Jinsi ya kumlinda mumeo

Jinsi ya kumlinda mumeo

..sio hisani Ya upendo,its responsibility no wonder mme anaacha mke anafata HouseGirl,wives wa cku hizi longolongo nyingi they are meant to dwindle chini kabisa kwenye Chain,they should deal with It
No wonder!! Sasa kwanini hamuwaoi hao house girls in the first place????
 
No wonder!! Sasa kwanini hamuwaoi hao house girls in the first place????
Mmmh siku hizi umezidi kuthink critically khaaaa. Kweli waoage tu housegirls watulie na ndoa zao. No need of kuzunguka mbuyu, Waachane na wanawake wengine coz hata wakiwaoa watarudi tu kwa housegirls
 
Mmmh siku hizi umezidi kuthink critically khaaaa. Kweli waoage tu housegirls watulie na ndoa zao. No need of kuzunguka mbuyu, Waachane na wanawake wengine coz hata wakiwaoa watarudi tu kwa housegirls
Simple and clear warahisishe kazi tu ili washinde bar vizuri, wala hawatopata taabu ya kuchungulia nani atafua boksa zake.
 
No wonder!! Sasa kwanini hamuwaoi hao house girls in the first place????
..It because we forget to sharpen our senses,movie nyingi mpka inafika Point unaamin kuna Lady in a modest woman
 
hapo sasa mwanaume mwingine ukimkalia kimya anasema ni kiburi... anaenda kwa muongeaji kuchepuka. UOTE="The Boss, post: 17781669, member: 18247"]Umesahau 'kukaa kimya'

wakati mwingine mwanamke anatakiwa tu anyamaze kiimya
ili mtu kichwa kitafakari ya maana

sio kuta tu kuongea ongea[/QUOTE]
ha
 
nafanya ninachokiweza, kilicho nje ya uwezo wangu kamwe sijilazimishi,
tunatumia muda mwingi kumwabudu Mwanaume mwenye fikra binafsi na matamanio kama binadamu wengine.
tunasahau kumwabudu Mungu,
siku akishindikana kutwa kumlilia Mungu.
Binadamu haridhishwi, ila huridhika.
 
..,wives wa cku hizi longolongo nyingi they are meant to dwindle chini kabisa kwenye Chain,they should deal with It
huyo atakayekuwa na wewe ndo yuko chini kwenye chain, mmebanana hapo chini wewe na yeye
 
Wanaume tunahitaji kusikilizwa. Sio mwanamke kujifanya much know, kila anachoambiwa haambiliki.
 
hapo sasa mwanaume mwingine ukimkalia kimya anasema ni kiburi... anaenda kwa muongeaji kuchepuka. UOTE="The Boss, post: 17781669, member: 18247"]Umesahau 'kukaa kimya'

wakati mwingine mwanamke anatakiwa tu anyamaze kiimya
ili mtu kichwa kitafakari ya maana

sio kuta tu kuongea ongea
ha[/QUOTE]
Hahaaaa!! Hawana jema.
 
nafanya ninachokiweza, kilicho nje ya uwezo wangu kamwe sijilazimishi,
tunatumia muda mwingi kumwabudu Mwanaume mwenye fikra binafsi na matamanio kama binadamu wengine.
tunasahau kumwabudu Mungu,
siku akishindikana kutwa kumlilia Mungu.
Binadamu haridhishwi, ila huridhika.
 
Siku mtakapojua jua kuwa hakuna kishawishi wala sababu za kuchepuka ndipo fikra sahihi zitakuwa zimeeleweka.
Fanya zoezi dogo
Tafuta wanaume kumi wanaochepuka kisha waulize kwa nini wanachepuka?
Tafuta watu wa kada/uwezo/elimu/dini tofauti.
Hakuna atayekwambia anachepuka eti kwa kuwa mkewe ni mchafu au hajui kupika.
Hizo ni vijisababu tu ambavyo havina maana.
Kwa masomo yenu haya yasio na maana mmewafanya wanawake wengi waone kuwa iwapo mumewe anachepuka basi wa kulaumiwa ni yeye. Mnawatesa hawa wanawake hata kufikia hatua ya kuwa watumwa kwenye ndoa ili tu kukidhi haja na tamaa za.mwanaume.
Wengine mpaka wanaingiliwa kinyume na maumbile na wanaume wao wa ndoa kwa hofu asipompa hilo tundu basi atachepuka.
Sijui ni aina gani vitabu vya kiroho unavyosoma ikiwa una fikra na mtazamo hafifu kiasi hiki.
Kwani inamgharimu nini mwanaume kufua nguo za.mkojo za mtoto wako au kuhakikisha kuwa nyumba yako ni safi?
Wanawake na wanaume wanaochepuka kutoka kwenye mahusiano ya ndoa hawana sababu zaidi ya maamuzi ya makusudi ya kuvunja uaminifu na viapo vya ndoa.
Let's change instead of entertaining kuchepuka.

Wisely said.......
 
Back
Top Bottom