Madame B
JF-Expert Member
- Apr 9, 2012
- 31,841
- 37,579
NilishapoaPole sana!!
NilishapoaPole sana!!
Hahahhah
No. 5 ndio iliniweka Stakishari.
Nikajaa Pm...wakajaa na mimi
Aisee mbona hatari sana kwahyo akakudaka kiurahisi hivo.Hahahhahhah
Kwakweli.
Ila unadhani mie nilivyokamatwa pale Catalunya unadhani ilikuwaje...mtu alikuja humu Pm, kwanza nimeanza nae jukwaani, tukahamia Pm...kumbe askari.
Nikaingia kwenye 18 zake, nikaenda Stakishari, kumbe nilikuwa natafutwa siku nyingi tangu kazini.
Basi nikala siku zangu 14 selo, nikarudi uraiani.
Humu acha tu niwe bandidu.
Ukiona mpaka nimekutana na mtu niliyemjua pm basi ujue kazi ipo
Naona leo mmelemewa mmeamua kuja na mbinu za kuzuia mafuriko kwa mikono
Kama kuna zari, we jipindue tu mwaya.Kumbe huko PM ni hatari aisee ctaki kukutana na mwana jf yoyote kwa mtindo huo aisee.
Na hapo nishakunywa sana...kumbe ananichota akili.Aisee mbona hatari sana kwahyo akakudaka kiurahisi hivo.
Hahahhahhah
Kwakweli.
Ila unadhani mie nilivyokamatwa pale Catalunya unadhani ilikuwaje...mtu alikuja humu Pm, kwanza nimeanza nae jukwaani, tukahamia Pm...kumbe askari.
Nikaingia kwenye 18 zake, nikaenda Stakishari, kumbe nilikuwa natafutwa siku nyingi tangu kazini.
Basi nikala siku zangu 14 selo, nikarudi uraiani.
Humu acha tu niwe bandidu.
Ukiona mpaka nimekutana na mtu niliyemjua pm basi ujue kazi ipo
Hivi majambazi na wauza madawa ya kulevya mbona hawakamatwi au hawatumii vifaa vya mawasiliano?mm nahisi usalama wa nchii hii huwa wanafundishwa kukamata upinzani tu wanaokosoa serekali mitandaoni.
Na hapo nishakunywa sana...kumbe ananichota akili.
Shikamooni maafande.
Wewe nani kakwambia mambo haya?Habari zenu nahisi mko safi sana, je unajua kuwa pamoja na kwamba server ya baadhi ya forums ni vigumu kupata wenye akaunt lakin nawaibia siri, kidogo, pamoja na hiyo kama kukupata hawashughulik sana,
Watu wengi hawajuhi njia hizi hutumika na kumpata muhusika
1. Matangazo ya kazi, hapa watu wanakuwa washasahau kama wamesha comment mambo yasiyo na msingi. Mwana intelijensia mmoja anaweka tangazo la kazi, watu wanazama pm na kujiachia sana kuwa kaka nisaidie kaka nisaidie
2. Kuna wale wanaojiita "MISS FLAN NA MISS FLAN" Vijana wengi kwa mihemko ya mapenzi huzubaishwa na nyuzi wanazoanzisha hawa wanaojifanya wanawake kumbe ni madume kwenye mtandao, na kuwafuata PM kutililika kila kitu
Na kupanga maeneo ya kukutana mara mtu hatokei lengo ameshapata contact yako,
3. Matangazo ya biashara na connection mbalimbali, hizi pia ni njia rahisi kumdaka mtu na wamedakwa wengi mno,
4. Ushauri wa mapenzi na nguvu za kiume , hapa hatari sana watu wanaanzisha nyuzi watu wanaingia kichwa kichwa,
5. Wale wanaodanganya eti " nimepata clip moja ni hatari inamsema mkulu naogopa kuiweka hapa" utasikia watu wanajibu na Ku pm Namba yangu unitumie whatsap bhaaass.
6. Wanaojifanya kuipinga serikali na kuikashfu mtandaon hawakamatwi kama B-K hawa ni wa kutilia mashaka maana wanatengeneza mazingira uone hawako.na serikali na unapanga nao mikakati kumbe hatari sana,
7. Njia Nyingine inayotumiwa na nchi zilizoendelea ni rahisi kujua kwa Kuwa kifaa chochote kinachotumia mawimbi ya kimtandao kina kawaida ya kutuma signal au Taarifa kila sekunde katika chanzo chake Sever machine hivyo kitendo cha wewe kutumia kifaa cha aina hiyo Tayari umejiingizA katika hesabu za mtu Na ni rahisi kudakwa kwa sababu kifaa chako kinasema ulipo.
Ushauri ni kwamba usitoe contact zako hata kama ni dili, maana ni Muhim kujilinda, lakin pia tuwe makini tunavyoanzisha thread au Ku comment tusitukane,
Pia. Tekinologia ilipofikia kila kifaa,unachotumia kuweka line ya Simu, watoa huduma wanajua IMEI Namba.Wanaweza fatilia taarifa zako na print mawasialiano na nambari washirika wako,na kujua mahali.Fake Ids ni kama tinded na pazia .La msingi uwe makini kuzingatia sheria na kuwa tayari kuwajibika kwa unachokiandika.
Muwe na mchana mwema
Britanicca encyclopedia
Habari zenu nahisi mko safi sana, je unajua kuwa pamoja na kwamba server ya baadhi ya forums ni vigumu kupata wenye akaunt lakin nawaibia siri, kidogo, pamoja na hiyo kama kukupata hawashughulik sana,

Mkuu umemtaja B_K! Najaribu kuconnect dots hapa
Acha umbea[emoji54][emoji54][emoji54]Mkuu umemtaja B_K! Najaribu kuconnect dots hapa