Jinsi watu wanavyotongozana JF

Jinsi watu wanavyotongozana JF

aaahghh wewe kumbe wataka " league" hapa hatuzungumzii swala la kudhulumiwa" tuna zungumzia uwezekano " wa mtu" kutumia alichonacho"(peas), huku nafsi yake ikiwa huru"yaani ameridhia"... huyo pablo kuna wakati" alikuwa" anaweza kukutemea mate usoni" halafu anakupa $500 ... wakati huo huo upande wa pili ukimdhulumu hiyo hiyo $500 anaweza hata kukutoa roho "... so umeshaiona " tofauti ya hayo matukio mawili hapo".... au bado wahitaji darasa ""?
Tofauti nishaiona mkuu, so kumpa mwanamke hela ni sawa na umemtupia mate mtu usoni na kumpa pesa...
 
Hao wababa washajikatia tamaa, myself siwez kumkubali dem anayeidharau pesa na kuitumia hovyo hovyo, napenda anayenifanya niwe makini na kuweka akiba...cheki Mr Mengi na Jacky, ile couple ndo nayoona imekaa fresh kwenye wallpaper. Wote wametulia hawana mbwembwe aah ila cheki vidada vyetu vinavyojifanya vizuri ila vinajianika tu uchi
Usiongelee hiyo kapo Kama vile Jack alimkuta Mengi Hana hela. Unadhani Jack kampendea mzee Machache kidevu chake?
 
Back
Top Bottom