Ngoja tukae wenyewe sasa!!!Hakika mimi kwenda pm nipo fasta na sioni shida kutuma picha zangu ila wadada wa jf wengi wao hawajiamini wanaogopa kutuma picha sababu wengi wao uzuri wao upo kwenye id fake na avatar [emoji23] [emoji23] nawapenda mabinti wa jf
nakumbuka kiingereza chake kibovu aliniuliza "how would you like it.. you take it first or am all yours" hii sentensi hadi kesho inatia ukakasi lile lilikuwa active lilitaka zamuzamu ..daaaah jimmie mimi nchi ya watu sijui nani angenitetea [emoji23][emoji23][emoji23]
πππ[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Nacheka mm
Nimekugeza aiseeehh!!![emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]
Nakuona umekaa mwenyeweNgoja tukae wenyewe sasa!!!
aaaaah insta babe nikome mara ngapi ππ[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Ndio ukome babe insta
[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji23] [emoji23] kila nionapo I'd yako lazma nkumbuke stori ya Thailand!!!nakumbuka kiingereza chake kibovu aliniuliza "how would you like it.. you take it first or am all yours" hii sentensi hadi kesho inatia ukakasi lile lilikuwa active lilitaka zamuzamu ..daaaah jimmie mimi nchi ya watu sijui nani angenitetea [emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji16]Sasa Mkuu si ndo umewapeperusha sasa???
Dah watu tunahangaika kinoma just kipochi manyoya tu,Dah aisee kazi ipo kwa kweli.
Unahangaika weeee na user name unaivest muda wako at the end unakuja kukutana na mtu/demu ambaye hata ww unakuta umemzidi uzuri hapo ndipo maji utayaita mma na wakati umri haukuruhusu kuyaita hivyo.
Napambana na umbo langu La sanamu la micheliniiiNakuona umekaa mwenyewe
Nahisi wanaopata wapenzi humu ni mazari yanawadondokeaNgoja tukae wenyewe sasa!!!
Mbona uko vzuri tuNapambana na umbo langu La sanamu la micheliniii
Dada vua basi, mi ujue matani mengi
[emoji23] [emoji23] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] ushaambiwa huko mbinu zote na EvaaNahisi wanaopata wapenzi humu ni mazari yanawadondokea
Na uwe chambichambiNahisi wanaopata wapenzi humu ni mazari yanawadondokea
aaaaah insta babe nikome mara ngapi [emoji23][emoji23]
Mie nakitambi hiki ,mtanitesa sanaNapambana na umbo langu La sanamu la micheliniii
ππππππ sitaki kupasikia siyo watu wazuri wale.. nikienda tena mbwembwe zote mfukoni πππ sitaki tena kujifanya mjuaji wa miji ya watu[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji23] [emoji23] kila nionapo I'd yako lazma nkumbuke stori ya Thailand!!!