Jinsi Ya Kuongoza Ndoto Za Usiku Utakavyo (Lucid Dreams)

B

Bajuda

Senior Member
Joined
Nov 29, 2018
Messages
129
Likes
179
Points
60
B

Bajuda

Senior Member
Joined Nov 29, 2018
129 179 60
Habari mkuu
Nahitaji kujua hiyo kitu maana nimechoka kupelekwapelekwa na mandoto ya ajabuajabu.

Mkuu naomba msaada wako.

#Rakims
 
scondo

scondo

Member
Joined
Dec 8, 2015
Messages
83
Likes
64
Points
25
scondo

scondo

Member
Joined Dec 8, 2015
83 64 25
Mkuu mm kuna siku niliota nipo sebuleni na mother wang wa kambo tukizozana kuhusu hela,yeye alikuwa antk hela zang nilizokuwa Nazo mkononi bas kwa kuwa tulikuwa tunazozana mm nikaamua jumps zile hela ila pindi nilipotoka nje nikawa nakimbizwa naangalia nyuma naona ni mama yang mzaz na wa kambo ndo wa2 wanaonikimbiza Alf nikaangalia pemben yang nilikuwa nakimbia na mama yangu mdogo ila pindi tunakimbia tukawa tunaokota uyoga kama kinga zidi yao. Inamaana gani hii ndoto mkuu maana imeniumiza kichwa sana
 
Elly255

Elly255

JF-Expert Member
Joined
Mar 30, 2017
Messages
439
Likes
346
Points
80
Elly255

Elly255

JF-Expert Member
Joined Mar 30, 2017
439 346 80
Hii Ni Maalumu Kwa Wanaojua Maana Ya Lucid Dreams,Brain Function,mind ideas na yote yanayohusu ubongo wa binaadamu... Wengine Muendelee Kuona Kama Hadithi Njoo Utam Nogea.. Sio Mbaya..

"Rakims"
Very sure mimi huwa nawasimulia watu wanasema uongo kwamba siyo kweli uote huku unajua unaota. Nimeanza lucid tangu niko primary now mtu mzima . Kila siku huwa najiona mimi ni mtu wa ajabu sana.
Kwa mtu ambaye hajawahi kufanya lucid atapinga na ataona ni miujiza but its real.
Nimekatisha ndoto nyingi sana mfano za kukimbizwa either na mnyama mkali.
Kuna ndoto zingine huwa naamua kuziendeleza nione mwisho wake nini.
Kiukweli ni kitu nashukuru Mungu kwa kunipatia inakufanya uenjoy na ujue mambo makubwa.
 
joely sandu

joely sandu

JF-Expert Member
Joined
Nov 24, 2017
Messages
1,421
Likes
1,083
Points
280
Age
22
joely sandu

joely sandu

JF-Expert Member
Joined Nov 24, 2017
1,421 1,083 280
Endelea MKUU kumwaga nondo
 
Rakims

Rakims

JF-Expert Member
Joined
Jun 4, 2014
Messages
2,470
Likes
1,407
Points
280
Rakims

Rakims

JF-Expert Member
Joined Jun 4, 2014
2,470 1,407 280
Mkuu mm kuna siku niliota nipo sebuleni na mother wang wa kambo tukizozana kuhusu hela,yeye alikuwa antk hela zang nilizokuwa Nazo mkononi bas kwa kuwa tulikuwa tunazozana mm nikaamua jumps zile hela ila pindi nilipotoka nje nikawa nakimbizwa naangalia nyuma naona ni mama yang mzaz na wa kambo ndo wa2 wanaonikimbiza Alf nikaangalia pemben yang nilikuwa nakimbia na mama yangu mdogo ila pindi tunakimbia tukawa tunaokota uyoga kama kinga zidi yao. Inamaana gani hii ndoto mkuu maana imeniumiza kichwa sana
Pole mkuu, ndoto hiyo mara nyingi humuwakilisha shetani wa mahaba, lakini kwa hapo maana yake ni watu wanaolazimu zaidi kutumia kipato chako ni wazazi na hapo imeingia picha ya wachawi waliovaa sura za mama zako kwa ajili ya chuma ulete, huyo mama unaekimbia nae ni akili yako tu imekutengenezea msaada hapo wa kujiona haupo peke yako, lakini kwa maana ya ujumla ni kuwa jihadhari na matumizi ya pesa utakuwa unapata pesa zinayayuka

Rakims
 
Rakims

Rakims

JF-Expert Member
Joined
Jun 4, 2014
Messages
2,470
Likes
1,407
Points
280
Rakims

Rakims

JF-Expert Member
Joined Jun 4, 2014
2,470 1,407 280
Very sure mimi huwa nawasimulia watu wanasema uongo kwamba siyo kweli uote huku unajua unaota. Nimeanza lucid tangu niko primary now mtu mzima . Kila siku huwa najiona mimi ni mtu wa ajabu sana.
Kwa mtu ambaye hajawahi kufanya lucid atapinga na ataona ni miujiza but its real.
Nimekatisha ndoto nyingi sana mfano za kukimbizwa either na mnyama mkali.
Kuna ndoto zingine huwa naamua kuziendeleza nione mwisho wake nini.
Kiukweli ni kitu nashukuru Mungu kwa kunipatia inakufanya uenjoy na ujue mambo makubwa.
Hongera mkuu, mwisho wa siku utakuwa one of masters wa lucid dreams

Rakims
 
scondo

scondo

Member
Joined
Dec 8, 2015
Messages
83
Likes
64
Points
25
scondo

scondo

Member
Joined Dec 8, 2015
83 64 25
Pole mkuu, ndoto hiyo mara nyingi humuwakilisha shetani wa mahaba, lakini kwa hapo maana yake ni watu wanaolazimu zaidi kutumia kipato chako ni wazazi na hapo imeingia picha ya wachawi waliovaa sura za mama zako kwa ajili ya chuma ulete, huyo mama unaekimbia nae ni akili yako tu imekutengenezea msaada hapo wa kujiona haupo peke yako, lakini kwa maana ya ujumla ni kuwa jihadhari na matumizi ya pesa utakuwa unapata pesa zinayayuka

Rakims
Asante mkuu kwa ufafanuzi mzuri na nimekuelewa ila apo kwenye shetani wa mahaba unamaanisha nn mkuu, samahani kwa usumbufu
 
King Edward

King Edward

Senior Member
Joined
Mar 5, 2016
Messages
117
Likes
182
Points
60
King Edward

King Edward

Senior Member
Joined Mar 5, 2016
117 182 60
Mm juzi nimeota nimeamka(ndotoni japokuwa nilijua ni kwel) kutoka nje nakuta ni Giza (Mwanga hafifu) na kuna kundi la watu wengi sana wamekusanyika na ni Kama wengi wanawasiwasi wakiwemo ndugu zangu ambao wengi sijawaona siku nyingi, nikakumbuka nililala asubuh kitu kikaniambia angalia muda mbona saa hz Giza kuangalia ilikuwa saa 7 mchana na tareh ilikuwa tareh 1, ila mwezi kila nikijaribu kuukumbuka hauji kichwan... Niliogopa sana Sanaaaa nikakosa raha na wengine naona wapo hvyo hvyo, Nikashutuka. Mpaka Leo bado cjaielewa japokuwa ndoto nyingne huwa nazisahau ila hii kila saa ipo kichwani.
 
TEAM B-13

TEAM B-13

JF-Expert Member
Joined
Dec 7, 2017
Messages
1,425
Likes
2,190
Points
280
TEAM B-13

TEAM B-13

JF-Expert Member
Joined Dec 7, 2017
1,425 2,190 280
Hongera mkuu, mwisho wa siku utakuwa one of masters wa lucid dreams

Rakims
Mkuu, kipindi nipo mdogo nilikua nikiota ndoto nimeshika shiling 50 nimezima mkononi lakin nikishtuka najikuta sina pesa basi huwa macheka na usingizi hapo hapo unaisha then najiona mwenye furaha sana kikumbuka nilivyo kuwa na-ota

Basi siku hiyo hiyo nikiwa shule zile kumbukumbu ya ile ndoto inanijia ndani yangu na usoni mwangu kunakua na furaha tabasamu tu

Lkn sasa hv ile njozi haiji tena
 
scondo

scondo

Member
Joined
Dec 8, 2015
Messages
83
Likes
64
Points
25
scondo

scondo

Member
Joined Dec 8, 2015
83 64 25
Mkuu kuna ndoto nimeota juzi kwenye ndoto naonekana nipo kwenye gereza alafu kuna m2 akaja akanipa funguo 3 moja ya kufungulia mlango wa geleza na hizi nyingine mbili nimesahau zilikuwa za nini, kama una idea kidogo ya ndoto hii inamaanisha nini nitashukuru ukinisaidia

Sent using Jamii Forums mobile app
 
M

mojamo

New Member
Joined
Jan 9, 2019
Messages
4
Likes
6
Points
5
M

mojamo

New Member
Joined Jan 9, 2019
4 6 5
Naombeni maana ya ndoto hii Jana niliota ndoto nipo pembezoni mwa bahari Beach nafanya mazoezi na watu hata siwajui ghafla kikatoke kimbunga , kilikuwa kinazungua mithili ya kuchimba shimo Katikati ya maji.
Kiliendelea kwa muda haraka tukatoka na Lukas mbali kidogo.
Niliona maji yalichafuka Sana nakuanza kutoa vumbi ,ghafla bahari yote ikafutika likatoke jangwa na milima yenye miti mchache .
Ila kulikuwa na chemchem ya maji baridi yenyewe haikukauka.

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
ManchoG

ManchoG

JF-Expert Member
Joined
Jul 31, 2017
Messages
907
Likes
776
Points
180
ManchoG

ManchoG

JF-Expert Member
Joined Jul 31, 2017
907 776 180
Mkuu kuna ndoto nimeota juzi kwenye ndoto naonekana nipo kwenye gereza alafu kuna m2 akaja akanipa funguo 3 moja ya kufungulia mlango wa geleza na hizi nyingine mbili nimesahau zilikuwa za nini, kama una idea kidogo ya ndoto hii inamaanisha nini nitashukuru ukinisaidia

Sent using Jamii Forums mobile app
Looh.! Hii fursa kwa Mlokole kabisa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
ManchoG

ManchoG

JF-Expert Member
Joined
Jul 31, 2017
Messages
907
Likes
776
Points
180
ManchoG

ManchoG

JF-Expert Member
Joined Jul 31, 2017
907 776 180
Unamaanisha nini ndugu

Sent using Jamii Forums mobile app
Ngoja nikujibu kwa Niaba yao_wangekuambia

"Hayo ni majibu ya maombi ya rohoni ambayo Bwana ameamuamua kuyajibu kwa wakati wake unaofaa

Kwa maana Bwana ameyasikia maumivu yako na ameamua kumtuma mjumbe wake kuja kukuweka huru kutoka katika mikono ya yule mtesi yule Joka zamani afungie na kuwatesa wana wa Mungu wa kweli kimwili na kiroho

Hivyo Bwana amekupa nafasi tena kwa kukutoa kwenye kamba za mauti na kukuacha huru iliumjue na kumtumkia

Fungua ya Kwanza_ikimaanisha Uhuru wako u malangoni pako ni jukumu lako sasa kuchagua utumishi wa Bwana ili uwe huru kwelikweli

Fungua ya pili inanaanisha......." Ngoja niishie hapa tafsiri ya hii huipati mpaka uingie kundiniSent using Jamii Forums mobile app
 
Forum statistics

Threads 1,262,477
Members 485,588
Posts 30,123,273