Jinsi watu wanavyotongozana JF

Kuna wanaume bwana hapa ndani. Sasa wale wa nambie. Kaka nikwambie nini na wewe ndo umeanza story pm kwangu. Kuja leta story weka mazingira ya kupewa namba
 
Hahaaaah sasa wengi wenu humu huwa hamuelezi huu ukweli...wengi wenu nyie mna act like jamaa hata awe mkali vipi hamuwezi kuwa nae bila jamaa kuwapa hela
Aaaah wewe. Ukimuelewa MTU pesa kitu gani bwana. Sema MTU anaetanguliza hela unajua kuna kaconnection flan anakatengeneza. Ila MTU anaevutia hata bila hela roho nyeupeeee unajisogeza.
 
Hahahah kila mtu aje na I'd ya bwana akee mm ninao pm nawapa tu mascreenshort[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12]
Mambo ni motroooooo
 
Mtag Nione Kama ndo yule alienitumia na Mimi pia. Mwanaume huzunguki. Hapo unapata na Namba kiulainii

hahahahaha asimtag!mtakuwa km mnawmeka sokoni vile!SASA wewe unawaletea jazba wasoweza ht kuwanunuulia hereni za 5000 wanawake!lol
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…