Pole mkuu.. nitumie pic za Kazi zako PM nioneHabarini wana jukwaa kiufupi namshukuru mungu maana bila yeye nisingekuwepo kabisa nakumbuka mwezi wa sita nilipata kibarua mkoani singida cha ujenzi nilianza kazi japo mazingira yalikuwa magumu lkn nilikomaa na nilimuomba mungu pia na baada ya mwezi nikafanikiwa kukabidhi kazi wakati wote wa kazi nilimwambia boss anitunzie hela Mpaka nitakapomaliza ndio anilipe nashukuru mungu nilifanikiwa kumaliza na nikalipwa halali yangu moja kwa moja nikaanza mikakati ya kununua kuku wa kienyeji kwa lengo la kuja kuuza dar kweli mungu alinipa wepesi nikanunua mzigo wa laki sita jpl ya week iliopita nikaanza safari ya kurudi dar na nikiwa na furaha tele kwani nyumba niliokuwa naishi hapo kimara korgwe ilikuwa kwenye order ya kuvunjwa hivyo nikawa na matumaini nikiuza tu natafuta chumba haraka lkn ndoto zilikatizwa na vibaka pale mikese morogoro kwani jamaa walidandia gari wakashusha mzigo kwenye bamsi wakasepa sio siri niliugua gafla kwa kweli hii dunia imejaa watu dhalimu wasiotumia nguvu zao kutafuta walaaniwe maisha yao yote wamefanya nimepungua kilo gafla hapa naomba mungu anipe wepesi
Ni kweli. Kale ka kipande kutoka Mdaula kwenda Mikese pabaya sana hasa nyakati za usiku. Don't try that at night!Pole mkuu wanaitwa shusha-shusha Hao...wamewaliza watu wengi sana.
Aisee....Mungu atakujalia kwa namuna Nyingine..ukupatie Mara mbili ya kilichopotea.
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji41], ndo dunia hiyoHabarini wana jukwaa kiufupi namshukuru mungu maana bila yeye nisingekuwepo kabisa nakumbuka mwezi wa sita nilipata kibarua mkoani singida cha ujenzi nilianza kazi japo mazingira yalikuwa magumu lkn nilikomaa na nilimuomba mungu pia na baada ya mwezi nikafanikiwa kukabidhi kazi wakati wote wa kazi nilimwambia boss anitunzie hela Mpaka nitakapomaliza ndio anilipe nashukuru mungu nilifanikiwa kumaliza na nikalipwa halali yangu moja kwa moja nikaanza mikakati ya kununua kuku wa kienyeji kwa lengo la kuja kuuza dar kweli mungu alinipa wepesi nikanunua mzigo wa laki sita jpl ya week iliopita nikaanza safari ya kurudi dar na nikiwa na furaha tele kwani nyumba niliokuwa naishi hapo kimara korgwe ilikuwa kwenye order ya kuvunjwa hivyo nikawa na matumaini nikiuza tu natafuta chumba haraka lkn ndoto zilikatizwa na vibaka pale mikese morogoro kwani jamaa walidandia gari wakashusha mzigo kwenye bamsi wakasepa sio siri niliugua gafla kwa kweli hii dunia imejaa watu dhalimu wasiotumia nguvu zao kutafuta walaaniwe maisha yao yote wamefanya nimepungua kilo gafla hapa naomba mungu anipe wepesi
PM ni private message hapa JFNicheki 0759052627 pm sijui kaka