Jinsi ya kumlinda mumeo

Jinsi ya kumlinda mumeo

Kuna watu wanakabati la vyombo limejaa vyombo vingi na vizuri,,,,lakn mwanamke hajawai kuvitumia vile vyombo vizr kwa mumewe hata cku moja. Lakn cku akija mgeni utaona ndo anavitoa wkt mumewe hajawai kuvitumia. Iyo tabia mbya badiliken hakikisha vyombo vyote mumeo ametumia
 
Sio sababu wengine hata uombe livu wako hivyo tu.
Nikama asili yao kuchepuka.
Ila hakuna mwanaume asiye na mchepuko kwelii wote wanamichepukoo ila wapo daraja 4.
Daraja A ni wale wanatoka nje ya ndoa zao ila wanaheshimu ndoa zao.
Daraja B
Hao wanadharau wake zao hupenda kuikwaza familia yake kuibeza kutojali hisia zao hufurahii wakiwa na huzuni kisa yeye anamchepuko.
Daraja C
Hawa huwa na Siri sanaa wao hubeba daraja A na C kwa ujumla hujui huwezi kufumania hadi siku ya kufaa kwako.
Nakukuonyesha ni ndoto yupo vile vile hata ugomvi ukitokea ni wakawaida hawahusiani.
Daraja D
Hawa ni huwa wakalii pindi wakiwa na michepuko hupiga watoto wake zao mpaka eti kisa katoka nje anadharau familia yake.
Huwanyima matumizi hynyanyasika hawapati hata mia shule husoma kwa shida hata milo.
Kuna wadada ni wazuri sana ila waume zao wako njee na wakina betina wao niwakiba zena wazuri wasafi kuanzia kitanda yeye mapishi kuhandle mume maneno matamu nini hili lile ila wahii anatoka tu au wanakwenda kwa akina zena wanawaacha wakina betina.
Wanaume noma.
 
Hongera sn my Dada miss chagga, nilikumic mzma we??????
Hapo nimeanza tu na wajibu Wa mke nitaendelea na wajibu Wa mume. Just stay online
Asante pastor miss u more nasubiria wajibu wa mume
 
Umesahau 'kukaa kimya'

wakati mwingine mwanamke anatakiwa tu anyamaze kiimya
ili mtu kichwa kitafakari ya maana

sio kuta tu kuongea ongea
Very true, kuna wanawake wanaongea na 'kubwatuka' hata concentration inapotea ndani.
 
Habari za majukumu wapendwa?

Wanawake wengi hawajui nafasi ya mume, hivyo kufanya mambo kiholela na kujikuta NDOA inaanza kuleta matatzo.

Jinsi ya kumlinda mumeo:

1. MAPISHI
Unapokua upo jikoni unaandaa chakula, ni lazima ujue kuwa anaekula ni mumeo, hivyo ni vizuri ukatumia ujuzi wako wote kuhakikisha mumeo anakula chakula kizuri. Wanawake wanapika chakula kizuri siku za sikukuu ndo anajitahidi kutumia uelewa wake wote katika kupika ili tu aonekane na majirani.
Au siku ukisikia mumeo anakuja na mgeni rafki yake alafu yamkini ni mtu mwenye cheo fulani ndo unataka upike vizuri.
KWA IYO USITAKE KUPIKA VIZURI ETI KWA SABABU KUNA MGENI AMEKUTEMBELEA BALI IWE NDO TABIA YAKO KWA MUMEO

2. USAFI
Wanawake bado hawajajua kuwa usafi ni kivutio pia kikubwa kwa mwanamume. Na kama tunavyojua kuwa usafi maana yake ni "kila kitu mahali pake"
Sasa wanawake utakuta vijiko vya chakula vipo kwenye kitanda eti kwa sababu tu ana mtoto mdogo. Au nguo za mikojo ya mtoto unaweka chini ya kitanda mpaka zinaanza kutoa harufu. USAFI NI MUHIMU SANA, IWE KWAKO MKE, AU MAZINGIRA YA NYUMBA. NA HAPA SIMAANISHI KUWA MSAFI KWA MAANA YA KUJIPODOA.

3. MANENO MAZURI
Mke ni lazma ujue maneno ya kuongea na mumeo. Maneno mazuri yatamlinda mumeo pale atakapoyasikia kwa wengine. NA HATA KAMA MUMEO HATAONYESHA KUJALI, BADO WEWE MKE UNATAKIWA KUENDELEA KUKAA KWNYE HIYO NAFASI.

Mungu akusaidie ewe mke kuitumia nafasi yako. Kama una swali katika NDOA na huwezi kuliweka hapa njoo inbox au piga simu 0788 599211, 0757 856336 kwa ushauri zaidi na maombezi au fika Kanisani kwetu Mlima wa Neema hapa Tegeta Kibo.

Acheni kudanganyana wanawake fanyeni kazi muongeze kipato na heshima. Kila wakati mnawaza dyudyu ndio chanzo cha kutokufanya kazi au kufanya kazi pasipo ufanisi.

Thank you,
 
Siku mtakapojua jua kuwa hakuna kishawishi wala sababu za kuchepuka ndipo fikra sahihi zitakuwa zimeeleweka.
Fanya zoezi dogo
Tafuta wanaume kumi wanaochepuka kisha waulize kwa nini wanachepuka?
Tafuta watu wa kada/uwezo/elimu/dini tofauti.
Hakuna atayekwambia anachepuka eti kwa kuwa mkewe ni mchafu au hajui kupika.
Hizo ni vijisababu tu ambavyo havina maana.
Kwa masomo yenu haya yasio na maana mmewafanya wanawake wengi waone kuwa iwapo mumewe anachepuka basi wa kulaumiwa ni yeye. Mnawatesa hawa wanawake hata kufikia hatua ya kuwa watumwa kwenye ndoa ili tu kukidhi haja na tamaa za.mwanaume.
Wengine mpaka wanaingiliwa kinyume na maumbile na wanaume wao wa ndoa kwa hofu asipompa hilo tundu basi atachepuka.
Sijui ni aina gani vitabu vya kiroho unavyosoma ikiwa una fikra na mtazamo hafifu kiasi hiki.
Kwani inamgharimu nini mwanaume kufua nguo za.mkojo za mtoto wako au kuhakikisha kuwa nyumba yako ni safi?
Wanawake na wanaume wanaochepuka kutoka kwenye mahusiano ya ndoa hawana sababu zaidi ya maamuzi ya makusudi ya kuvunja uaminifu na viapo vya ndoa.
Let's change instead of entertaining kuchepuka.
MUNGU AKUBARIKI NA ZAIDI KUKUONGEZEA.
AMINA
 
well said
ila inategemea, kama ni ule uchepukaji wa kwenye damu hata uwe unamsujudia bado ataizungusha tu dunia zima
 
Hahaaaa!!sio kwa kiumbe ambae hujamuumba wewee!

Mwenye tabia yake haachi hata umfanyeje!

Hahaaaa!!aiseee!!

Fanya yote!mwingine nature yake kua na michepuko!
Kumbe unaijua hulka yetu....
Vizuri saaana....
 
Imekuwa serious kiasi hicho? mwambie atulize kamguu kwako, hatawamaliza hapa mjini wamejaa.
nimeona zana za ulinzi zimewekwa nying sana
sasa ndo naona tu nifanye njia fupi!
ultimate security au kiboko sijui chui!
ahahahahahhaha upo mpwa?
 
Tuache kudanganyanya huwezi mlinda mtu mwenye meno yake 32 ni ngumu sana

Hizi hadithi za wanawake kudanganyana ndio maana kila siku wapigwa mimba, vibuti na talaka kwa sababu ya kuchukulia uzito mambo ya kuambiwa... every human being is unique.
 
Back
Top Bottom