Jinsi Ya Kukuza Picha

Jinsi Ya Kukuza Picha

Paulo

JF-Expert Member
Joined
Jan 5, 2009
Posts
342
Reaction score
71
Nimeona challenge ya kuweka picha kubwa inakumba watu wengi hivyo nikaona nitengeneze hii video clip ili iwe msaada kwa wengi.
CAUTION: Sikuweka sauti. Hope it will be helpful to you guys

[video]http://www.screencast.com/users/makundi/folders/Jing/media/bb99c79b-7a5c-497a-9410-e7fc40b4cb83[/video]
 
Thanks Paulo. Na ukitaka picha iwe kubwa kwenye post mpya unayoianzisha je?
 
Hapa ndiyo kasheshe kwa wengi!...Tunaomba maelekezo yako.
Mi nikiweka picha aidha zitakuwa ndogo, au zitakuwa kubwa kupita kiasi(unascroll left-right ili kuon apicha yote!)...huh!
 
Wakuu nimeona hizi comments zenu na kwa kweli they are constructive ones. Kwa sasa kazi zimenibana ofsn ila ikifika saa kumi kamili nitaanza kutengeneza video clip itakayokuwa inaelezea jinsi ya kutoa picha kwenye folder na kuiweka kwenye post mpya. Pia kuna baadhi ya free softwares ambazo unabidi udownload kwenye internet ili uweze kuiedit picha yako kwa size utakayo. So jioni nitaweka clip wakuu.
 
There you are..there you go!...anxious!
 
Kikwete na Obama
 
Attachments

  • obama_n_kikwete_500x307.jpg
    obama_n_kikwete_500x307.jpg
    26.3 KB · Views: 490
attachment.php

Mkuu, umeweka homework nini? Nimeanza. Thanks

No, sio homework! Nlikuwa kwenye mchakato wa kutengeneza video clip. Nilianza na jinsi watu wanavyoweka picha afu ikawa ndogo, then nikataka kuendelea kuonesha jinsi ya kuikuza mara ghafla umeme ukakata na weekend yote haukurudishwa. So I was unable to upload the video na hiyo picha ikawa tayari online wakati nikitengeneza demonstration video. It wasn't meant for H/W. Leo ntatengeneza
 
attachment.php

bado inanishinda lol

Click hako kabatoni kakulodi picha...kakifunguka kabla hujaweka hiyo URL source click kuondona hii tiki( <INPUT id=urlretrieve tabIndex=1 value=1 CHECKED type=checkbox name=urlretrieve> Retrieve remote file and reference locally ) mambo tayari
 
Nimeona challenge ya kuweka picha kubwa inakumba watu wengi hivyo nikaona nitengeneze hii video clip ili iwe msaada kwa wengi.
CAUTION: Sikuweka sauti. Hope it will be helpful to you guys

[video]http://www.screencast.com/users/makundi/folders/Jing/media/bb99c79b-7a5c-497a-9410-e7fc40b4cb83[/video]

Paulo una akili thanks:smile-big:
 
Wakuu msishangae mbona deleted posts ni nyingi. Niko kwenye harakati za kutengeneza video clips ndo maana nafuta marudio ya picha.
 
Wakuu tayari video clips kwa ajili yakuonesha namana mbalimbali za kuweka picha hapa JF zimekamilika. Ziko tatu
Ya kwanza inaonesha jinsi ya kuweka picha kama attachment. Hii ndo imekua ikitumiwa na watu wengi lkn sio nzuri hasa ukizingatia kiwango cha JF kutokana na kwamba picha zake zinakua ni ndogo.

Clip ya pili inaonesha jinsi ya kuweka picha pasipo kutumia njia ya attachment. Pia hii imekuwa ikitumiwa na wengi ingawaje picha bado zinabakia ndogo ingawaje kunakuwa na kaunafuu tofauti na mfumo wa kwanza wa attachment.

Clip ya tatu inaonesha jinsi ya kuweka picha ikawa kubwa. Hii ndo inayotakiwa/pendekezwa (most recommended).

1st Clip
[video]http://www.screencast.com/users/makundi/folders/Jing/media/455b118f-443d-4987-9e43-8370bfd03a62[/video]

2nd clip
TechSmith | Screencast.com, online video sharing, 2011-01-24_1324

3rd clip
[video]http://screencast.com/t/d8gkQvK4F[/video]

Enjoy guys!
 
Mmmh, mbona inakuwa ngumu Mkuu <b><a href="https://www.jamiiforums.com/member.php?u=13127" target="_blank">Paulo</a></b>?
 
Back
Top Bottom