Jinsi watu wanavyotongozana JF

Hakika mimi kwenda pm nipo fasta na sioni shida kutuma picha zangu ila wadada wa jf wengi wao hawajiamini wanaogopa kutuma picha sababu wengi wao uzuri wao upo kwenye id fake na avatar [emoji23] [emoji23] nawapenda mabinti wa jf
 
Halafu babe insta acha kujaribu jaribu kila kitu unataka kujaribu
yaliyonitokea kule kwakweli siku hizi nimekuwa mpole na kama sehemu ndiyo mgeni siijui vizuri yani ndio huwa sileti mbwembwe kabisa nafata kilichonipeleka then nasepa..... lile tukio lakujua nimepata bebe alafu nakutana na dushe lilinibadilisha sana πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Asante mkuu tunakupenda pia mm ndio mana sitaki kabisa kuweka avatar za watu kusemwa kama hivi
Hakika mimi kwenda pm nipo fasta na sioni shida kutuma picha zangu ila wadada wa jf wengi wao hawajiamini wanaogopa kutuma picha sababu wengi wao uzuri wao upo kwenye id fake na avatar [emoji23] [emoji23] nawapenda mabinti wa jf
 
[emoji1005] [emoji1005] [emoji1005] [emoji1005] [emoji1005]
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nawaza tu ungebadilishiwa kibao na dushe liwe active
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…