Jinsi ya kuongoza ndoto za usiku utakavyo (Lucid Dreams)

Pitia Na Hapa Mkuu Uweze Kupata Kutofautisha Hatua Hizo Utakazo Pitia Ili Uweze Kutofautisha Mazingira Ya Humo Ndani Ya Third Eye...

MziziMkavu

Rakims
 
1: kujifunza usioyajua

2:kupona magonjwa ya hovyo hovyo

3: kuondoa stress

4: kupanga maisha

5: kujua tukio kabla halijatokea (hapa inategemea na will power)

6: kujiliwaza...

7: kuongeza imani yako kwa dini yoyote...

zipo nyingi hizo ni kwa uchache..

[HASHTAG]#Rakims[/HASHTAG]
kwahiyo ninaweza 'kulala' na beyonce au rihanna c ndio?
 
Hii kitu sio siri inanitokea sana mara nyingi nashindwa tambua.naweza pata ndoto ila haiwezitokea mpaka nisahau.Nikisahau tu tukio linatokea vile vile.Tatizo sijawai pata ndoto ya mambo mazuri zaidi ya misiba ya watu wa karibu na magonjwa
huo ni uwezo wa ubongo wa baadhi ya watu waliojaliwa na mwenyezi mungu sio maono wala unabii ni nguvu tu ulionayo inaitwa precognition...

"Rakims"
 
Pia ingine nimewai ona binti nikamwangalia kwa nyuma kama sekunde kadhaa ikaniingia nia ya kumpata na nafsi yangu ikathibitisha nimeshampata angali sijawai hata mtongoza.Usiku nikaota niko nae ila ndoto sikuitilia maanan.baadae nikakuta tu namtongoza bila kukata tamaa mpaka nikawa nae na hakua akinitaka
 
Hii kitu sio siri inanitokea sana mara nyingi nashindwa tambua.naweza pata ndoto ila haiwezitokea mpaka nisahau.Nikisahau tu tukio linatokea vile vile.Tatizo sijawai pata ndoto ya mambo mazuri zaidi ya misiba ya watu wa karibu na magonjwa
hiyo mara nyingi huletwa na mashetani wabaya ambao mtu mwenye power hii wanakuwa nae karibu kumvuruga
 
Pia ingine nimewai ona binti nikamwangalia kwa nyuma kama sekunde kadhaa ikaniingia nia ya kumpata na nafsi yangu ikathibitisha nimeshampata angali sijawai hata mtongoza.Usiku nikaota niko nae ila ndoto sikuitilia maanan.baadae nikakuta tu namtongoza bila kukata tamaa mpaka nikawa nae na hakua akinitaka
still demons are tricks you, fukuza hao
 
Juzi nime muota msichana nilie kua nampenda toka zamani but ali hama nikawa nimesha mpotezea bila kum waza wala kumfikira kwa mda mrefu .ndo..juzi nime ota npo kwenye gari ilkua kwenye mvua then nka mpita kwenye gari uku nampungia( BYEE ) mkono na yeye akani pungia mkono (BYE) ina maana gani ii
 
Ni Mara nyingi sana najuaga kuwa naota ila huwa naamka haraka sana kila nikijua kwamba naota.
 
Juzi nime muota msichana nilie kua nampenda toka zamani but ali hama nikawa nimesha mpotezea bila kum waza wala kumfikira kwa mda mrefu .ndo..juzi nime ota npo kwenye gari ilkua kwenye mvua then nka mpita kwenye gari uku nampungia( BYEE ) mkono na yeye akani pungia mkono (BYE) ina maana gani ii
Mkuu maana ya ndoto hiyo mara nyingi huashiria mabadiliko ya maisha ya mtu kama kufafiki, kujifungua au kuolewa,

Ukiwa na hali hiyo kwa mtu basi jua moja kati ya hayo yamemtokea

Rakims
 
Hii kitu sio siri inanitokea sana mara nyingi nashindwa tambua.naweza pata ndoto ila haiwezitokea mpaka nisahau.Nikisahau tu tukio linatokea vile vile.Tatizo sijawai pata ndoto ya mambo mazuri zaidi ya misiba ya watu wa karibu na magonjwa
Upon km Mimi mkuu!! Nikiota ndoto nzuri haitokei ngo'ooo subiri niote mbaya alafu niipuuzie ohooo itakuwa balaa!!
 
Mkuu maana ya ndoto hiyo mara nyingi huashiria mabadiliko ya maisha ya mtu kama kufafiki, kujifungua au kuolewa,

Ukiwa na hali hiyo kwa mtu basi jua moja kati ya hayo yamemtokea

Rakims
Je nilimuota WiFi yangu yupo anaenda kupanda gari ya mumewe, akanipungia kwa dharau na Mimi nikamtosa ila nikashutuka moyo unaenda mbio sana! Hawana gari hawa watu ila ni wenye ujinga na majivuno mengi mno!
 
Hiyo ni ndoto ya ubongo mkuu, ubongo wako unakuchezea mbinu,
 
Niliota cable ya kupeleka umeme kwenye screen inaungua nakumbuka ilikuwa mida ya saa kumi usiku naamka asubuhi na switch on screen haiwaki kweli.

Mara nyingi nikiota hutokea haichukui siku zaidi ya tatu. Vip hapa mkuu tatizo nn?
 
Kuna kipindi niliwahi kuota nimekutana na msichana fulani nikiwa na wenzangu yule msichana alivaa gauni jekundu na viatu vyeusi mguuni alishika mkoba mkononi nilivutiwa nae na nikamfata hakika tuliweza kuongea mengi na mwishowe alikubari ombi langu bila shida ila hii ilikuwa ndotoni ikaja kupita mawiki kadhaa mbele tukio kama hili likaja kunitokea katika uhalisia sasa tena nikiwa na wale wale rafiki zangu na maeneo yaleyale niliyoyaota ndotoni ila hapa sikuwa nimemfata nilisita kwa kumuhofia.. Je hii kitu ina mafungamano na hii Lucid Dream au Astral projection

Msaada hapo
 
Una jini mkuu, ambaye anapokuwa na wewe jirani na kitanda nguvu yake ya maono unakuwa unaiaccess kwa sababu ubongo wako unakuwa umetulia muda huo na roho yako inakuwa imeamka, na hawa ni viumbe wa kiroho hivyo roho yako inapata nguvu yake kidogo, jinsi ya kumjua kama ni mzuri kwako au mbaya basi tizama matukio unayoota vema,

Rakims
 
Kuna kipindi niliwahi kuota nimekutana na msichana fulani nikiwa na wenzangu yule msichana alivaa gauni jekundu na viatu vyeusi mguuni alishika mkoba mkononi nilivutiwa nae na nikamfata hakika tuliweza kuongea mengi na mwishowe alikubari ombi langu bila shida ila hii ilikuwa ndotoni ikaja kupita mawiki kadhaa mbele tukio kama hili likaja kunitokea katika uhalisia sasa tena nikiwa na wale wale rafiki zangu na maeneo yaleyale niliyoyaota ndotoni ila hapa sikuwa nimemfata nilisita kwa kumuhofia.. Je hii kitu ina mafungamano na hii Lucid Dream au Astral projection

Msaada hapo
Hapana hiyo ni Pre-cognition mkuu
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom