Jinsi ya kujiandaa kujibu maswali ya BBC Hard talk kwa wanasiasa

Ten percent. Alijibu vizuri mwanzo kwenye kujitambulisha na mwishoni alipoonyesha nia ya kugombea uraisi alijibu vizuri kuwa chama na wanachama wakipendekeza yuko tayari lakini maswali ya katikati hakuambulia kitu yalimshinda yote
Kwa namna alivyoleta kimuhemuhe kwenu hata hizo kumi umejikaza hadi machozi na damu vinatiririka kutoka mwilini mwako.Ungesema tu alikwama kujibu lolote.Maana mlikuwa mnatafutiza vijisababu vya washindwaji tu.Mara kanyoa kiduku,mara grammar yake haipendezi machoni na masikioni.Such a very hopeless parliament of owls who are desperate to their armpits!😂😂😂😂😂😂😂
 
Mimi nimesoma critical journalism CNN,BBC na international media wananielewa sana naongea nini.You are not my level .Lisu performance was below sea level kwenye interview zote za BBC Swahili alizohojiwa Na mwandishi wa habari mahiri Zuhura Yunus Na ile ya BBC hard talk ambayo alionyesha ujinga alionao zaidi ya uwezo alionao.International media unatakiwa uonyeshe uwezo ulio nao sio ujinga ulionao Kama Lisu alivyofanya
 
Alishawekewa swali mtego Na mwandishi Mwanzoni kuwa wewe Lisu kivyeo ni Nani ikawa Lisu anatikisa kichwa kukubali Na akaongezea kujieleza kuwa yeye ni Nani kivyeo kumbe mwenzie mwandishi anamvizia asije sema najibu haya Kama Tundu Lisu binafsi.Mwandishi alishamkaba kabali mapema asije ruka mbele kusema najibu kibinafsi Kama Tundu Lisu!!! Yale mahojiano mwandishi aliyemhoji alikuwa very professional wakati wote wa mahojiano wakati Tundu Lisu mahojiano yote alikuwa very layman sio learned brother.Mwandishi throughout the interview alikuwa professional Na kuwa consistent throughout kwenye professional wakati Tundu Lisu alikuwa so layman hakuwa consistent kwenye professional.Akiulizwa swali professionaly anajibu ki layman

..ni mtego kwa SEREKALI pia.

..kwamba inakuwaje Mnadhimu wa kambi ya Upinzani anapigwa risasi ktk gated compound ambayo ina ulinzi around the clock?

..watazamaji wataweka picha kama hilo linawezekana ktk nchi yao.

..pia watajiuliza ni nani mwenye mamlaka ya kuondoa walinzi na hivyo kuwezesha shambulizi dhidi ya TL kufanyika?
 
Ten percent. Alijibu vizuri mwanzo kwenye kujitambulisha na mwishoni alipoonyesha nia ya kugombea uraisi alijibu vizuri kuwa chama na wanachama wakipendekeza yuko tayari lakini maswali ya katikati hakuambulia kitu yalimshinda yote
Mnyonge mnyongeni lakini haki yake mpeni. Lissu has over performed. Mpelekeni Mahiga tuone muziki wake Hardtalk.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tatizo la Lisu alikwenda kwa kupania kuichafua Serikali na JPM na inaonekana ali ipania siku ile na kuisubiri kwa hamu kubwa.
Matokeo yake kila akiulizwa kama anao ushahidi usio na shaka, Anabaki kusema kuna ushahidi wa mazingira.
Pale ndipo Dunia ilipo muona anahasira na mihemko mingi kuliko anacho taka kuwaaminisha wanao mwangalia.
Baati mbaya ata mwenyekiti wa chamachake anahusishwa na matukio ya kuwafanyia uharifu wale ambao waanaonekana tishio kwake na ata yeye Tundu inawezekana akawa mwasilika wa hayo. Yote ni kutokana na ushahidi wa kimazingira hususan unapokaribia uchaguzi ndani ya chama chao. Mfano Chacha Wangwe na Zito kabwe pale walipo jaribu ku challenge nafasi ya Mwenyekiti wao.

Sent using Jamii Forums mobile app
Swali gani lililoulizwa kama anaushahid akajibu wa mazingira au nawewe umefanya hardtalk yako zwazwa katka ubora wake na bado.
 
Wazungu Wana data sana je aliyabana makampuni ya madini Kama mzalendo au aliyabana akitaka wampe rushwa anyamaze? Mbona Magufuli alipoamua kuyabana yalipe Tundu Lisu aligeuka ghafla kusema hayatakiwi kulipa mikataba iliyokuwepo ndio mibovu? Akatishia kuwa wataipeleka nchi mahakama ya MIGA? Nini kilimbadilisha ghafla? Kwa nini hakuungana Na Magufuli kusema tupambane tuendelee kawa upande wa kuwatetea kuwa waendelee Na utaratibu wa kuiba uliokuwepo? makampuni ya madini had Leo hayajatupeleka MIGA ila yeye ndiye alisimama kututishia nyau wakati wenye kampuni za madini hawatutishii nyau? Lisu mla rushwa mkubwa ndio maana Mwandishi alimhoji swali la mtego kuwa Magufuli kapambana Na wezi wa madini what about you? Lile lilikuwa provocative question kuwa you are not what you pretend to be kibaka wewe mpiga yowe for inviting investors kukuhonga you shut up.Natamani Na Zitto Kabwe aende BBC hard talk wakamwonyeshe cha mtema Kuni Kama Lisu Wana takwimu zote za wabunge wapiga yowe mambo ya madini lakini kazi yao ni kuwinda rushwa tu

..historia ya TL kutetea rasilimali za Tz na haki za wachimbaji wadogo haiwezi kufutika.

..wakati TL akitetea wanyonge, ccm walikuwa wakitetea makampuni ya kigeni.

..siyo haki kabisa kumuita msaliti mtu aliyepoteza ujana wake wote akitetea wanyonge wa nchi hii.

..kuhusu madai ya serekali na ripoti za kamati za Raisi, TL alieleza kwamba ripoti zile zina walakini.

..zaidi, akiwa kama mwanasheria na mwanaharakati mwenye uzoefu ktk sekta ya madini alieleza kwamba findings za ripoti zile haziwezi kusimama mahakamani.

..na ndiyo maana akaonya kwamba tukitumia ripoti za tume za Raisi kuwabana wawekezaji watakwenda kutushitaki MIGA na watatushinda.

..hivi tunavyozungumza acaccia wamefungua shauri ktk mahakama ya kimataifa. Kama ulifuatilia mijadala ya bunge Prof.Kabudi alikiri kuwepo na kesi dhidi ya Tz iliyofunguliwa na accacia.

..Jambo lingine ni kwamba serekali imezificha ripoti zile. Na sababu ni kwamba ni ripoti ambazo findings zake ni za mashaka-mashaka.

..Serekali imeshtukia ripoti za tume na ndiyo maana wameamua ku-,NEGOTIATE badala ya kuwapeleka acaccia mahakamani.

..Mpaka hapo utaona kwamba TL alikuwa sahihi. Serekali inaona haya kumtambua mchango wake, kwamba yeye alitetea wanyonge bila kusubiri awe na ulinzi wa dola nyuma yake.
 
Kwa mwanasiasa iwe upinzani au chama tawala ukiitwa kuhojiwa BBC Hard talk unatakiwa ujiandae na ujue kuwa maswali utakayoulizwa yameandaliwa na jopo la watu wengi wakiwemo donors wa chama chako au serikali na wabobezi kwenye siasa na taaluma yako ambao hutaka kukujua hasa undani wako na wa chama chako kupata undani kwa ajili ya maamuzi yao katika mambo.Mwandishi anawakilisha tu yale maswali .

Maswali hujikita Kwenye udhaifu wa kwako na wa chama chako sio wa mwingine au chama kingine . Uwe tayari kwa hilo maswali huulizwa kimtego sana mfano wewe unatuhumu serikali ya Magufuli uko opposition na ni mwanasheria Hard talk watakuhoji do you have legal evidence kwenye tuhuma zako wewe au chama chako?

Ukiwa huna ukajikanyaga anakuacha anaenda swali lingine lakini Meseji send kwa waliomtuma kuwa huyu mtu na chama chake hawana legal evidence pamoja na sifa zote wanazojitia kuwa nazo na hawajachukua any legal steps.Hivyo ukienda hojiwa jiandae barabara maeneo yako ya udhaifu wako binafsi na wa chama chako au serikali kama ni kiongozi wa serikali.

Ujue hutahojiwa kuhusu udhaifu wa mwingine au chama kingine nje ya cha kwako watajikita kuhoji udhaifu wako na chama chako.Hili hubeba asilimia 90 ya mahojiano. Asilimia kumi inayobaki ni ya kukihoji maswali laini ili u relax yaweza asilimia tano yakawa mwanzo wa mahojiano na asilimia tano mwisho wa mahojiano ili walau upumue mnapoagana .Pili jizatiti na takwimu za kuaminika sio newspaper cuttings au taarifa za jamii forums.

Sababu wao huwa na takwimu toka credible sources za kimataifa. Tatu wenzetu mtu akifanya vizuri hata akiwa opponent wako wana tabia ya Ya ku appreciate hilo zuri la opponent wako unajibu yes kuna mazuri kafanya unatoa mifano mizuri miwili mitatu halafu kama una reservation unasema lakini angefanya vizuri zaidi angefanya moja, mbili tatu.

Usiseme aah hamna kitu alichofanya!!!!!! Mwandishi ataruka haraka kwenda swali lingine kuwa meseji send kuna mema yapo lakini huyu ninayemhoji hajui kitu hayuko informed ni mweupe kichwani!!!
Kwa akili hizi,tutaendelea sana kushuhudia mikataba ya kinyonyaji-kumelewa mzungu lazima uwe na uwezo wa kusiliza mara mbili (two hear twice) Lumumba's can't hear twice ndo maana mnaishia kubwabwaja upuuzi huu.
 
Kwa hiyo mkuu unakubaliana na polepole ya kuwa Stephen Sucker ni mwanachama wenu ama laa???
Yaani hawa vijana wa lumumba ni hopeless kabisa,ati wanafikiri Sucker alikuwa anatafuta evidence ya tuhuma za Lissu kwa serikali-Eti hawa ndo wanasaini mikataba ya nchi then wadanganyika wanasubilia win win-mtasubiri sana
 
Ten percent. Alijibu vizuri mwanzo kwenye kujitambulisha na mwishoni alipoonyesha nia ya kugombea uraisi alijibu vizuri kuwa chama na wanachama wakipendekeza yuko tayari lakini maswali ya katikati hakuambulia kitu yalimshinda yote
Lala mkuu utaumia sana mwaka huu

Certified killer at work

Wewe ndie uliyemimina risasi au?

Naona hulali usiku damu itakutafuta mpaka ofisini kwako mpaka ukiwa kichaa itakuacha
 
Kwa mwanasiasa iwe upinzani au chama tawala ukiitwa kuhojiwa BBC Hard talk unatakiwa ujiandae na ujue kuwa maswali utakayoulizwa yameandaliwa na jopo la watu wengi wakiwemo donors wa chama chako au serikali na wabobezi kwenye siasa na taaluma yako ambao hutaka kukujua hasa undani wako na wa chama chako kupata undani kwa ajili ya maamuzi yao katika mambo.Mwandishi anawakilisha tu yale maswali .

Maswali hujikita Kwenye udhaifu wa kwako na wa chama chako sio wa mwingine au chama kingine . Uwe tayari kwa hilo maswali huulizwa kimtego sana mfano wewe unatuhumu serikali ya Magufuli uko opposition na ni mwanasheria Hard talk watakuhoji do you have legal evidence kwenye tuhuma zako wewe au chama chako?

Ukiwa huna ukajikanyaga anakuacha anaenda swali lingine lakini Meseji send kwa waliomtuma kuwa huyu mtu na chama chake hawana legal evidence pamoja na sifa zote wanazojitia kuwa nazo na hawajachukua any legal steps.Hivyo ukienda hojiwa jiandae barabara maeneo yako ya udhaifu wako binafsi na wa chama chako au serikali kama ni kiongozi wa serikali.

Ujue hutahojiwa kuhusu udhaifu wa mwingine au chama kingine nje ya cha kwako watajikita kuhoji udhaifu wako na chama chako.Hili hubeba asilimia 90 ya mahojiano. Asilimia kumi inayobaki ni ya kukihoji maswali laini ili u relax yaweza asilimia tano yakawa mwanzo wa mahojiano na asilimia tano mwisho wa mahojiano ili walau upumue mnapoagana .Pili jizatiti na takwimu za kuaminika sio newspaper cuttings au taarifa za jamii forums.

Sababu wao huwa na takwimu toka credible sources za kimataifa. Tatu wenzetu mtu akifanya vizuri hata akiwa opponent wako wana tabia ya Ya ku appreciate hilo zuri la opponent wako unajibu yes kuna mazuri kafanya unatoa mifano mizuri miwili mitatu halafu kama una reservation unasema lakini angefanya vizuri zaidi angefanya moja, mbili tatu.

Usiseme aah hamna kitu alichofanya!!!!!! Mwandishi ataruka haraka kwenda swali lingine kuwa meseji send kuna mema yapo lakini huyu ninayemhoji hajui kitu hayuko informed ni mweupe kichwani!!!
Imewauma sana! Huko tuendako, mtaumia sana. Katika serikali yetu nani angependa kuhojiwa na hardtalk? Kinachonifurahisha sana hakuna anayesema kiingereza kibovu, hakuna anayesema uelewa mdogo wa Mhe. Lissu. Kila mtu anaogelea kuelekea kusiko eleweka. Imewaumiza sana.
 
Back
Top Bottom