Jinsi ya kuongoza ndoto za usiku utakavyo (Lucid Dreams)

Very sure mimi huwa nawasimulia watu wanasema uongo kwamba siyo kweli uote huku unajua unaota. Nimeanza lucid tangu niko primary now mtu mzima . Kila siku huwa najiona mimi ni mtu wa ajabu sana.
Kwa mtu ambaye hajawahi kufanya lucid atapinga na ataona ni miujiza but its real.
Nimekatisha ndoto nyingi sana mfano za kukimbizwa either na mnyama mkali.
Kuna ndoto zingine huwa naamua kuziendeleza nione mwisho wake nini.
Kiukweli ni kitu nashukuru Mungu kwa kunipatia inakufanya uenjoy na ujue mambo makubwa.
Yah Ni nzur sna na Zina furaha ya ajabu
 
Mkuu Rakims mimi ni mtoto wa mwisho kati ya watoto wa 5 tatizo langu kwenye ndoto zangu mara nyingi naota nagombana na ndugu zangu na kwenye real world hatunaga maelewano mazuri kutokana na mimi kuwa na misimamo na maono tofauti na wao kuhusiana na hali ya maisha yetu nyumbani.

Tumezaliwa kwenye dhiki na ndoto zangu ni kuibadili hali ya maisha yetu cha ajabu kila ninalojaribu kulifanya wananipinga vikali sana. Kuna muda wanasema nimelogwa, sasa nikijaribu ku connect dots na ndoto za vita kati yangu na wao napata ukakasi. Hii inaweza kuwa ina maanisha nini?

Tafadhali mkuu nsaidie
Maana yake ni kuwa katika ukoo wenu mna mashetani ya kuwaweka wenye kukosa maendeleo zaidi ya kusemana na kukaa kaa kama mliokosa uelekeo hakuna kinachotakiwa kusonga,

Jambo la kwanza jitoe kwenye maagano ya ukoo.
Kisha anza kutafuta maisha yako watakutafuta kwa upendo na roho zao zitafunguka utaanza kuwaota vizuri na mtapendana

Rakims
 
Naona hii inafana na astral projection. Kunaotofauti gani kati ya lucid na astral projection
Lucid dream ni za ndani ya mwili wako mwenyewe.

Astral projection ni experience za nje ya mwili wako mwenyewe.

Rakims
 
Na Hili Ni JIBU langu na Ushauri Kwake.....

Anaongelea Lucid Dreams Nimeupdate Uzi Wa Kuhusu Hii Mambo Lakini Modes Wameona Sijui Watu Watajifunza Mengi.... Actually Wenzio Tukiingia Lucid Tunaenda Kuwasiliana Na Watu Wenye Elimu Za Maana Na Tricks Za Maisha Wewe Unaenda Kusex Na Office Girl (Cha Wote) Means hujui maana ya lucid dream kama una dream journal ungefaidi sana... ushauri wa bure "fanya ya maendeleo na yakujifunza" mimi pia niliwahi kufanya lucid dreams toka mwaka 2009 niliwahi kuthubutu kumbusu Celion Dion Lugha Anayoongea Mule Ilikuwa ni kifaransa lakini mimi nikimskia kwa kiswahili fasaha yani namuelewa kwa mind sio ndoto ni more than that pia mtu wa kwanza kunifundisha kiingereza ni ben carson ndotoni ushawahi kumskia huyu mtu? lakini hadi sauti yake niliiskia na kuithibitisha kutoka youtube nilishangaa sana kiukweli ukiwa ndotoni unakuwa in spirit form so nilivyomkiss huyu mwanamama nikaona lidiculous nikatafuta kioo maana ndio huaminika way out lakini hakikunitoa nikasimama nikasema hapa ni licid world naweza kufanya nitakacho bila damage yoyote sasa nahitaji nikihesabu hadi 1 from 5 natoka hapa na huu ndio ufunguo wangu kama wewe watumia kioo mimi natimia namba ila wapo pia hutumia kukapua macho kwa wingi anatoka...

thanks for your update unachotakiwa kufanya kama unamtaka huyo celebrate muote tena fanya kumseduction atarespond akikubali basi in real world atakubali akigoma dont give a try... coz ukiamrisha kwenye lucid means unacheza na ubongo wako lakini ukijiwajibisha utakipata in real world...

je wajua?

"muandishi wa movies za matrix alifanya lucid dreams na kutengeneza movie ya matrix pia lewis carroll aliandika alice in wonderland baada ya kufanya lucid....

unachotakiwa kufanya yafanye maisha ya lucid dream kwamba leo naishia hapa kesho nitaendelea...

hii utakusaidia pia katika kukamilisha usemi wa "Timiza Ndoto Zako"

Je, Utatimiza Ndoto Bila Kuota?

"Rakims"

Nitawezaje kumzuia mtu asiweze kuni control kwa kupitia lucid dreams?
 
Mimi hiyo Lucid dream nilikuwa siijui japo nilikuwa naitendea haki na imenisaidia katika mambo yafuatayo na nimeijua kama ni lucid baada kuuona huu Uzi

Yaan imesaidia kuweza kuntrol ndoto zote mbaya yaan mfano labda nimeota nipo porini na Simba basi nachofanya nakuwa invisible hivyo kuanzia nilipojua huu ujanja hakuna mtu au kitu kibaya kinaweza kunikuta nikiwa katika hatari yoyote nakuwa invisible hivyo hatari inanikosa
Ya pili naweza kuenda sehemu yoyote nimeshatoka nje ya dunia mara nyingi yaan napaaa kama zile rocket umbali mrefu natoka nje naiona dunia ile ndogo
Ya mwisho uwezo wa kufanya maajabu yaan mfano napigana na watu hata kama 10 basi nafanya maajabu nakuweza kuwaua wote
 
Mimi hiyo Lucid dream nilikuwa siijui japo nilikuwa naitendea haki na imenisaidia katika mambo yafuatayo na nimeijua kama ni lucid baada kuuona huu Uzi

Yaan imesaidia kuweza kuntrol ndoto zote mbaya yaan mfano labda nimeota nipo porini na Simba basi nachofanya nakuwa invisible hivyo kuanzia nilipojua huu ujanja hakuna mtu au kitu kibaya kinaweza kunikuta nikiwa katika hatari yoyote nakuwa invisible hivyo hatari inanikosa
Ya pili naweza kuenda sehemu yoyote nimeshatoka nje ya dunia mara nyingi yaan napaaa kama zile rocket umbali mrefu natoka nje naiona dunia ile ndogo
Ya mwisho uwezo wa kufanya maajabu yaan mfano napigana na watu hata kama 10 basi nafanya maajabu nakuweza kuwaua wote
Hongera
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom