Jinsi watu wanavyotongozana JF

Jinsi watu wanavyotongozana JF

yeah ishawahi nitokea alikuwa anashimba madini mererani Arusha mimi nilikua chuo nikikohoa tu muamala kidogo muamala ila alikuwa hajasoma ikamfanya asijiamini kabisa bali anatumia pesa zake kama zana pia I didn't love him for real alikuwa mweupee you know most of Arusha pipoz .. tuseme tu inategemea na priorities zangu ni zipi


- kwa Smart911 seriously nilikua napiga teke bakuli la dhahabu mkuu the man is blessed hakuna mfanoooo plus he's gentleman hata ukiongozananae mwenyewe unajishtukia unaona unamtia aibu.. na sometimes alikuwa akiniambia twende out namwambia just go love no problem with me anasema jiamini baby I want to go with you sweetheart .. nakataa no smart ntakutia aibu mambo yako ni next level kashamba mimi sikuwezi ananifata nilipo ananikumbatia kwa nguvuu ananiambia I loved you for who you are mahondaw don't you trust me.. najibu ai duuu ila nenda tu mimi nimebariki kabisa uwe na amani Yani full kujishtukia hahaha
Safi sana
 
Aaaah wewe. Ukimuelewa MTU pesa kitu gani bwana. Sema MTU anaetanguliza hela unajua kuna kaconnection flan anakatengeneza. Ila MTU anaevutia hata bila hela roho nyeupeeee unajisogeza.
But most of you wakati mnachangia hii thread mlikuwa mnaonesha ili mtu akuvutie lazima atangulize pesa kwanza wakati sio kweli na kuwadhihaki wale wanaotoa salamu kila mara
 
Hakuna sehemu inabeba siri Kama pm. Siku nikidate huku lazima niombe pm ya bby maana kule mengi yanaendelea mkija jukwaani unadanganywa uko mwenyewe kumbe mmepangwa
Mmepangwa kama woteee uwiii nimekumbuka yule mdada alivyonisemea kuwa bwana ake anashinda pm kwangu huku jukwaani namchora tu ila akae akijua pm yake ninayooo
 
Utamjuaje anavutia kabla hajaja PM ukamjibu kuwa atumw laki, ila ungemjua kabla asingetuma, au usingeomba ungekuwa unamiminiwa tu
Vingi tu. Kwanza michango yake. Kuna watu tukiona tu MTU anavyochangia tunadata. Wanaokujaga na nakutumia kidogo ya JD wanakuaga sio watu ambao wako active Sana. Wanasomaga kimya kimya. Hata like hawatoi. Hao wanaovutia ni wale tunaowasomaga jukwaani michango yao nyuzi zao utani wao. MTU anaendika pumba pumba tu hawezi kuvutia hata aje pm aseme anatuma laki 2 hutoi Namba maana unajua ni mjinga
 
Back
Top Bottom