Wanaume tuwe waangalifu sana tunalea watoto wasiokuwa wetu.Kuna dada mmoja tunafanya naye kazi yeye ni mjamzito alikuwa anadili na jamaa wawili, huyu jamaa wa kwanza ana mke na mke wake yuko mbali na ndio aliyempa ujauzito na ndiyo demu anampenda sana.Huyu wa pili yeye ndiye aliyekuwa analazimisha penzi lakini hapendwi na mambo yake yako freshi.Demu kachekecha kaona haina jinsi kaamua kumuuzia jamaa wa pili msela kakubali.Tuwe makini sana wanaume hawa wanawake wana siri kubwa usikute hata huyo mtoto sio wako hebu mwangalie kichwa unafananae kweli angalia na hayo masikio situka baba unaibiwa........................