Jinsi ya kujiandaa kujibu maswali ya BBC Hard talk kwa wanasiasa

Kwa mwanasiasa iwe upinzani au chama tawala ukiitwa kuhojiwa BBC Hard talk unatakiwa ujiandae na ujue kuwa maswali utakayoulizwa yameandaliwa na jopo la watu wengi wakiwemo donors wa chama chako au serikali na wabobezi kwenye siasa na taaluma yako ambao hutaka kukujua hasa undani wako na wa chama chako kupata undani kwa ajili ya maamuzi yao katika mambo.Mwandishi anawakilisha tu yale maswali . Maswali hujikita Kwenye udhaifu wa kwako na wa chama chako sio wa mwingine au chama kingine . Uwe tayari kwa hilo maswali huulizwa kimtego sana mfano wewe unatuhumu serikali ya Magufuli uko opposition na ni mwanasheria Hard talk watakuhoji do you have legal evidence kwenye tuhuma zako wewe au chama chako? Ukiwa huna ukajikanyaga anakuacha anaenda swali lingine lakini Meseji send kwa waliomtuma kuwa huyu mtu na chama chake hawana legal evidence pamoja na sifa zote wanazojitia kuwa nazo na hawajachukua any
legal steps.Hivyo ukienda hojiwa jiandae barabara maeneo yako ya udhaifu wako binafsi na wa chama chako au serikali kama ni kiongozi wa serikali. Ujue hutahojiwa kuhusu udhaifu wa mwingine au chama kingine nje ya cha kwako watajikita kuhoji udhaifu wako na chama champ.
Hili hubeba asilimia 90 ya mahojiano. Asilimia kumi inayobaki ni ya kukihoji maswali laini ili u relax yaweza asilimia tano yakawa mwanzo wa mahojiano na asilimia tano mwisho wa mahojiano ili walau upumue mnapoagana .Pili jizatiti na takwimu za kuaminika sio newspaper cuttings au taarifa za jamii forums. Sababu wao huwa na takwimu toka credible sources za kimataifa. Tatu wenzetu mtu akifanya vizuri hata akiwa opponent wako wana tabia ya Ya ku appreciate hilo zuri la opponent wako unajibu yes kuna mazuri kafanya unatoa mifano mizuri miwili mitatu halafu kama una reservation unasema lakini angefanya vizuri zaidi angefanya moja, mbili tatu.Usiseme aah hamna kitu alichofanya!!!!!! Mwandishi ataruka haraka kwenda swali lingine kuwa meseji send kuna mema yapo lakini huyu hajui kitu hayuko informed ni mweupe kichwani!!!

Umeitaja hapo JamiiForums kuwa huwa haina taarifa sahihi lakini Mimi kwa Kumbukumbu zangu kuna mambo mengi sana nimeyaona yamebadilika hasa Kiutendaji na kwa Watu mbalimbali hasa baada ya Kuanzia hapa Jamvini. Kama hiyo haitoshi kwa Kukusaidia tu hata hao Waandishi wa Habari au Wafuatiliaji wa mambo mengi ' Nyeti ' 85% ya ' data ' zao huwa wanazitoa hapa hapa JamiiForums na mifano ipo mingi tu. Ulichonishangaza umeonyesha ' dhihaka ' hapo kwamba Mtandao wa JamiiForums siyo sehemu sahihi ya Mtu kupata ' taarifa ' kamili sasa Wewe Siku zote huwa unafanya nini katika Mtandao ambao huuamini? Kuidhihaki JamiiForums ni Kuwadhihaki ' Members ' wote. Kabla ya Kuandika jitahidi Kwanza uwe unaushirikisha vyema kabisa ' Ubongo ' wako usije ukaonena ni ' hovyo hovyo Product ' hapa Jukwaani. Hakuna Mtandao unaoaminika na wengi kwa 99.9% kama JamiiForums kwakuwa hapa kuna Watu ' very Credible ' ambao huwa ' wanafunguka ' vyema japo wanatumia ' Fake ID's ' ila wamesaidia mno.
 
Tatizo la Lisu alikwenda kwa kupania kuichafua Serikali na JPM na inaonekana ali ipania siku ile na kuisubiri kwa hamu kubwa.
Matokeo yake kila akiulizwa kama anao ushahidi usio na shaka, Anabaki kusema kuna ushahidi wa mazingira.
Pale ndipo Dunia ilipo muona anahasira na mihemko mingi kuliko anacho taka kuwaaminisha wanao mwangalia.
Baati mbaya ata mwenyekiti wa chamachake anahusishwa na matukio ya kuwafanyia uharifu wale ambao waanaonekana tishio kwake na ata yeye Tundu inawezekana akawa mwasilika wa hayo. Yote ni kutokana na ushahidi wa kimazingira hususan unapokaribia uchaguzi ndani ya chama chao. Mfano Chacha Wangwe na Zito kabwe pale walipo jaribu ku challenge nafasi ya Mwenyekiti wao.

Sent using Jamii Forums mobile app
Serikali ya Magufuli kwanini haitaki kufanya uchunguzi shambulio la Lissu ikiwa ndio yenye jukumu la kulinda usalama wa raia na mali zao?

Kwanini serikali ya magufuli iliondoa kamera zilizokuwa karibu na eneo la tukio?

Kwanini serikali ya magufuli ilipiga marufuku uvaaji wa fulana zilizoandikwa 'We Pray For Lissu'?

Kwanini maombi ya wazi ya kumuombea Lissu yalipigwa marufuku na serikali ya magufuli?

Kwanini serikali ya magufuli imekataa kumtibu Lissu kama sheria inavyotaka?

Kwanini serikali ya Magufuli kupitia uongozi wa bunge hakuna hata ofisa mmoja aliyeenda kumjulia hali hospital iwe Nairobi ama Belgium?

Mkuu naomba majibu ya maswali haya ili twende sawa ktk ujenzi wa hoja bila mihemko ya kiushabiki

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwaiyo Lissu unampa maksi ngapi mkuu?
Lissu alitakiwa kujiandaa na kujua ile ni pitching kwa investor wake na wa ambitions zake.

He didn't really think carefully about it. His party trusted him too much. He should have been coached for that rare opportunity.

Such opportunities never come twice.

I give him 45%.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nimekuelewa mkuu, kwa kweli hata akienda mheshimiwa Rais John Joseph Pombe Magufuli lazima akutane na maswali magumu kwa mfano ataulizwa

kwa mujibu wa katiba inaruhusu mikutano ya vyama vya siasa, na wewe uliapa kuirinda na kuitetea katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania je kwa kuzuia mikusanyiko ya vyama au mikutano ya vyama vya siasa huoni unapingana na katiba uliyoapa kuirinda na kuitete?? swali litakalofuata sasa,

kwa mujibu wa sheria za Tanzania ni lazima matumizi na pesa za serikali za kutekeleza miradi mbali mbali lazima pesa hizo ziizinishwe na Bunge, je pesa za kununulia ndege, na pesa za ujenzi wa uwanja wa ndege wa chato ziliidhinishwa bungeni au ulijiamlia tu kuchukua pasipo idhini ya bunge?? Je kufanya hivyo huoni kama unavunja sheria uliyoapa kuirinda??
kile kipindi kitamu sana hakina upendeleo ni fact tu.
Jiwe hana uwezo wa kujenga hoja ataishia kurusha ngumi tu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Serikali ya Magufuli kwanini haitaki kufanya uchunguzi shambulio la Lissu ikiwa ndio yenye jukumu la kulinda usalama wa raia na mali zao?

Kwanini serikali ya magufuli iliondoa kamera zilizokuwa karibu na eneo la tukio?

Kwanini serikali ya magufuli ilipiga marufuku uvaaji wa fulana zilizoandikwa 'We Pray For Lissu'?

Kwanini maombi ya wazi ya kumuombea Lissu yalipigwa marufuku na serikali ya magufuli?

Kwanini serikali ya magufuli imekataa kumtibu Lissu kama sheria inavyotaka?

Kwanini serikali ya Magufuli kupitia uongozi wa bunge hakuna hata ofisa mmoja aliyeenda kumjulia hali hospital iwe Nairobi ama Belgium?

Mkuu naomba majibu ya maswali haya ili twende sawa ktk ujenzi wa hoja bila mihemko ya kiushabiki?

Sent using Jamii Forums mobile app
Anzisha thread yako ya hili
 
Kipengele cha pili kinamruhusu rais kuidhinisha matuminz yoyote kutoka mfuko wa rais sio lazima aonane na bunge dhaifu.
Rais ashajua bunge dhaifu so hawezi kulishilikisha katika mambo ya msingi isipokuwa yale ya ndio tu.
Kwenye mipango ya dharura kama majanga ndio ana uwezo wa kuchota fedha hazina bila kuidhinishwa na bunge

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Umeitaja hapo JamiiForums kuwa huwa haina taarifa sahihi lakini Mimi kwa Kumbukumbu zangu kuna mambo mengi sana nimeyaona yamebadilika hasa Kiutendaji na kwa Watu mbalimbali hasa baada ya Kuanzia hapa Jamvini. Kama hiyo haitoshi kwa Kukusaidia tu hata hao Waandishi wa Habari au Wafuatiliaji wa mambo mengi ' Nyeti ' 85% ya ' data ' zao huwa wanazitoa hapa hapa JamiiForums na mifano ipo mingi tu. Ulichonishangaza umeonyesha ' dhihaka ' hapo kwamba Mtandao wa JamiiForums siyo sehemu sahihi ya Mtu kupata ' taarifa ' kamili sasa Wewe Siku zote huwa unafanya nini katika Mtandao ambao huuamini? Kuidhihaki JamiiForums ni Kuwadhihaki ' Members ' wote. Kabla ya Kuandika jitahidi Kwanza uwe unaushirikisha vyema kabisa ' Ubongo ' wako usije ukaonena ni ' hovyo hovyo Product ' hapa Jukwaani. Hakuna Mtandao unaoaminika na wengi kwa 99.9% kama JamiiForums kwakuwa hapa kuna Watu ' very Credible ' ambao huwa ' wanafunguka ' vyema japo wanatumia ' Fake ID's ' ila wamesaidia mno.
Well

Sent using Jamii Forums mobile app
 
[QUOTE="Phillipo Bukililo, post: 30130462, member: 346383"]Hardtalk sio sawa na huu uandishi wa habari wa kibongo wa kujiendea tu kwa kuyasikiliza majungu na umbeya.[/QUOTE]
 
Kwa mwanasiasa iwe upinzani au chama tawala ukiitwa kuhojiwa BBC Hard talk unatakiwa ujiandae na ujue kuwa maswali utakayoulizwa yameandaliwa na jopo la watu wengi wakiwemo donors wa chama chako au serikali na wabobezi kwenye siasa na taaluma yako ambao hutaka kukujua hasa undani wako na wa chama chako kupata undani kwa ajili ya maamuzi yao katika mambo.Mwandishi anawakilisha tu yale maswali . Maswali hujikita Kwenye udhaifu wa kwako na wa chama chako sio wa mwingine au chama kingine . Uwe tayari kwa hilo maswali huulizwa kimtego sana mfano wewe unatuhumu serikali ya Magufuli uko opposition na ni mwanasheria Hard talk watakuhoji do you have legal evidence kwenye tuhuma zako wewe au chama chako? Ukiwa huna ukajikanyaga anakuacha anaenda swali lingine lakini Meseji send kwa waliomtuma kuwa huyu mtu na chama chake hawana legal evidence pamoja na sifa zote wanazojitia kuwa nazo na hawajachukua any
legal steps.Hivyo ukienda hojiwa jiandae barabara maeneo yako ya udhaifu wako binafsi na wa chama chako au serikali kama ni kiongozi wa serikali. Ujue hutahojiwa kuhusu udhaifu wa mwingine au chama kingine nje ya cha kwako watajikita kuhoji udhaifu wako na chama chako.Hili hubeba asilimia 90 ya mahojiano. Asilimia kumi inayobaki ni ya kukihoji maswali laini ili u relax yaweza asilimia tano yakawa mwanzo wa mahojiano na asilimia tano mwisho wa mahojiano ili walau upumue mnapoagana .Pili jizatiti na takwimu za kuaminika sio newspaper cuttings au taarifa za jamii forums. Sababu wao huwa na takwimu toka credible sources za kimataifa. Tatu wenzetu mtu akifanya vizuri hata akiwa opponent wako wana tabia ya Ya ku appreciate hilo zuri la opponent wako unajibu yes kuna mazuri kafanya unatoa mifano mizuri miwili mitatu halafu kama una reservation unasema lakini angefanya vizuri zaidi angefanya moja, mbili tatu.Usiseme aah hamna kitu alichofanya!!!!!! Mwandishi ataruka haraka kwenda swali lingine kuwa meseji send kuna mema yapo lakini huyu hajui kitu hayuko informed ni mweupe kichwani!!!

Mkuu umechambua vizuri, hiki ndo kitu watu wengi hawakifahamu wanaishia kusema alikuwa upande wa serikali, wanafananisha hard talk na Dk 45 ya ITV ambayo mtangazaji anaingia huku hana background information yoyote
 
mimi Hilo sijui .Nilichoeleza ndicho hicho kuwa BBC hard talk sehemu kubwa hushughulika na udhaifu wako na chama chako kwenye mahojiano Lisu nadhani hakuwa akijua hilo alifanya kushtukizwa alitarajia BBC hard talk wajikite udhaifu wa CCM au serikali mwandishi akawa anamkwepa na kuendelea kumkomalia tu Lisu kwenye ya kwake na chama chake tu.Kila mtu na tafsriri yake na maoni yake siingilii uhuru wa mtu kutoa maoni yake ndio maana nikasema hata mtu awe CCM akienda BBC Hard talk ajiandae
Kwa hiyo nani alimpiga risasi Lissu na kuteka watu bila kuwa na kesi?
 
Ten percent. Alijibu vizuri mwanzo kwenye kujitambulisha na mwishoni alipoonyesha nia ya kugombea uraisi alijibu vizuri kuwa chama na wanachama wakipendekeza yuko tayari lakini maswali ya katikati hakuambulia kitu yalimshinda yote
Ndio maana nimemjibu kuwa lisu kasupp.

Nokia ya kitochi yuzingi jamii foramu
 
Back
Top Bottom