Emmathias
JF-Expert Member
- Jan 22, 2018
- 681
- 968
Hapo Umenena..Nani kakuambia Waafrika wanadili na wenye makosa?!
Habari zenu nahisi mko safi sana, je unajua kuwa pamoja na kwamba server ya baadhi ya forums ni vigumu kupata wenye akaunt lakin nawaibia siri, kidogo, pamoja na hiyo kama kukupata hawashughulik sana,
Watu wengi hawajuhi njia hizi hutumika na kumpata muhusika
1. Matangazo ya kazi, hapa watu wanakuwa washasahau kama wamesha comment mambo yasiyo na msingi. Mwana intelijensia mmoja anaweka tangazo la kazi, watu wanazama pm na kujiachia sana kuwa kaka nisaidie kaka nisaidie
2. Kuna wale wanaojiita "MISS FLAN NA MISS FLAN" Vijana wengi kwa mihemko ya mapenzi huzubaishwa na nyuzi wanazoanzisha hawa wanaojifanya wanawake kumbe ni madume kwenye mtandao, na kuwafuata PM kutililika kila kitu
Na kupanga maeneo ya kukutana mara mtu hatokei lengo ameshapata contact yako,
3. Matangazo ya biashara na connection mbalimbali, hizi pia ni njia rahisi kumdaka mtu na wamedakwa wengi mno,
4. Ushauri wa mapenzi na nguvu za kiume , hapa hatari sana watu wanaanzisha nyuzi watu wanaingia kichwa kichwa,
5. Wale wanaodanganya eti " nimepata clip moja ni hatari inamsema mkulu naogopa kuiweka hapa" utasikia watu wanajibu na Ku pm Namba yangu unitumie whatsap bhaaass.
6. Wanaojifanya kuipinga serikali na kuikashfu mtandaon hawakamatwi kama B-K hawa ni wa kutilia mashaka maana wanatengeneza mazingira uone hawako.na serikali na unapanga nao mikakati kumbe hatari sana,
7. Njia Nyingine inayotumiwa na nchi zilizoendelea ni rahisi kujua kwa Kuwa kifaa chochote kinachotumia mawimbi ya kimtandao kina kawaida ya kutuma signal au Taarifa kila sekunde katika chanzo chake Sever machine hivyo kitendo cha wewe kutumia kifaa cha aina hiyo Tayari umejiingizA katika hesabu za mtu Na ni rahisi kudakwa kwa sababu kifaa chako kinasema ulipo.
Ushauri ni kwamba usitoe contact zako hata kama ni dili, maana ni Muhim kujilinda, lakin pia tuwe makini tunavyoanzisha thread au Ku comment tusitukane,
Pia. Tekinologia ilipofikia kila kifaa,unachotumia kuweka line ya Simu, watoa huduma wanajua IMEI Namba.Wanaweza fatilia taarifa zako na print mawasialiano na nambari washirika wako,na kujua mahali.Fake Ids ni kama tinded na pazia .La msingi uwe makini kuzingatia sheria na kuwa tayari kuwajibika kwa unachokiandika.
Muwe na mchana mwema
Britanicca encyclopedia

Ndo mimi mkuu
Nilishapoa.
Nilishapoa.
Ila hatari sana
Alie kwambia kuwa majambazi hawako social media ni nani. ? Tena wana simu kali.. sems kuwagundua ndio ishuHivi majambazi na wauza madawa ya kulevya mbona hawakamatwi au hawatumii vifaa vya mawasiliano?mm nahisi usalama wa nchii hii huwa wanafundishwa kukamata upinzani tu wanaokosoa serekali mitandaoni.
Yule kaka ako asietaka mashemeji kumbe alikua anajipendekeza tu!humjui wala nn!Kumbe huko PM ni hatari aisee ctaki kukutana na mwana jf yoyote kwa mtindo huo aisee.
In addition to your comments: every device connected to the internet has a unique identifier/ number called an Internet Protocol Address (IP Address).This is a logical address and is dependent on your location. Like let's say if you move from Europe to Africa, your IP address will change. So it's dependent on the Network on which you can get connected. Therefore, your mobile phone number is also, just an IP Address.
Apart from IP Address, every device with the aforestated qualities has an address which is burned on the motherboard chip, the chip which is inside the device. This is called a phsical address or in technical terms, Media Access Control Address (MAC Address in short). This address therefore cannot change with location because it's something on the chip of the device. It can only change on those rare cases perhaps when the motherboard of the device gets replaced by another similar motherboard, perhaps due to faults or something similar. So if you chage the position, the MAC address of your device will remain the same whereas the IP Address might change.
Ni kama tuseme kama wewe jina lako unaitwa Nyani, ukihamia Mwanza kutoka Dar es Salaam, sanduku lako Posta au Anwani ya Makazi ya nyumba yako yatabadilika na kuwa replaced na na ya kule ulikohamia Mwanza, lakini jina lako litaendelea kuwa lile lile la Nyani. Kwa hiyo IP Adrress ni kama Anwani ya Sanduku la Posta au anwani ya makazi yako ambayo essentially ni logical, na jina lako ni kama MAC Address. Ukibadilisha jina, ni sawa na kusema umebadilisha motherboard ya Komputa au smartphone yako.
Kumpata mtu anayefanya cyber crime kwenye web is easy as ABC, labda mtu huyo awe ni mtaalamu liyebobea sana kwenye maswala ya IT au mtu ambaye ame-default kutoka kwa watu wa Intelligence, kama Edward Snowden, otherwise comouflage kwa mtu mwingine wa kawaida siyo kitu rahisi and is almost impossible! Kwa hiyo ukiona mtu anatukana kwenye mtandao, jua kuwa huyo ndiyo layman wa mwisho kabisa hapa duniani. Minara ya simu pia ni router ambazo huwa zinaonyesha signal yako imerushwa kupitia mnara gani, kwa hiyo hata kama uko Mbeya umemtukana mtu Dar es salaam, Polisi wa Dar watakachofanya ni kupiga simu tu Mbeya, halafu Polisi walioko Mbeya wanaku-locate.
Vile vile ukibadilisha line, bado MAC Address itaendelea kuwa ile ile, kwa hiyo watajua tu kuwa ulikuwa natumia namba fulani, na sasa hivi unatumia namba nyingine
Ni layman tu anayeweza kutukana kwenye mtandao akidhani kuwa hawezi kukamatwa!
Tutajie hata mbili mkuu..Binafsi kuna course ya ethical hacking.ni certificate na ni wachache hapa bongo wenye iwezo wa kusoma hiyo kozi.
Nilipata nafasi ya kuhudhuris hiyo cozi.. na niseme tu utajifanza skills nyingi.. ku locate watu, ku trace vifaa mbali mbali.. mpaka transaction za kibenk..
Binafsi najua ni mbinu gan polis na vyombo vingine wanatumia maana class walikuwepo baadhi yao. Nisi gependa kuziweka wazi. Ila niseme it is possible kujilinda. Uka cover tracks zako hata wasijue.
Sent using Jamii Forums mobile app
Tutaacha kutumia "raisi" tutatumia tafsida yakeNavyofaham uchunguzi wa kiusalama mwingi huwekwa kwenye keyword search
Wao wanakuwa na search engine yao kwa ajili ya kusearch keywords zao na kila unapopost ina trigger kwenye
Dictionary yao
Mfano wameweka neno raisi
Ukipost neno raisi wanajua kisha wanaanza kufuatilia aliyepost nani.
Watakusanya post zako wata analyze kisha watakuja na mipango kama wewe ni threat au la.
Hapo ndo hatua zaidi hufuata kama kukudua na mengineyo
Fanya yako mkuu 😎😎
Siku 14.
Mambo mambo tu.
Aibu kutaja hapa.
Afu nimejifunza kitu...usione mwanaume/mwanamke kaka bar na kukaa na kuanza kunywa peke yake, wengine wanakuwa mitego
Kwel kabisaSio lazima ufanye kosa. Hata wao wakikosea namba yako au location yako unalo.
Sure
Yes
Binafsi kuna course ya ethical hacking.ni certificate na ni wachache hapa bongo wenye iwezo wa kusoma hiyo kozi.
Nilipata nafasi ya kuhudhuris hiyo cozi.. na niseme tu utajifanza skills nyingi.. ku locate watu, ku trace vifaa mbali mbali.. mpaka transaction za kibenk..
Binafsi najua ni mbinu gan polis na vyombo vingine wanatumia maana class walikuwepo baadhi yao. Nisi gependa kuziweka wazi. Ila niseme it is possible kujilinda. Uka cover tracks zako hata wasijue.
Sent using Jamii Forums mobile app
Shida yote hiyo ni ya nini kama unachokisema ni halali? Hata kama unaisema serikali kwa kuikosoa na kueleza vizuri tu mabaya inayofanya na kupendekeza kitendo mubadala ambacho kinabidi kifanyike, hakuna sababu ya kujificha kwani hakuna mtu atakayehangaika na wewe. Ni pale tu unapotoa matusi kwa viongozi wa serikali ndiyo linakuwa kosa na inabidi utafutwe na kushughulikiwa ipasavyo kwa mujibu wa sheria.Habari zenu nahisi mko safi sana, je unajua kuwa pamoja na kwamba server ya baadhi ya forums ni vigumu kupata wenye akaunt lakin nawaibia siri, kidogo, pamoja na hiyo kama kukupata hawashughulik sana,