Back
Top Bottom