Jinsi watu wanavyotongozana JF

Mkuu kwahiyo nije kwa gia gani, ndio najiandaa hapa ili nikutokee
 
Yaani " mpaka unatuma unakuwa na uhakika " wa namba ambazo " umezitumia huo muamala "... au namba 1 ya weza kuwa yatumiwa na watu wawili mkuu
Hili ndo linafanana na zile kesi flani za bahati nasibu, dem yupo mkoa anataka kuja geto umtumie nauli, wee hadi niende kwanza kwao ndo safari ijayo atakuja
 
Story imeishia kati mkuu, malizia basi..... Baada ya kupokea....
 
Inahitajika approach nzuri hata kama mtu ni broke a.s.s sio kuja vuuuuu kama kibajaji
Kutongoza mtandaoni means umekubali kubet hapo ni mawili KULA au KULIWA!!!
Bora nikatandike jamvi meridian naweza turbo huku hapana[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…