Jinsi ya kupata UK Visa

Jinsi ya kupata UK Visa

Wakuu,

Naomba kufahamishwa ni vigezo na gharama gani zinatumika kupata visa ya kuingia na kuishi United Kingdom?

Na kama kuna yeyote mwenye ndugu au jamaa anayeweza kunifanikishia visa ya UK.Mimi nipo Tanzania.

Tafadhali tuwasiliane kwa PM

Mkuu unataka visa ya kwenda uk kwa ajili gani? niambie ili nijue jinsi ya kukusaidia Tafadhali
 
Mkuu hebu nipe maujanja ya kupenya Norway na sweden mana ndo nchi ninazozitaman... Na je ni lazima ujue lugha yao ndo uweze pata kazi?

Mkuu kuna njia ya kufika sweden kwa kwa ajili ya kujifun
Mkuu nipe njia hata za kwenda australia ua canada

Mkuu kuna njia moja ambayo unahitaji $7000 kufika kanada, hii unaweza kusafiri Ghana
Kutafuta maisha mkuu.

Mkuu hiyo ina gharama inabidi utengenezewa work permit, pamoja na visa inaweza kufika $4500 payment after visa
 
Mkuu kuna njia ya kufika sweden kwa kwa ajili ya kujifun


Mkuu kuna njia moja ambayo unahitaji $7000 kufika kanada, hii unaweza kusafiri Ghana


Mkuu hiyo ina gharama inabidi utengenezewa work permit, pamoja na visa inaweza kufika $4500 payment after visa
Inakua visa ya muda gani?
 
UmezungumZa kweli. Kuna wengine wanajilipua kwa staili za kudai wao ni mashoga ingawa sio mashoga. Lengo ni kupata hifadhi ya kuishi kwani kwenye nchi zao wananyanyaswa. Na mtu unakuta anafanikiwa ila hawezi kukwambia.
Daaah nimkupata sana ila mm nataka safari ya kuenda ulaya vip kuhusu visa gharama za safari kama dolar ngp?[
 
In short wabongo ni wachoyo, wabinafsi na roho za kwanini sanaa. Mimi nlivyokua huko kuna wabongo nilikua nao nimewasoma sanaa na kuwa judge kwa makini aisee hapana hawafai kabisaaa, kati ya wabongo 10 wawili au watatu ndio wako loyal na kuna baadhi hawataki hata kujulikana ni wabongo kule.

Ndio maana nikaamua kuwa close na nigerians na zimbabweans wako peace sanaa. Mbongo aone unaotea shifts kadhaa unapiga hela au aone unaongeza ma elimu wata hate sanaa (wivu kibao) from within ila wanajitahidi kuificha.

Kuna kipindi nilipungukiwa na hela kidogo nikawa na live under strict budget kama like 2 nd half months hivi ( kuna issue nilikua nafanya hela ikachelewa kurudi)

Huko UK..kula nikawa napiga like twice daily ( Breakfast + jioni napiga menu kama saa 10 hivi ) nakazia na bread ghettoni kabla sijalala ndio ntolee hyo had kesho labda nibahatike kupewa menu job.

Kuna dem flan wakibongo nilikua nae alini treat fresh sana i can NEVER forget her....aaah at tyms naenda kwake jirani mitaa kadhaa, napiga menu narudi zangu ghettoni at tyms ananletea menu ghetto...plus nigerians walinitoa sanaa kipindi hicho.

Wabongo wengine sasa wale niliokuwa nakula nao bata at the start....aaah ***** kila mtu hakujui wanakuambia aah UK maisha tight bla bla bla....nikasema moyoni baridi tu. Kama sio yule dem wa kibongo na kuishi vizuri na wa naija sijui ingekuaje ni mengi wameni favor (plus michongo ya kazi) i cant write all in here, nawasiliana nao mpaka leo.

Aah kuna watu sio kabisa.

Imagine kuna dem waki zimbabwe alitaka kunitongozeshea a single mother wa ki zimbabwe aged like 32 (alinizidi umri kdgo) nimuoe nipate permit ni remain kule. Aargh nikachomoa.
Kwanini ulirudi mkuu? Nipe mtonyo nataka nikacheze kandanda bongo longolongo nyinyi
 
Kwanini ulirudi mkuu? Nipe mtonyo nataka nikacheze kandanda bongo longolongo nyinyi
Nimerudi cz bongo though ni kugumu at the start ila fursa ni nyingi ukiwa na capital na pia due to other private family interests i can't tell here.

We pitia hii thread kutokea post ya kwanza mpaka hapa, kuna mengi ya kujifunza.
 
Nimeona yote mkuu ila ni vp nitafika umasikini tu km ningapata mdhamini wa kufanya trial kule hata nchi za scandinavia tu kuanzia si mbaya
 
Kwakweli nimecheka sana hii ya watanzania kuchunga Ng'ombe Estonia ! JF kweli burudani
 
Ukikaa vijiweni ndivyo unavyowadanganya wenzako hivi? Nenda ubalozi wa Uingereza consular section uone kama Watanzania hawaombi na kupewa viza.

Mjinga sana wewe na unaishi dunia ya kusadikika.
Matola wewe nakuamini sana kwa busara,kwa nini leo umebadilika na kumtukana jamaa ?sioni kosa lake sababu alichokisema ni kweli kabisa,kupata visa ya UK ni mpaka ukamilishe matakwa yao ambayo kwa sisi MAKAPUKU ni kitu kisichowezekana.
 
Matola wewe nakuamini sana kwa busara,kwa nini leo umebadilika na kumtukana jamaa ?sioni kosa lake sababu alichokisema ni kweli kabisa,kupata visa ya UK ni mpaka ukamilishe matakwa yao ambayo kwa sisi MAKAPUKU ni kitu kisichowezekana.
Kuna connection nyingi tu za kufika ulaya, wapo wakata viuno wa Diamond ni makapuku tu na wanapata hizo viza na wanaenda ulaya.

Don't let your self down buddy.
 
Samahanini Jamani kwenye kuomba visa ni lugha gani ambayo inatumika kuombea kati ya kiswahili au english
 
Niliwahi kwenda UK mwaka 2012 kishule shule, lakini nilitamani kukatiza hata hiyo shule yenyewe, maana niliona maisha ni magumu mno kuliko bongo. Yaani nauli tu ya daladala town trip ni sawa na kwenda moro. maisha ni magumu sana bana. Hiyo pesa ya kwenda nayo huko bora ukafanya mpango wa kuwekeza tu bongo mkuu

Utakua ulienda Ulaya kijijini..lazima ubweke tu
 
Back
Top Bottom