Senior Boss
JF-Expert Member
- Aug 19, 2011
- 3,405
- 3,701
Inabdi uende kama mwanafunzi then ukifika kule ubadili ngano kuwa mchele.Mkuu nipe njia hata za kwenda australia ua canada
Au upate mualiko uende as a visitor then pia ufanye makeke uoe upate mi permit ubaki.
Au upate job offer/sponsor ukapige kazi nnje which is very difficult mpaka wakose raia wa kule mfano wakikosa UK watatafuta mtu from the European Union wakikosa tena ndio waje Africa probably wataangalia kwanza South Africa wakiku recruit ndio waku sponsor.
Uta decide njia ipi inakufaa.
then hajibu kwa wakat. 