Jinsi watu wanavyotongozana JF

Napenda kweli nimtumie mwanamke laki nne airudishe kwa jeuri, huyo namfungulia na kampuni kabisa
 
mtakuja kutongoza majini, kwani mtaani kwenu au kazini au popote hukutani na wanawake, unataka wa humu ili ukimla uje utusimulie???
 
Sijui ibilisi gani kanileta huku kwenye jukwaa la ufuska. Ngoja nirudi zangu jukwaa la dini nikalishe watu neno la Mungu
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…