Wangari Maathai
JF-Expert Member
- Aug 13, 2018
- 34,958
- 70,719
duh.. aisee!wewe wangap kunifananisha hvyo!heb tell me.. naona kuna bidada kakimbia pm yang!whts wrong!Na Mimi nimeona manengelo shoga ndo umerudi na hii eti?? Nilitaka kuuliza ila huu Uzi ndo umenifimbua macho bibie ya Kati na mji kasoro ndo huyu
😡Kichwa kigumu hiki [emoji31]
Subiria sasa utaleta mrejeshoHaya nimefungua. Acha nile matunda ya jf sasa.
Teh, labda hawako hivoHahaaaah sasa wengi wenu humu huwa hamuelezi huu ukweli...wengi wenu nyie mna act like jamaa hata awe mkali vipi hamuwezi kuwa nae bila jamaa kuwapa hela
Embu tuone ya demu wako Kama nzuri halafu ndo useme zetu mbovu. Hatuna sura nzuri ila sio mbovu mkuu tutake radhi au utuwekee sura ya demu wakoCoz sura zao mbovu[emoji3][emoji3][emoji3]
Good for you Mrs Leo.
Hahahaaa surprise zinahusikaga, ndomana real men akishatuma hizo vocha anaona hana jinsi inabidi tu amalizie mchezo maana pesa yake itauma kuitupa for free, wakati hata ombaomba hajawah kumpa miaHapo kwenye soko. Tupendeni tu kupitia avatar. Labda tungeweka sura zetu msingeweza kututumia hata elfu 2 ya vocha
Mm nakula mihela tu namkimbia wala hanikuliSasa utajuaje km anataka kukutumia afu anaenda kwa mwingine, au hilo we hujali, as long as kashakupa dollar na ni real men, he can use you as how he likes and it doesnt matter as long as there's few cheese you are ok with spreading! Nimecopy tu hiko kizungu
Ujue kuna ukweli haiwezekani wote tukihisi wewe. Tukubalie tu roho zetu zikae na rahaduh.. aisee!wewe wangap kunifananisha hvyo!heb tell me.. naona kuna bidada kakimbia pm yang!whts wrong!
HahahahahaaaHahahaaa surprise zinahusikaga, ndomana real men akishatuma hizo vocha anaona hana jinsi inabidi tu amalizie mchezo maana pesa yake itauma kuitupa for free, wakati hata ombaomba hajawah kumpa mia
Apia? Ngoja waliokukula waje watuambie Kama uliwakimbia uliwapa mzigo au ilikuajeMm nakula mihela tu namkimbia wala hanikuli
Mr Sleo au Mrs Leoam soo glad am married
sasa mbna sielew!kuna 1 amekuja pm akadai mm ni me nimekuja na id mpya!nikamwabia ili iwaje!sina id 2 mungu shahid my dear!ht huyo mtu mm simfaham...!Ujue kuna ukweli haiwezekani wote tukihisi wewe. Tukubalie tu roho zetu zikae na raha
UnajitesaaaaKwaiyo nianze kumtembezea malike mfululu kwanza sio? fresh
Wajeee tu waiteeee watag itapendeza zaidiiiApia? Ngoja waliokukula waje watuambie Kama uliwakimbia uliwapa mzigo au ilikuaje
Mr Sleo au Mrs Leo
hata mi nimelifikilia sana hilo ndo maana nimeuliza , kwani nikikufata direct ntapungukiwa niniUnajitesaaaa
Huu ushindani ndo naopendaga, sura za dem zetu na sura zenu, haya wakuu anzeni [emoji23][emoji23]Embu tuone ya demu wako Kama nzuri halafu ndo useme zetu mbovu. Hatuna sura nzuri ila sio mbovu mkuu tutake radhi au utuwekee sura ya demu wako
Wala ni bahat yako tu na utakavyojielezahata mi nimelifikilia sana hilo ndo maana nimeuliza , kwani nikikufata direct ntapungukiwa nini
una raha kwakweli!mm ndo wameleta barua ya kujitambulisha!uwiii na umri ushafika usiku!tuombeane heri nasi tuolewe km wewe!am soo glad am married