Nilifanya haya kutengeneza ndoto za lucid

Mimi Melki

Senior Member
Mar 31, 2022
155
256
Ndoto hizi (lucid dreams) ni pale mtu unapoota huku ukifahamu fika kuwa ninaota na ndipo unapoweza kufikiri ni tukio gani litokee kwenye ndoto yako, nani ahusike, na nani umuondoe!

Nitazungumzia kwa ufupi ni jinsi gani nilivyoweza kuamsha ndoto za lucid!

✓nilipitia makala mbalimbali ili nifahamu mengi kuhusu kutengeneza ndoto hizi!
✓kila nilipolala nilijaribu kufanya imagination ya matukio wakati nilipokuwa napatwa na ile hali ya kuleweshwa (kipindi katikati ya ufahamu na usingizi)
✓nilitegesha alarm masaa manne mbele pindi nilipokwenda kulala, na hata nilipoamshwa nilisoma kurasa mbili za simulizi kwenye kitabu changu pendwa kilichonifurahisha!
✓baada ya kusoma tu nilirejea kulala
✓pindi nilipoota ndoto ya kawaida niliiandika yote pale niliposhtuka tu, na kuanza kukumbuka matukio yasiyo ya kawaida kwenye hiyo ndoto kama kupaa, kupiga risasi, watu waliokufa kitambo n.k
✓nilijiambia mwenyewe kuwa pindi nitakapoota tena, lazima nitajua tu kuwa niko kwenye ndoto
✓nilianza kufanya tafiti kugundua kuwa naota ama sioti, nilifanya haya:
•nilijitazama kwenye kioo kila muda nilipoingia chumbani
•niliandika neno mkononi kisha kulisoma mara mbili mbili kila muda
•nilijaribu kupitisha vidole vyangu vya kulia kwenye kiganja changu cha kushoto
•niliitazama saa yangu ya mshale niliyovaa mkononi kila mara
•niliitazama ngozi ya mikono yangu kila mara
•kila nilipoingia chumbani kwangu nilitazama kuona kama mpangilio wa vitu uko sahihi kama nilivyouacha!
•pindi nilipoamka tu, nilirukaruka pindi nilipotoka kitandani!

Ndoto ya lucid kwa mara ya kwanza yanijia!

Mwaka jana siku fulani niliamsha na alarm usiku. Lakini wimbo wa alarm ulioita haukuwa ule ambao nimeuzoea! Na isitoshe hata kwenye simu yangu haukuwepo! Nikaanza kuwaza kuwa usiku huo nimeota ndoto gani! Ila sikukumbuka kitu, nikaitazama diary yangu ambayo upande wa juu iliandikwa jina langu, jina langu halikuonekana vizuri! Nikalitazama kwa umakini zaidi, nikagundua kilichokuwepo pale ni mchoro wa spring! Ndipo nilipoanza kugundua hii sio kawaida, ndipo nikakimbilia sebureni kuchukua kioo ili nihakikishe, nakumbuka kwenye mlango nilipita nusu mwili mwingine ulipitia ukutani moja kwa moja hadi kwenye kioo! Ila kioo hakikuonesha kitu,sikuhitaji kukitazama kwa umakini nikiwa na sababu binafsi ambayo pindi nitakapopata muda tena ntawaeleza kwa kina! Katika hali ya mshangao, nilijikuta nikielekea juu ya paa na kuchomoza nje moja kwa moja! Na ndipo palipokucha! Ndoto ilianza na matukio ya siku ya mwisho, baadae yaligeukia matukio yaliyokuwa kwenye kitabu changu pendwa!

Inastaajabisha!
Lakini niliweza ku control matukio kwenye ile ndoto. Nitaandaa uzi kuhusu hiyo ndoto ya kwanza ya lucid na matukio yake kisha ntawafahamisha ni kwanini niliyaota na ni kivipi nilikuwa na uwezo wa kuyacontrol

Kwa utakaejaribu kitendo hiki, nakupatia njia rahisi ya kuamka kutoka kwenye lucid dream:

•tengeneza picha ya nyumbani kwako, itakapokuonesha njia, ingia chumbani ulale kama unavyolala siku zote! Pindi utakapolala jifunike na shuka, subiri usinzie ili utakapoamka uamke kwenye reality (ila kuna muda inatokea unaamka kwenye ndoto pia, inashangaza)

•iambie nafsi yako kuwa sasa ni muda wa kuamka, utaamka, ila kuna wakati inaweza kuwa ngumu kuamka!

•paza sauti huku ukifanya imagination ya kuamka kawaida! Utajikuta ushaamka!

•kuna muda pindi nafsi itakapogundua kuwa umefahamu fika kuwa uko kwenye ndoto utaamka automatic

Kwa yeyote aliyewahi kupatwa au kutengeneza ndoto za lucid, atupe mwongozo tuongeze ujuzi!

Nawasilisha!
 
Mambo magumu haya
 
Vp mkuu astral projection hufanyi? Nahitaji mbinu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Watu wanapata lucid dream akina Sisi tunaishia kupata wet dream aisee
 
Elimu za uongo hizi za Mshana Jr na Rakims
 
Back
Top Bottom