Jinsi ya kumuweka mume wako kiganjani

Jinsi ya kumuweka mume wako kiganjani

mwanaume yyte lazima awe mwanaume biashara za kuekana kiganjan ni za kizaman............sasa akiwa kiganjan pesa atatafuta wapi?? na wewe huendi job??

mpe uhuru mwana wa mwenzio na muda mwingine bora apige mechi za nje akirudi ndani ana heshima yake. yann kupata jaka moyo kisa mtoto wa mwenzio??

haya ndo yalee ya

'' urembo wa kachumbari kukaa juu ya pilau ikadhan imepakatwa kumbe ya kwanza kuliwa''
Really talk as a Teacher.
 
He he he, wakati mie mwenyewe nataka nimpeleke puta ajue game iko tait hata kwangu!!!

Huwezi tunza mtu kama hakutaki, bora mtakane tu wote

umeona eeeh!! wahangaika na mtu kumbe hana hata habari. kuna raha yake bana kupeana space sio kufanyana mazezeta.
 
Hata mufanyeje kama ni wakuchapa na kusepa... Mambo yatabakia pale pale tuuuuu...... Kuonja hakutaisha kamwe.... Bios za me ni noma sana.....
 
hivi na wanaume huwa wanahangaika hata kidogo ku keep a relationship?

ama hakika wanawake tumeumbwa mateso

Watahangaikaje na washaona sie ndio tunakukuruka mpaka basi.
 
nimeipenda

Believe me there is a man out there you wouldnt wanna lose out of boredom. You wanna keep it fun and exciting

He may be getting some sugar somewhere but there is a reason he comes back to you.
 
nimekuja shogaa, kweli
wanavimba vichwa vyao vya juu na chini vile wakituona tunahangaika.
tusipende kujichosha bana halafu upendo kama haupo haupo tu, mweke
kiganjani, mweke kwenye macho, mweke hata ndani ya pua kama kaamua
kujanjaruka hatotulia ng'o.

haya mwaliwangu hug lako hiloo chkua nimeona unaitwa mwajuma lol!mwanamke umbea babu
turudi kwenye mada ifike mahal wanawake tuamke yapo mambo ya kufanya kumtunza mume lakini wema usizid uwezo jaman wanachopenda kutendewa na wao watutendee ah!yan utadhani kuolewa deni ama utumwa
 
mwanaume yyte lazima awe mwanaume biashara za kuekana kiganjan ni za kizaman............sasa akiwa kiganjan pesa atatafuta wapi?? na wewe huendi job??

mpe uhuru mwana wa mwenzio na muda mwingine bora apige mechi za nje akirudi ndani ana heshima yake. yann kupata jaka moyo kisa mtoto wa mwenzio??

haya ndo yalee ya

'' urembo wa kachumbari kukaa juu ya pilau ikadhan imepakatwa kumbe ya kwanza kuliwa''
Ticha ushaanza maneno yako....50/50 sina pa kuelemea ila ukiongeza juhudi za kumbana mwanamme ni sawa na kumpa akili ya kuvumbua mbinu mpya za kujinasua. Amini siyo mwaminifu awe mwaminifu kuliko kuamini ni mwaminifu kisha utiwe ndimu mchanganyiko wa pilipili.
 
hivi na wanaume huwa wanahangaika hata kidogo ku keep a relationship?

ama hakika wanawake tumeumbwa mateso

ndo hapo pa kujiuliza tatizo mijanaume ye2 imetawaliwa na mfumo dume inapaswa kila mtu achkue nafasi yake kumfurahisha mwenzie.
 
Believe me there is a man out there you wouldnt wanna lose out of boredom. You wanna keep it fun and exciting

He may be getting some sugar somewhere but there is a reason he comes back to you.

Ukishiba unakuwa na akili sana kumbe!!!!!!
 
Back
Top Bottom