Jinsi watu wanavyotongozana JF

Jinsi watu wanavyotongozana JF

Hakuna sehemu inabeba siri Kama pm. Siku nikidate huku lazima niombe pm ya bby maana kule mengi yanaendelea mkija jukwaani unadanganywa uko mwenyewe kumbe mmepangwa
Hata akikupa si anafuta? Cha msingi akufungulie uzi mambo yawe wazi teh teh
 
But most of you wakati mnachangia hii thread mlikuwa mnaonesha ili mtu akuvutie lazima atangulize pesa kwanza wakati sio kweli na kuwadhihaki wale wanaotoa salamu kila mara
Ukweli hata Mimi sitaki salamu za kila dakika kushindishana pm tu. Hao wanaotuvutia tunakuaga tumeshawaona huku na sisi hivyo akija pm inakua rahisi. Sasa wewe sijawahi ona Id yako kabisa utanishawishi vipi nikeshe pm na wewe?
 
Mmepangwa kama woteee uwiii nimekumbuka yule mdada alivyonisemea kuwa bwana ake anashinda pm kwangu huku jukwaani namchora tu ila akae akijua pm yake ninayooo
Hahahahahaaa.. Ukiona bwana wa MTU pm fukuza.
 
Vingi tu. Kwanza michango yake. Kuna watu tukiona tu MTU anavyochangia tunadata. Wanaokujaga na nakutumia kidogo ya JD wanakuaga sio watu ambao wako active Sana. Wanasomaga kimya kimya. Hata like hawatoi. Hao wanaovutia ni wale tunaowasomaga jukwaani michango yao nyuzi zao utani wao. MTU anaendika pumba pumba tu hawezi kuvutia hata aje pm aseme anatuma laki 2 hutoi Namba maana unajua ni mjinga
Ahaa kumbe, comment pia zinasema
 
Back
Top Bottom