Jinsi Ya Kuongoza Ndoto Za Usiku Utakavyo (Lucid Dreams)

Rakims

Rakims

JF-Expert Member
Joined
Jun 4, 2014
Messages
2,470
Likes
1,407
Points
280
Rakims

Rakims

JF-Expert Member
Joined Jun 4, 2014
2,470 1,407 280
Naomba kupata hili darasa kidogo mkuu kama hutojari..
Ok, Pre-cognition ni aina ya nguvu ambayo anayo mtu ambayo humfanya kuona mambo yajayo kwa uchache au yatakayojiri katika jambo linalomzonga akijiuliza likaenda moja kwa moja swali hilo kwenye roho yake, basi hapo hupata majibu either kwa mawazo au njozi na hisia

Rakims
 
M

Ms mol

JF-Expert Member
Joined
Mar 31, 2017
Messages
1,597
Likes
1,849
Points
280
M

Ms mol

JF-Expert Member
Joined Mar 31, 2017
1,597 1,849 280

Km jambo ni baya ulmeshaliona kupitia njozi/ hisia utafanyeje lisitokee?
 
YonDu Udonta

YonDu Udonta

JF-Expert Member
Joined
Aug 6, 2016
Messages
324
Likes
171
Points
60
Age
28
YonDu Udonta

YonDu Udonta

JF-Expert Member
Joined Aug 6, 2016
324 171 60
Mimi leo mchana nilikua nimelala, mara nikajikuta nipo ndani ya Bus aina ya "Isuzu Gun", bus inatembeaa ni kama tunatoka Dodoma tunakuja Dar Es Salaam vileee...

Ndani ya bus tulikuwa watano mim na marafiki zangu, Cha ajabu sasa Dereva alikua ni mtu niliyesoma nae Secondary na mara mwisho kumuona 2009, alikua kule mbele yuko na mtu nnaefanya nae kazi sasa hivi, huku seat ya nyuma kwa mbele yangu alikaa msichana niliesoma nae Darasa moja University, na huyu mwingine simkumbuki...

Huku tunatia story, bus inaenda mara ghafla yule dereva aka'disappear, nikawa mwenyew kuhoji dereva kaenda wapi tena mbona mjinga hivii si tutapata ajali, huku nikiwa namuamrisha yule wa mbele aiControl bus, jamaa akakaa kwenye kiti cha dereva aliyeondoka katikati ya safari.....

Mara ghafla ikakatiza bus ya rangi ya njano mbele, huyu dereva mpya akaikwepa kwa ustadi lakini akawa ameacha njia na kukutana na ng'ombe nyingii za wamasai tukaziparamiaa. Wamasai wakaanza kuturushia mishalee kuelekea kwa gari yetu, dereva ikabidi aipeleke gari kwenye kichaka na kuisimamisha, Tukamuuliza kulikoni akasema tujifiche kwanza ili tuwapoteze wamasai wapoe...

Mimi ndio nikaanza kulalamika nikiwa najua tutauliwa pale na wamasai, nikawa namuambia yule msichana wa mbele yangu "Eti X au mimi nitakuua naota,??" Nae akawa anasema hapana labda yeye ndio atakua anaota, Tukawa tunabishana, Alikua ameshika chupa ya maji nikamwambia nimwagie maji niamke, Akanimwagia na kujikuta nipo kitandani, kumbe ilikua ni ndoto...

Hii nayo inaeza ikawa ni Lucid Dream???
 
Rakims

Rakims

JF-Expert Member
Joined
Jun 4, 2014
Messages
2,470
Likes
1,407
Points
280
Rakims

Rakims

JF-Expert Member
Joined Jun 4, 2014
2,470 1,407 280
Km jambo ni baya ulmeshaliona kupitia njozi/ hisia utafanyeje lisitokee?
Pale unapostuka unageuka ubavu opposite na kusema "Qul lan yusibana ila maa kataba llahu lana huwa mawlana wa ala llahi faliyatawakalil muuminiin" kama ni muislam, kama ni kristo sema "najikinga kwa mwenyezi mungu kutokana na shari hii inayotaka kunikuta au kutokea"

Na kama ni mpagani basi unasema "Nonsense/lidiculous this aint gonna happen/ upuuzi huu hauta tokea kamwe.

Hongera mkuu umeweza kuexperience lucid dream hapo baada ya kujua hilo ungerelax ukatizama mkono wako kama vidole havipo sawa ungeona hivyo basi ungeanza kuendesha ndoto hiyo unavyotaka huku ukikwepa vioo usiviangalie maana ukiimagine tu kioo kinatokea na ukiangalia ukakuta hamna mtu basi hapo ndio umeamka

Rakims
 
M

Ms mol

JF-Expert Member
Joined
Mar 31, 2017
Messages
1,597
Likes
1,849
Points
280
M

Ms mol

JF-Expert Member
Joined Mar 31, 2017
1,597 1,849 280
Pale unapostuka unageuka ubavu opposite na kusema "Qul lan yusibana ila maa kataba llahu lana huwa mawlana wa ala llahi faliyatawakalil muuminiin" kama ni muislam, kama ni kristo sema "najikinga kwa mwenyezi mungu kutokana na shari hii inayotaka kunikuta au kutokea"

Na kama ni mpagani basi unasema "Nonsense/lidiculous this aint gonna happen/ upuuzi huu hauta tokea kamwe.

Rakims
Mimi. Nzuri hsijawahi tokea mbaya nikiiota afu nikasahau!! Ohoooi
 
MSILOMBO

MSILOMBO

JF-Expert Member
Joined
Dec 3, 2015
Messages
471
Likes
300
Points
80
Age
28
MSILOMBO

MSILOMBO

JF-Expert Member
Joined Dec 3, 2015
471 300 80
Sijaelewa nakusudio apoo. Kwamba unafurahisha roho au inamsaada gani in reality ?? Sawa ntakutana na mtu mkubwa duniani . sasa vipi kuhusu dunia halisi hii nayoishi siyo naishi kitajiri ndotoni nikiamka hali ni ile ile ya kimaskini duniani.

ila kuna siku nimeota ndoto ghafla akaja mtu akaniamshaa aisse nilichukia sana coz nilikuwa na enjoy kwenye ndoto.

Nyingine siwezi kuisahau ni kuwa kuna mtu alikuja nikiwa ndotoni na nimekuja kujua nipo ndotoni baada ya kuamka kwa namna ile alokuja nilijua ndy nipo reality kumbe siyoo.. Aliniambia ni sujudu sasa nikasujudu sijaelekea qibla bila kujua nikatanabahu tu kwenye akili yangu kuwa sijaelekea qibla ndiyo nikaelekea mahali sahihi. Kuna maswali aliniuluza mengine siyakumbuki ilaa ni ya dinii sana na hali ilikuwa nzuri maana ilikuwa kama panel.

Zipo nyingi. But sijaelewa mantiki ya elimu yako.
 
Noswerd malila

Noswerd malila

Member
Joined
Jan 12, 2014
Messages
98
Likes
27
Points
25
Noswerd malila

Noswerd malila

Member
Joined Jan 12, 2014
98 27 25
Hii kitu mm hunitokea Mara nyingi sana huwa najitambua kua nipo ndotoni baada ya gari ninayoitumia ndotoni kuanza kubadilikabadilika kunzia shape mpaka speed
 
Rakims

Rakims

JF-Expert Member
Joined
Jun 4, 2014
Messages
2,470
Likes
1,407
Points
280
Rakims

Rakims

JF-Expert Member
Joined Jun 4, 2014
2,470 1,407 280
Sijaelewa nakusudio apoo. Kwamba unafurahisha roho au inamsaada gani in reality ?? Sawa ntakutana na mtu mkubwa duniani . sasa vipi kuhusu dunia halisi hii nayoishi siyo naishi kitajiri ndotoni nikiamka hali ni ile ile ya kimaskini duniani.

ila kuna siku nimeota ndoto ghafla akaja mtu akaniamshaa aisse nilichukia sana coz nilikuwa na enjoy kwenye ndoto.

Nyingine siwezi kuisahau ni kuwa kuna mtu alikuja nikiwa ndotoni na nimekuja kujua nipo ndotoni baada ya kuamka kwa namna ile alokuja nilijua ndy nipo reality kumbe siyoo.. Aliniambia ni sujudu sasa nikasujudu sijaelekea qibla bila kujua nikatanabahu tu kwenye akili yangu kuwa sijaelekea qibla ndiyo nikaelekea mahali sahihi. Kuna maswali aliniuluza mengine siyakumbuki ilaa ni ya dinii sana na hali ilikuwa nzuri maana ilikuwa kama panel.

Zipo nyingi. But sijaelewa mantiki ya elimu yako.
Lucid dream mkuu huweza kubadili maisha ya mtu akitaka kwa maana unaweza kuwasiliana na roho yoyote ukiwa humo
 
Mathias Raymond Nyakapala

Mathias Raymond Nyakapala

JF-Expert Member
Joined
Mar 1, 2017
Messages
1,844
Likes
1,120
Points
280
Age
31
Mathias Raymond Nyakapala

Mathias Raymond Nyakapala

JF-Expert Member
Joined Mar 1, 2017
1,844 1,120 280
Huu mbona kama ni Uchawi?
 
Khalifavinnie

Khalifavinnie

JF-Expert Member
Joined
May 19, 2017
Messages
1,400
Likes
808
Points
280
Khalifavinnie

Khalifavinnie

JF-Expert Member
Joined May 19, 2017
1,400 808 280
Nimeota naduuuuuu na wema sepetu
 
Forum statistics

Threads 1,262,466
Members 485,588
Posts 30,123,046