Jinsi ya kuacha kuvuta sigara (A Guide to Quitting Smoking)

Hakuna kitu kigumu kuacha kma fegi unawezaje ukaachz pombe ila hiyo kitu iache tu mkuu
 
Wazeee nilianza kimasihara masihara sasa naona embassy inanikolea has a!!!nilikuanajifariji kuwa nitaacha sasa naona nashindwa!!! Wife kapiga keleleeee kachemka sasa naombeni ushauri watanzania wenzangu!!!embasy inanizidi nguvu jamani!!! Hasa nikiwa nakunywa kasafari kabarid hamu inanizidi wazeee !!! Msaada jamani
Uvutaji wa sigara ni hatari kwa afya yako.
 
Sigara ni hatari kwa afya yako, ukilijua hilo utaacha bila hata kuambiwa
 
Kila kitu ni hatari kwa Afya yako kama utazidisha,unakuta mtu anaunguza maini yake kwa pombe kali halafu anampa ushauri mvuta Sigara kua Sigara ni hatari! unakuta mtu ananunua malaya bila kuogopa Ukimwi halafu anampa ushauri mvuta Sigara kua Sigara ni hatari!
 
Uliyoyataja hapo yote siyafanyi...
Ameomba msaada kuhusu sigara, sasa sjui mambo ya ukimwi yanahusiana vipi hapa
 
Hiyo comment nimeiandika in general sio kwamba namaanisha unayafanya wewe japo nimequote comment yako,
Have a good day buddy.
 
Hata mimi nimeona but for me i wish to quit
Mimi nimeona wazee wengi sana wamefika 90s and 80s race zote Weupe na Weusi huku wakitumia hizi Mambo kwa wingi yaani kama Chakula au Dawa

But smoking is a never ending explained.

Je wavutaji wavute nini badala ya Sigara? Because I used to see Kings smoke something even at palaces in the Ancient Asian Kingdoms in Movies and Books
 
Bangi ukivuta mara 1 tu kwasiku unakua huvuti tena, kuna watu wanavuta bangi tu but hawavuti sigara
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom