Jinsi wanaume tunavyouziwa watoto

Jinsi wanaume tunavyouziwa watoto

bado sio solution,imagine mwanaume kaoa na mke anambambikia watoto hapo inakuwaje?,manake ukiwa na mke kuloweka ni haki ya msingi

Hilo nalo neno. Kubambikiwa kwenye ndoa ni mbaya sana, bora ukabambikiwa kwa kimada.
 
Ukimchunguza sana bata hutamla na kawaida kitanda hakizai haramu. Kabla hujachunguza jiulize kwanza kama kweli wewe ni mtoto wa babako.
 
Unataka kusema kama baba alibambikiwa na mimi nikubali kubambikwa? Mjanja urekebisha pale baba yake alipokosea.
 
Ukimchunguza sana bata hutamla na kawaida kitanda hakizai haramu. Kabla hujachunguza jiulize kwanza kama kweli wewe ni mtoto wa babako.

Unataka kusema kama baba alibambikiwa na mimi nikubali kubambikwa? Mjanja urekebisha pale baba yake alipokosea. Mtoto anapozaliwa huwa hajui lolote kuhusu wazazi mpaka atakapokuwa mkubwa, na hakuna mtu aliyeambiwa huyu ni baba/mama yako kama alilelewa na wazazi wote tangu alipokuwa mchanga, lakini baba anahaki ya kuhoji kwa kuwa anajua nini kinaendelea. (mtu mzima)
 
Hilo nalo neno. Kubambikiwa kwenye ndoa ni mbaya sana, bora ukabambikiwa kwa kimada.

Mwombeni Mungu awasaidie balaa kama hili lisiwakute, unaweza kuua familia nzima. Simshauri mtu kupekenyua sana uhalali wa watoto wake, likutokee na ulijue kwa bahati mbaya tu. Fikiria unapekenyua, kisha unagundua kuwa watoto wote ulio nao si wako utafanya nini?
 
Sure. Sometimes bora umwombe Mungu busara na uvumilivu, akuepushe na kupima DNA. Badala ya kuua 'wanao' unaweza kujikuta 'unajiua' kwa heart attack.
 
Back
Top Bottom