Valentina
R I P
- Oct 12, 2013
- 24,688
- 28,849
Vema sana....Mimi ntaridhika. Sijui wengine..
Ukiridhika na mwenzio ataridhika
Vema sana....Mimi ntaridhika. Sijui wengine..
Ukifika uwanja wa mpira k2 utanopigia kwa 0788599211Yap, nielekeze mtumishi nije unipige upako...
Ni pale mwanaume alipoona kashindwa wajibu wake na kuamua kumtwisha mwanamke majukumu yake[emoji134] [emoji134]..kwaio kwa kwenda ofisini ndo circumstances zmechange au?![emoji23] [emoji23] [emoji23]
Tunguli zangu hizi hapa
Proverbs 31
Praise for a Good Wife
10 Who can find a virtuous woman? for her price is far above rubies.
11 The heart of her husband doth safely trust in her, so that he shall have no need of spoil.
12 She will do him good and not evil all the days of her life.
13 She seeketh wool, and flax, and worketh willingly with her hands.
14 She is like the merchants' ships; she bringeth her food from afar.
15 She riseth also while it is yet night, and giveth meat to her household, and a portion to her maidens.
Sio usawa bali utu, hebu muwe na utu khaaaah!! Mlindwe mmekuwa kopo la kombolela nyie!!! Kiruuuu!!..Tatizo naona hapa ni Equality mnatafuta kumbe something that can never be fathomed,itabaki kuwa ndoto [emoji12] [emoji12]
Natumaini wenye akili watapima kati ya mleta mada na wewe mchangiaji nani mwenye akili, hekima, maharifa na busara.Siku mtakapojua jua kuwa hakuna kishawishi wala sababu za kuchepuka ndipo fikra sahihi zitakuwa zimeeleweka.
Fanya zoezi dogo
Tafuta wanaume kumi wanaochepuka kisha waulize kwa nini wanachepuka?
Tafuta watu wa kada/uwezo/elimu/dini tofauti.
Hakuna atayekwambia anachepuka eti kwa kuwa mkewe ni mchafu au hajui kupika.
Hizo ni vijisababu tu ambavyo havina maana.
Kwa masomo yenu haya yasio na maana mmewafanya wanawake wengi waone kuwa iwapo mumewe anachepuka basi wa kulaumiwa ni yeye. Mnawatesa hawa wanawake hata kufikia hatua ya kuwa watumwa kwenye ndoa ili tu kukidhi haja na tamaa za.mwanaume.
Wengine mpaka wanaingiliwa kinyume na maumbile na wanaume wao wa ndoa kwa hofu asipompa hilo tundu basi atachepuka.
Sijui ni aina gani vitabu vya kiroho unavyosoma ikiwa una fikra na mtazamo hafifu kiasi hiki.
Kwani inamgharimu nini mwanaume kufua nguo za.mkojo za mtoto wako au kuhakikisha kuwa nyumba yako ni safi?
Wanawake na wanaume wanaochepuka kutoka kwenye mahusiano ya ndoa hawana sababu zaidi ya maamuzi ya makusudi ya kuvunja uaminifu na viapo vya ndoa.
Let's change instead of entertaining kuchepuka.
Hahaha.Vema sana....
Ukiridhika na mwenzio ataridhika
Kiafrika kuna kuoa na kuolewa, ni kizunguni tu ndio kuna kuoana.Mbona huwa sioni mafundisho ya aina hii kwa wanaume? Au ndoa ni ya mwanamke peke yake?
Kwanini mwanamke atumie affort kubwa sana kuilinda ndoa as if ni yake peke yake?
Kwanini muwafanye wanawake wajione watumwa kwa ndoa zao? Hivi yule aloambiwa atumie akili, hiyo akili aitumia wapi?
Na hii mentality inaitafuna jamii kwa kiasi kikubwa sana, kiasi kwamba wanaume wanajiona kumuoa mwanamke ni kumfanyia fadhila tu hivyo apaswa kuhakikisha anabaki humo.
Ndoa ni ya wawili, hizo effort lazima ziwe pande zote, lasivyo ni kutwanga maji kwenye kinu tu.
Hahaha nimecheka jamani, kombolela atotoSio usawa bali utu, hebu muwe na utu khaaaah!! Mlindwe mmekuwa kopo la kombolela nyie!!! Kiruuuu!!
wewe utakuwa mzungu 😀 Wabongo wa hivi wapo kweli?
Wewe mwenye commitment na mkeo kwa nini usikitulize nyumbani kwako na mkeo? Wewe huna huruma na mkeo, huo mchepuko utaanzaje kumuonea huruma mkeo? Acheni kujifanya victims eboooooHata hivyo wanawake ndio chanzo cha wanaume kuchepuka, hasa pale mnapomkubalia mwanaume huku mkijua anamwibia mwanamke mwenzenu huko nyumbani kwake, na wengine mnafikia kuweka mitego ya kiganga na pia kujiuza mabarabarani.
Kwanini nyie wanawake mliofanikiwa msiwainue wanawake wenzenu wanaotegemea kipato chao kutokana na mifuko ya wanaume?!
Haya usemayo ni kweli kabisa, lakini palipo utulivu ndoa huwa inadumu hata mwanaume akichepuka nafsi inamsuta na chanzo cha utulivu ni mke mwema.Usimavyo labda ni kweli mkuu, sidhani kama ni uchafu au kutopikiwa vizuri au kukalipiwa kunawafanya wanaume watoke nje ya mahusiano yao. Wapo wanawake wanafanya hayo yote hata si kwasababu ana mme ndani bali kwa kuwa anaona ni vyema kuishi mazingira safi na kula vitu vilivyopikwa vizuri na kuongea kwa lugha nzuri na watu. Ila binadamu tuna tabia ya kutamani vitu vipya, tunashindwa kukumbuka kua unapooa si kwamba mkeo ndio mzuri pekee, ila umeamua kujinyima na umechagua mfumo huo wa maisha. Hakuna jambo lenye faida pekee, hata ndoa ina challenge zake. Hivyo kuoa sio kuwa tamaa zako za mwili zimekoma daima utatamani wanawake wengine, ila tu tunatakiwa kujinyima na kusimamia tulicho kichagua.
Napita hapo kila siku, block namba ngapi mtumishi?Ukifika uwanja wa mpira k2 utanopigia kwa 0788599211
Mie nakumiss bana[emoji17]Hahaha.
Mambo vipi lakini?
Wanawake muweni na huruma wenyewe kwa wenyewe, iweje unayejua hasa maumivu ya mume ukubali kumpokea mwanaume wa mwenzio na kumpa hifadhi?!Wewe mwenye commitment na mkeo kwa nini usikitulize nyumbani kwako na mkeo? Wewe huna huruma na mkeo, huo mchepuko utaanzaje kumuonea huruma mkeo? Acheni kujifanya victims ebooooo
Hata nyie mkitia ngumu, mkaheshimu ndoa zenu na viapo vyenu, wanawake wa nje wataingilia mlango gani? Muwe wanaume kweli, muwe responsible na matendo yenu, sio kujifanya watoto wadogo wasiojua walifanyaloWanawake muweni na huruma wenyewe kwa wenyewe, iweje unayejua hasa maumivu ya mume ukubali kumpokea mwanaume wa mwenzio na kumpa hifadhi?!
Unajua wanawake mkitia ngumu kwa wanaume walio na wake zao hakutakuwa tena na mchepuko??
Huyo mchepuko wako ni mke wa mtu? Maana umesema anajua uchungu wa mume!! Sasa kwani huyo mchepuko wako ndio aliweka ahadi na nadhiri mbele ya Mungu na wanadamu kuwa hatochepuka?? Kwanini kila upuuzi wenu mnataka wanawake ndio wabebe lawama nanyi muwe victims!!!Wanawake muweni na huruma wenyewe kwa wenyewe, iweje unayejua hasa maumivu ya mume ukubali kumpokea mwanaume wa mwenzio na kumpa hifadhi?!
Unajua wanawake mkitia ngumu kwa wanaume walio na wake zao hakutakuwa tena na mchepuko??
[emoji122] [emoji122] maoni mazuri.Siku mtakapojua jua kuwa hakuna kishawishi wala sababu za kuchepuka ndipo fikra sahihi zitakuwa zimeeleweka.
Fanya zoezi dogo
Tafuta wanaume kumi wanaochepuka kisha waulize kwa nini wanachepuka?
Tafuta watu wa kada/uwezo/elimu/dini tofauti.
Hakuna atayekwambia anachepuka eti kwa kuwa mkewe ni mchafu au hajui kupika.
Hizo ni vijisababu tu ambavyo havina maana.
Kwa masomo yenu haya yasio na maana mmewafanya wanawake wengi waone kuwa iwapo mumewe anachepuka basi wa kulaumiwa ni yeye. Mnawatesa hawa wanawake hata kufikia hatua ya kuwa watumwa kwenye ndoa ili tu kukidhi haja na tamaa za.mwanaume.
Wengine mpaka wanaingiliwa kinyume na maumbile na wanaume wao wa ndoa kwa hofu asipompa hilo tundu basi atachepuka.
Sijui ni aina gani vitabu vya kiroho unavyosoma ikiwa una fikra na mtazamo hafifu kiasi hiki.
Kwani inamgharimu nini mwanaume kufua nguo za.mkojo za mtoto wako au kuhakikisha kuwa nyumba yako ni safi?
Wanawake na wanaume wanaochepuka kutoka kwenye mahusiano ya ndoa hawana sababu zaidi ya maamuzi ya makusudi ya kuvunja uaminifu na viapo vya ndoa.
Let's change instead of entertaining kuchepuka.
[emoji3] [emoji3] [emoji3] duh. [emoji3] [emoji3] [emoji3]na ku chat kwenyewe ni ujinga ujinga tu
eti 'umeshakula'? ....ndo 'unatoka'?