Da'Vinci
JF-Expert Member
- Dec 1, 2016
- 36,007
- 108,557
What I can say to you isAsante sana my Johnny.
Loyalty is hard to find.
Trust is easy to lose.
Actions speak louder than words.
(Nje ya mada ...)
Te Queiro mucho
What I can say to you isAsante sana my Johnny.
Loyalty is hard to find.
Trust is easy to lose.
Actions speak louder than words.
(Nje ya mada ...)
Lifanyie uchunguzi mwenyewe. ...utapata jibu.Hivi Ni kweli una majibu ya kibabe![]()
Kumbe ndio maana ulinipuuza pm kwako baada,nimeanzia mbaaaali,lol,nikija tena itabidi nipige shortcutUnazunguuuuuka....wakati unaweza tuma meseji moja tu ikakutambulisha we ni nani, upo wapi, unahitaji nini. Tena ukivizia sikukuu huyo mrembo amekwisha
"Hello miss, uko poa vipi maandalizi ya sikukuu....nmekuandalia japo visenti upate wyne sasa utapataje"
Sie wapenda hela lazma vinyweleo visimame, halafu hivo visenti viwe kuanzia laki koh koh sijui nimtag kaka mwenye hii technique!!!
Hey ladies vikware vitacopy vije kuapply msivipe namba havina kitu vimebeba pmb tu.
Ki lugha gani tena hichi Johnny? Si unajua shule imenipita kushoto.What I can say to you is
Te Queiro mucho
😀😀😀 bas ngoja nimfunde mwenyewMmmh utakuwa umenifananisha bila shaka au hiyo I'd umeifananisha na ya sumbai (baba p) bila shaka. Nina ndoa moja dear.
Hiki kilugha chetu huko kijijini.Ki lugha gani tena hichi Johnny? Si unajua shule imenipita kushoto.
Sawa majibu ninayo tayariLifanyie uchunguzi mwenyewe. ...utapata jibu.
Eti nitume laki moja...nitume laki moja kwa kipi hasa...





😀😀😀 bas ngoja afundwe tu!(lol umemuumbuaje)😉😉😉😉😉😉Huyu ni mme wa cute b huu mbn aakeshaga pm kwangu![]()
Hahaha, tuma tu Mkuu si ndio wanavyotaka 😀 😀Eti nitume laki moja...nitume laki moja kwa kipi hasa...
Sawa dear😀😀😀 bas ngoja nimfunde mwenyew
Ahaa ila nilishakwambia mambo ya kijijin yaache huko. Bado haujazoea mjini tuu jamani miaka yote hiyo?Hiki kilugha chetu huko kijijini.
Niambie
so mnaona shiiida wenyewe!kweli wanaume mmetofautiana sana sana!MUNGU ENDELEA KUWAWEKA HAI WANAUME WANAOJUA KUJALI !WAENDELEE KUDAMSHI KAMA WOOOTE!😉Hahaha, tuma tu Mkuu si ndio wanavyotaka 😀😀
Hahaha ,asee mie choka mbaya ndio maana haya mambo wala ,najifunza siku nikipata inshalah atakaye bahatika atapata zaidi ya laki ,bila hata kuniombaso mnaona shiiida wenyewe!kweli wanaume mmetofautiana sana sana!MUNGU ENDELEA KUWAWEKA HAI WANAUME WANAOJUA KUJALI !WAENDELEE KUDAMSHI KAMA WOOOTE!😉
😉😉😉 SO una id ya kiume?😳Kaoneee ni Mimi huwa nachatigi na wewe.
Kama hauamini njoo sasa hivi.
Vile nakuitaga demis unaitika Abeh..![]()
A day after tomorrow you'll be taught, and I will teach you each and everything you wantAhaa ila nilishakwambia mambo ya kijijin yaache huko. Bado haujazoea mjini tuu jamani miaka yote hiyo?
Nifundishe namna ya kupata ile app ya free access..
safi kbs!hatusemi mtoe daily lakin kumtunuk kqazawadi ht kadogo ni kitu kikubwa sana!ht umpe pipi tu!kwetu sisi hua burdaniii!...hongeraHahaha ,asee mie choka mbaya ndio maana haya mambo wala ,najifunza siku nikipata inshalah atakaye bahatika atapata zaidi ya laki ,bila hata kuniomba