Jinsi ya kufukuza mbu: Rahisi sana

Jinsi ya kufukuza mbu: Rahisi sana

Hii ya kukoroga mchanganyiko kwa siku nne si inakuwa issue?siku nne nzima umekaa sehemu unakoroga huo mchanganyiko? Ndugu hapa ndo pamenishinda maana nadhan hata mkono utakufa ganzi
Asubuhi na jioni tuu... Dakka chache..
 
Mjomba hilo jina lako la bob lee swagger linanikumbusha muvi moja matata sanaaa inaitwa shooter ya nyota akiwa Mack waberg kama lee swagger. Pia yumo mtu mzima Danny Glover..ambaye hajaiona hii movie aitafute.
Pixha Kalii Sanaaa
 
Wanakimbilia pale ambapo harufu haiwafikii kabisa/ au ambapo pana afadhali kwenye hyo harufu. Mfano, Chini ya uvungu kwenye mlundikano wa nguo etc.

Hvyo ukija kufungua mlango / madrisha kama ni siku nyingine
wataondoka na kupotea moja kwa moja.
Mkuu pole kwa maswali
 
Kiufupi hapo unamaanisha jinsi ya kilewesha mbu Kwa konyagi,
 
Du, kwenye chai tena, mbu umewasahau tena.
inakuwa ishafika asubuhi na hiyo dawa mbu hagusi sasa kwanini utupe limao lako wakati linaweza kutumika kwa kuweka kwenye chai na ukipenda unaenda mbali zaidi kwa maganda yake baada ya kukamua kujisugulia mwili wakati wa kuoga hasa kwenye kwapa kwa wale wenye jasho kali!
 
Je natakiwa kubadili kipande /vipamde vya limao / ndimu kila baada ya muda gani?
 
Back
Top Bottom