Jinsi watu wanavyotongozana JF

Jinsi watu wanavyotongozana JF

Wazee wa pm direct ifike mahali mjifunze kutongoza, mnakera mnafanya watu wafunge pm kwa viujinga vyenu!!!

Wakati unazama pm make sure umemsoma soma kidogo unaemfata yukoje, huwezi jua kila kitu ila hukosi hata kimoja, yani kama mie hivi nnavojitahidi kuandika kwa ufasaha kuna kibushuti kinakuja kuniandikia "xaxa, kipande ip, ixhu znasmje" mxyuuu (nmetoa mfano sijakaribisha), hadi hapo pm yako tayari ni ushuzzz

Make sure umepanga mistari sio misalaaaamu mambo, uko poa, ishu vipi, mishe inaendaje huu nao upimbi.

*nafundisha kutongoza bure
Mkuu kwahiyo nije kwa gia gani, ndio najiandaa hapa ili nikutokee
 
Yaani " mpaka unatuma unakuwa na uhakika " wa namba ambazo " umezitumia huo muamala "... au namba 1 ya weza kuwa yatumiwa na watu wawili mkuu
Hili ndo linafanana na zile kesi flani za bahati nasibu, dem yupo mkoa anataka kuja geto umtumie nauli, wee hadi niende kwanza kwao ndo safari ijayo atakuja
 
hahhahha eve leo nakugawa rasmi.... xmas nilitumiwa wine 3 dadeq!kwa njia hyo hyo!jimiminia weeeee!dadeq!

siku nyingne katokea jamaa ...nikamwambia sijafika job usafiri leo sina!why mamy!nikamwambia ah bima imeisha!naogopa trafk...hela ya bima hyoooo!ila hz technique waanweza wale wakaka age fulan!safiiiii!
Story imeishia kati mkuu, malizia basi..... Baada ya kupokea....
 
Back
Top Bottom