Atoto
JF-Expert Member
- Jul 19, 2013
- 89,493
- 176,562
Aiseee!! Hivi huwa mnadhani mnaoa saints?? Hiyo comfortability huwa pande zote, we ongea na wanawake waliolewa watakuambia...Kuchepuka ni Choice Ila wanawake wanakua source mno they Get comfortable kisa kaolewa Unlike alivyokua enzi anawindwa
Mtambue kuwa baada ya kuoana wanafuatia watoto hivyo mama anajigawa kwa watoto na mume, haiwezi ikawa sawa na kabla mlivyokuwa wawili tu!!
Huyu mke ni mfanyakazi/mfanyabiashara(kama wewe) ila bado ni mke na mama, kweli kwa uzito huo wa majukumu bado hadi boksa unalilia kufuliwa!!!
Damn!!!