britanicca
Platinum Member
- May 20, 2015
- 18,063
- 47,031
- Thread starter
- #401
MhIsije ikawa na wewe ni intelijensia unafanya research kujua uelewa wa watu jinsi mnavyofanya kazi maana mahaka ya cyber crime na mafisadi zimekosa washtakiwa.
MhIsije ikawa na wewe ni intelijensia unafanya research kujua uelewa wa watu jinsi mnavyofanya kazi maana mahaka ya cyber crime na mafisadi zimekosa washtakiwa.
You will run but you can't hide!...take it from me... you cannot hide, wakiamu kuku trackdown watakupata tu ...
Na ndio mana CCM siri zao hazivuji ziko kwenye makaratasiNinacho weza changia hapa ni kitu kimoja. HAKUNA USALAMA KWENYE TECHNOLOGY.
Waitu wagumaWE SEMA KU-PM NDIYO NJIA RAHISI YA KUJI EXPOSE - LAKINI KUMBUKA VILE VILE SI KILA MTU ANATUMIA WEBMAIL KWA JINA LAKE SAHIHI ANAWEZA KIJIITA ALIAS NAME - HISIPOKUWA MAKAMPUNI YANAYO HOST E-MAIL ZA WEB WANA NJIAZAO ZA KUHAKIKI JINA LAKO SAHIHI NA SIMU YAKO JUST INCASE.
LAKINI MAKAMPUNI HAYO HAYA WAJIBIKI KUTOA TAARIFA ZAKO KWA SERIKALI YOYOTE LABDA KAMA UNAJIHUSISHA KWENYE MASUALA YA UGAIDI AU KUFANYA UJINGA WA KU GOOGLE JINSI YA KUTENGENEZA MABOM AU MADAWA YA KULEVYA AU BIASHARA ZA NGONO KWA WATOTO WADOGO.
ROBOT SOFTWARE ZINAKU TAG HALAFU UNAFUATILIWA KWA KARIBU SANA, KUWENI MAKINI NA BAADHI YA TAARIFA MNAZO TAFUTA KWA KUTUMIA SEARCH ENGINES ZA MITANDAONI.
HAPA TUNAZUNGUMZIA MASHIRIKA YA KIPELELEZI/JASUSI YA HUKO MERIKANI YANATUMIA SANA MAKAMPUNI YA YENYE SEARCH ENGINES MFANO: GOOGLE, BING, CABCRAWER, ALTAVISTA NK KUFATILIA WATU WANAO TILIWA SHAKA.
Jina lako la Kingslee limenikumbusha Colorado mwaka 2006 tulimkamata mnigeria Ana Bomu chumbani Jina ni Kingslee, KironsheleLET ME TELL YOU ALL
IPO HIVII kuhack NJIA YA SIMU NI OUTDATED TECHNIC (Mtu anafanya Tukio then anatupa Line na Anabadilisha Simu) Huwezi kumpata kamwe.. Mambo ya PM kuhusu Mapenzi ni jambo la kawaida na hajavunja sheria, unahiari mwanamke ukubali au ukatae.
Nakumbuka kuna kipindi fulan nikiwa Russia kwenye .............................
Naomba niwavujishie Ubuyu wa mbinu za kitengo cha Usalama hapa Tz wanazotumia..
simple ni IP Adress yako. Pindi unapopost News fulan at that moment kwenye device yako inasoma Ip Adress then inakuwa Configured to that ....................software then few's minutes later inatoa GPS coordinates number hivyo wanajua Location yako last time ulipo.They regularly monitoring your coordinates na unakamatwa kama kuku kwenye banda.
niliporud Bongo nilienda ................... nikakuta jamaa washaAdvance hii kitu na niliwah shuhudiaTrace ya ..................... na akakamatwa kwa system hiyo
In most cases hii njia inatumiwa zaid Developed countries
Note: Huwa wanafocus zaid kwa mtu mwenye Kuhatarisha usalama wa Nchi but Very Minor wanaolenga Post za Kumkosoa Raisi without Critical Evidence wala Suggestion ili kutatua tatizo hilo kwa wananchi
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Leo watu wanahaha..[emoji23][emoji23][emoji23]
Nyuzi zote watazifukua
Mkuu huu uzi unakarbia miaka 2 hapa jamvin...wewe umeuona leo? Hkifutwi kitu humuLeo watu wanahaha..[emoji23][emoji23][emoji23]
Nyuzi zote watazifukua
nimefanya nini sasa mimi niliweka watu wajue tuMaxence Melo anza na huyu..LOL
Wameshapagawa hao mkuu wanarusha lawama kwa watu tu potezeanimefanya nini sasa mimi niliweka watu wajue tu