britanicca
Platinum Member
- May 20, 2015
- 18,063
- 47,032
- Thread starter
- #421
ni hatariKama unahitaji jezi ya taifa star original kwa sh 7000 nione whtssap ilionekana post hii mahari flani.
ni hatariKama unahitaji jezi ya taifa star original kwa sh 7000 nione whtssap ilionekana post hii mahari flani.
Yanini niumize kichwa ilhali sifanyi kosa.
Habari zenu nahisi mko safi sana, je unajua kuwa pamoja na kwamba server ya baadhi ya forums ni vigumu kupata wenye akaunt lakin nawaibia siri, kidogo, pamoja na hiyo kama kukupata hawashughulik sana,
Watu wengi hawajuhi njia hizi hutumika na kumpata muhusika
1. Matangazo ya kazi, hapa watu wanakuwa washasahau kama wamesha comment mambo yasiyo na msingi. Mwana intelijensia mmoja anaweka tangazo la kazi, watu wanazama pm na kujiachia sana kuwa kaka nisaidie kaka nisaidie
2. Kuna wale wanaojiita "MISS FLAN NA MISS FLAN" Vijana wengi kwa mihemko ya mapenzi huzubaishwa na nyuzi wanazoanzisha hawa wanaojifanya wanawake kumbe ni madume kwenye mtandao, na kuwafuata PM kutililika kila kitu
Na kupanga maeneo ya kukutana mara mtu hatokei lengo ameshapata contact yako,
3. Matangazo ya biashara na connection mbalimbali, hizi pia ni njia rahisi kumdaka mtu na wamedakwa wengi mno,
4. Ushauri wa mapenzi na nguvu za kiume , hapa hatari sana watu wanaanzisha nyuzi watu wanaingia kichwa kichwa,
5. Wale wanaodanganya eti " nimepata clip moja ni hatari inamsema mkulu naogopa kuiweka hapa" utasikia watu wanajibu na Ku pm Namba yangu unitumie whatsap bhaaass.
6. Wanaojifanya kuipinga serikali na kuikashfu mtandaon hawakamatwi kama B-K hawa ni wa kutilia mashaka maana wanatengeneza mazingira uone hawako.na serikali na unapanga nao mikakati kumbe hatari sana,
7. Njia Nyingine inayotumiwa na nchi zilizoendelea ni rahisi kujua kwa Kuwa kifaa chochote kinachotumia mawimbi ya kimtandao kina kawaida ya kutuma signal au Taarifa kila sekunde katika chanzo chake Sever machine hivyo kitendo cha wewe kutumia kifaa cha aina hiyo Tayari umejiingizA katika hesabu za mtu Na ni rahisi kudakwa kwa sababu kifaa chako kinasema ulipo.
Ushauri ni kwamba usitoe contact zako hata kama ni dili, maana ni Muhim kujilinda, lakin pia tuwe makini tunavyoanzisha thread au Ku comment tusitukane,
Pia. Tekinologia ilipofikia kila kifaa,unachotumia kuweka line ya Simu, watoa huduma wanajua IMEI Namba.Wanaweza fatilia taarifa zako na print mawasialiano na nambari washirika wako,na kujua mahali.Fake Ids ni kama tinded na pazia .La msingi uwe makini kuzingatia sheria na kuwa tayari kuwajibika kwa unachokiandika.
Muwe na mchana mwema
Britanicca encyclopedia
YesDuh asante kwa Elimu
SanaThanks, nimekusoma Mkuu
you can use VPN its very very safe mkuuUkiwa kwenye mtandao huwezi kujificha...
Kama umeamua kuishi katika mtandao kubali yote kuwa hauko salama kwa namna yeyote ile adui yako wa Kwanza Ni yule ulie karibu nae,wa pili Ni yule anaekutafuta,watatu system administrator,hao wote wakiamua kukutafuta huto pona kabisa.
Usiishi kiwoga kwasababu hakuna haja ya kuwa muwoga kila kitu chako kiko katika mtandao hakitofutika kamwe na kamwe.
Ndio maana asilimia kuwa watu system mambo yao huwa katika hard copy na ukiyaona katika mtandao bas yalishatokea kitambo na hayana athar yeyote au alert flan ndio utazion tu.
Na wote walioutumia uspy kwa njia ya technology wanakamatwa coz huna ujanja wew ukijua mbele wenzako wanajua ya kat na nyuma.
Ustaw wa uspy Ni mkubwa sana na watu kuwa attacked Ni mara ngapi umefollow link humu ndani na wangapi wako na wapenz pasina kujua wako under control??? Katika ulimwengu wa technology ukiwa humo hauko salama.
Na hakuna mtandao ambao uko salama 100% lazima Kuna chance ambazo huwa Ni rahis kuingia na ndio maana kila leo administrator wako wanacheza na system kuhakikisha tuko salama vingnevyo wakizubaa tu kwisha habar.
Kaa ukijua katika ulimwengu wa kimtandao hauko salama ukitaka kuwa salama hakikisha mambo yako yote weka anakoy.
Lakini mkuu hata huko si kunaserikali pia, kuna wanausalama aidha wa wilaya,mkoa n.k basi hao hao ndio watakaohusika kukutafta nasio wanausalama wa mkoa wa dar au wa ikulu so acha ujinga ukidhani uko salama haufikikiWatakamtwa wenye pesa na ma bishooo wanaoishi matawini tu, wewe uje Manzese kule ndani karibu na madimbwi ya maji? au kulee kwa aziz ally karibu na mikoko, mtu anaishi kwenye mikoko, utadhani hakuna nyumba, au Vijiji vya Kiribho huko Tarime vijijini, kwenda huko labda uwe mkurya tena wa hukohuko, vinginevyo wakurya hawatakuelewa, kweli kwanza ni karibu na Kenya, pili ni mimi tu najua kiswahili. Pc yangu kuukuu ina tumia betri ya gari unakatisha michaka yenye giza halafu ni milima hatari. pia kuna sehemu km kiziba karibu na Uganda yaani una katiza kwenye mifereji mingi ya ziwa victoria sifa na onyo ujue kuogelea.
halafu natumia Safari com
wengine wanaishi re Union Island wanatumia bi net, tumesajili kifaransa, sasa hapo utaenda huko?
Jamii forum ni Dunia nzima, usitishe watu hapa.
Ukiwa kwenye mtandao huwezi kujificha...
Hatari kweliHatariii
Exactly, kama huku nilipo.Watakamtwa wenye pesa na ma bishooo wanaoishi matawini tu, wewe uje Manzese kule ndani karibu na madimbwi ya maji? au kulee kwa aziz ally karibu na mikoko, mtu anaishi kwenye mikoko, utadhani hakuna nyumba, au Vijiji vya Kiribho huko Tarime vijijini, kwenda huko labda uwe mkurya tena wa hukohuko, vinginevyo wakurya hawatakuelewa, kweli kwanza ni karibu na Kenya, pili ni mimi tu najua kiswahili. Pc yangu kuukuu ina tumia betri ya gari unakatisha michaka yenye giza halafu ni milima hatari. pia kuna sehemu km kiziba karibu na Uganda yaani una katiza kwenye mifereji mingi ya ziwa victoria sifa na onyo ujue kuogelea.
halafu natumia Safari com
wengine wanaishi re Union Island wanatumia bi net, tumesajili kifaransa, sasa hapo utaenda huko?
Jamii forum ni Dunia nzima, usitishe watu hapa.
Mimi sifikiki na huku hakuna mambo ya kipuuzi ya kutafutana kisa nimekushambulia kwa maneno ambayo kiuhalisia hayana madhara yoyote kwako.Lakini mkuu hata huko si kunaserikali pia, kuna wanausalama aidha wa wilaya,mkoa n.k basi hao hao ndio watakaohusika kukutafta nasio wanausalama wa mkoa wa dar au wa ikulu so acha ujinga ukidhani uko salama haufikiki