Jinsi ya kumlinda mumeo

Jinsi ya kumlinda mumeo

😀

sijui uliona thread ya yule Dada, mume wake hamsaidii nyumbani anachoka na usiku nako anachoshwa.

nilisoma comments nikaishia kumpa pole tu, manake ndo niliona akili za wanaume huku and there was no way I could fight them all.

aliyeniacha hoi akamuuliza "umeambiwa kwenye ndoa kuna kupumzika?"

ndo ujue kuwa mke wa muafrika means kuwa mtumwa wake otherwise you're not woman enough and you're useless na atatishia kukureplace any time.

sasa ndo mapenzi haya au kitu gani!! na si unajua kujulikana una ndoa ndo kila kitu huku, basi mnabanana hivyo hivyo.

what a life!!
Yaani we acha tu, ukifuatilia tu hata comment zao humu unaona tu ni kwa kiasi gani wanawake tuna mizigo, maana ndio hawa hawa waume zetu.

Wanaojitambua ni wachache mnooo. Angalia thread yoyote iliyoanzishwa na mwanamke kuhusu tatizo la mwanaume, yaani atageuziwa yeye lawama zote ikiwezekana na matusi juu, sasa ikija inayohusu wanawake yaani yatawatoka hadi ya sirini, mpaka unabaki tu kusema hawa ndio watoto,waume na baba zetu kweli!!

Haki kama ni laana nadhani Afrika tulipewa na bonus.
 
Bwana asipoulinda mji, wote waulindao wanakesha bureeee! Wanawake fanyeni zehemu yenu na muombee ndoa zenui
 
1. Huwezi kumlinda mtu

2. Siyo busara kufanya jambo kwa minajili ya kumplease mwenzako.

3. Cha muhimu ni kutimiza wajibu wako, kupata haki yako na kutoa haki ya mwenzako...... Kinyume na hapo mapenzi yanaweza kugeuka utumwa
 
back then when women were just housewives.
and working women still do HARD WORK.

Those books also COMMAND you to love your neighbor as your self, treat your wife like your own body, do unto others as you want them to do to you, to look out for other people's interests and not only your own.

And I'm very sure when the bible asked to observe ants and imitate them, it wasn't only taking to women.

umekaa na tunguli zako kabisa una quote vitavu kutetea uvivu wako!!!!!!

Yaani wewe comment zako zinanifurahisha ile mbaya, I love u so much.
 
Nkajua analindwa kwa sime na rungu
Waaaaaooooo!!! Jaman upooo?? VP mzmaa ww???
1475269789854.jpg
 
Ni mwanzo mzuri,ila ulitakiwa kukomaa zaidi kuwafunda jamaa.Naona wengine midomo yao inatoa shubiri na sukari.
Habari za majukumu wapendwa?

Wanawake wengi hawajui nafasi ya mume, hivyo kufanya mambo kiholela na kujikuta NDOA inaanza kuleta matatzo.

Jinsi ya kumlinda mumeo:

1. MAPISHI
Unapokua upo jikoni unaandaa chakula, ni lazima ujue kuwa anaekula ni mumeo, hivyo ni vizuri ukatumia ujuzi wako wote kuhakikisha mumeo anakula chakula kizuri. Wanawake wanapika chakula kizuri siku za sikukuu ndo anajitahidi kutumia uelewa wake wote katika kupika ili tu aonekane na majirani.
Au siku ukisikia mumeo anakuja na mgeni rafki yake alafu yamkini ni mtu mwenye cheo fulani ndo unataka upike vizuri.
KWA IYO USITAKE KUPIKA VIZURI ETI KWA SABABU KUNA MGENI AMEKUTEMBELEA BALI IWE NDO TABIA YAKO KWA MUMEO

2. USAFI
Wanawake bado hawajajua kuwa usafi ni kivutio pia kikubwa kwa mwanamume. Na kama tunavyojua kuwa usafi maana yake ni "kila kitu mahali pake"
Sasa wanawake utakuta vijiko vya chakula vipo kwenye kitanda eti kwa sababu tu ana mtoto mdogo. Au nguo za mikojo ya mtoto unaweka chini ya kitanda mpaka zinaanza kutoa harufu. USAFI NI MUHIMU SANA, IWE KWAKO MKE, AU MAZINGIRA YA NYUMBA. NA HAPA SIMAANISHI KUWA MSAFI KWA MAANA YA KUJIPODOA.

3. MANENO MAZURI
Mke ni lazma ujue maneno ya kuongea na mumeo. Maneno mazuri yatamlinda mumeo pale atakapoyasikia kwa wengine. NA HATA KAMA MUMEO HATAONYESHA KUJALI, BADO WEWE MKE UNATAKIWA KUENDELEA KUKAA KWNYE HIYO NAFASI.

Mungu akusaidie ewe mke kuitumia nafasi yako. Kama una swali katika NDOA na huwezi kuliweka hapa njoo inbox au piga simu 0788 599211, 0757 856336 kwa ushauri zaidi na maombezi au fika Kanisani kwetu Mlima wa Neema hapa Tegeta Kibo.
 
Umenena vyema sana jerrytz haya mafundisho yamekuwepo tangu enzi na enzi na hamna kinachobadilika,hata mm ni mmoja ambae nimechoshwa na hz kelele in every media,social networks, seminar etc mwanamke afanye hv afanye vile akae hv blah blah that never end...and never give conclusive results...
Kuna ndoa mwanamke anafanyaa yooteee hayo lkn wap...
Na kuna mwingne hata hajishughulish kivile na mumewe katulia tuliiii
Sijui tuseme kila mtu na bahati yake tu lkn ukwel ni kwamba hamna fomula!!!
Sometimes naona haina maana kufundisha kila siku upande mmoja wakt upande wa pili umewekwa constant na kuhesabiwa wenye hakii ya kufanyiwa kila kitu eti unalindwa....biblia inasema mwanaume atamlinda mke wake na sio vice versa.....
Wanawake embu jaribun kutafuta suluhu kila mmoja kwa nafasi yake kwa case yake maana kuna wanawake wanaamin haya mafundisho wanayafuata wee hawapati matokeo wanachukia ndoa wanachukia wanaume wanaharibu vizazi vijavyo...
Ambianeni tu kuwa kuna haja ya kufanya hayo kwa sababu za kiafya kiubinadamu nk lakn sio sababu eti unamlinda mtoto wa mwanamke mwenzio....
Km umeolewa na mwanaume anaekupenda kweli na anaejua maana haswa ya heshima na uaminifu ktk ndoa hata aone sababu milion za kukusaliti hatokusaliti!
Na km umeolewa na mwanaume ambae sio mwaminifu hana mapenz ya kweli kwako, hatambui umuhimu na maana ya viapo vyake hata usipompa sababu ya kuvunja uaminifu atavunja tu!!
Kuna wanaume ambao ni "one woman man" akipenda amependa hachepuki hata uweje
Na kuna wanaume ambao ni womanizer hata uwe perfect by nature yeye harizik na mwanamke mmoja,au anakuchoka after sometime.
Kabla ya kuingia kwenye ndoa mchunguze vema ili ujue nini cha kutegemea.usijeenda huko ukafanya mambo ya ajabu kupambana na nature ya mtu...ni ngumu sana
Mtoa mada ulosema yote ni muhimu katika ndoa lkn sio kinga au ulinz kwa mwanaume!
It is about time we draw thin line between wife and mom,"she aint yo mama dude so show some teamwork to make ur marriage a paradise " huna cha kupoteza!!!
 
Mm nimeweka wajibu wa mke ambapo kwa kufanya hayo yanakupa Haki. Na ukishakuwa na haki ndo itakusaidia
 
Unapofanya Yale ambayo ni wajibu pia inakusaidia ww kuliko kushindana ,, hata km mmojawapo atatoka nje, basi ile Haki ulionayo kwa kutekeleza wajibu itakupigania.

Tatzo ckuiz wanawake wengi wamekosa mafundisho ya kweli(ya Kimungu),,,,na wengi wanashindwa kutekeleza wajibu kwa kisingizio cha majukumu ya kikazi.

Na wanawake wengi hasa wale wenye kazi zao ndo wanakua wajeuri wakiamini wataweza tu na kulea mtoto hata akiachwa eti kwa SBB ana kazi. Huu ni Upungufu WA ufahamu.
MUNGU AWASAIDIE
 
Umenena vyema sana jerrytz haya mafundisho yamekuwepo tangu enzi na enzi na hamna kinachobadilika,hata mm ni mmoja ambae nimechoshwa na hz kelele in every media,social networks, seminar etc mwanamke afanye hv afanye vile akae hv blah blah that never end...and never give conclusive results...
Kuna ndoa mwanamke anafanyaa yooteee hayo lkn wap...
Na kuna mwingne hata hajishughulish kivile na mumewe katulia tuliiii
Sijui tuseme kila mtu na bahati yake tu lkn ukwel ni kwamba hamna fomula!!!
Sometimes naona haina maana kufundisha kila siku upande mmoja wakt upande wa pili umewekwa constant na kuhesabiwa wenye hakii ya kufanyiwa kila kitu eti unalindwa....biblia inasema mwanaume atamlinda mke wake na sio vice versa.....
Wanawake embu jaribun kutafuta suluhu kila mmoja kwa nafasi yake kwa case yake maana kuna wanawake wanaamin haya mafundisho wanayafuata wee hawapati matokeo wanachukia ndoa wanachukia wanaume wanaharibu vizazi vijavyo...
Ambianeni tu kuwa kuna haja ya kufanya hayo kwa sababu za kiafya kiubinadamu nk lakn sio sababu eti unamlinda mtoto wa mwanamke mwenzio....
Km umeolewa na mwanaume anaekupenda kweli na anaejua maana haswa ya heshima na uaminifu ktk ndoa hata aone sababu milion za kukusaliti hatokusaliti!
Na km umeolewa na mwanaume ambae sio mwaminifu hana mapenz ya kweli kwako, hatambui umuhimu na maana ya viapo vyake hata usipompa sababu ya kuvunja uaminifu atavunja tu!!
Kuna wanaume ambao ni "one woman man" akipenda amependa hachepuki hata uweje
Na kuna wanaume ambao ni womanizer hata uwe perfect by nature yeye harizik na mwanamke mmoja,au anakuchoka after sometime.
Kabla ya kuingia kwenye ndoa mchunguze vema ili ujue nini cha kutegemea.usijeenda huko ukafanya mambo ya ajabu kupambana na nature ya mtu...ni ngumu sana
Mtoa mada ulosema yote ni muhimu katika ndoa lkn sio kinga au ulinz kwa mwanaume!
It is about time we draw thin line between wife and mom,"she aint yo mama dude so show some teamwork to make ur marriage a paradise " huna cha kupoteza!!!

Ubarikiwe sana.
 
Back
Top Bottom