Inategemea na ukubwa wa kuku ili jogoo mkubwa kabisa 12,000 mtetea 7000,8000Mkuu kwanza pole sana kwa majanga yaliyokukuta,mola akupe moyo wa subra Sana'a.
Pili naomba nidokeze kwa sasa kuku wanaenda kwa Bei gani,maana nahutaji kuingia katika hyo biashara na target area NI hapo singida
Walishusha kwenye bamsi wametumia Kama dk 2 tu hao jamaa balaa kuna jamaa nilimkuta kituo cha police ameshushiwa shati 700Wako shapu kweli, wameshusha kuku wa laki 6 kwa muda mfupi hivyo? Sio kwamba ulidondosha matenga njiani? Au uliwaona kwa macho wewe mwenyewe wakishusha?
Bei zako za kupaua bei gani,au mpaka upime nyumbaNimepoa ila tahadhari mnaosafiri hasa usiku Kama unatoka mkoani ukikaribia morogoro bora ukakaa nyuma kabisa kwenye mzigo japo hawa jamaa wanaweza hata kukuua lkn wakiona mtu kidogo wanaogopa pia kama kuna mtu ana kazi hasa kupaua blundering anistue ili nijikimu na huu mji wenye raha za bandia
Morogoro hapafai kwa wizi wa kwenye magari....sitakaa niusahau huu mkoa.Nimepoa ila tahadhari mnaosafiri hasa usiku Kama unatoka mkoani ukikaribia morogoro bora ukakaa nyuma kabisa kwenye mzigo japo hawa jamaa wanaweza hata kukuua lkn wakiona mtu kidogo wanaogopa pia kama kuna mtu ana kazi hasa kupaua blundering anistue ili nijikimu na huu mji wenye raha za bandia
Weka namba yako ya wasap hapa,utapata na wengineNikiiona nyumba inakuwa vema zaidi naweza kukutumia picha pia ukaona Kazi yangu
Siyo polisi. Kazi ianze kwetu sisi wananchi sbb wanaoibiwa ni sisi na siyo polisi.Huu wizi ni mtandao mkubwa watu wanajulikana na police wanawajua wahusika. Hivi kweli wanashindwa kuwamaliza kabisa hao wezi. Au mpaka Rais aseme kuwa hataki kusika wizi wa mizigo usiku. Police wajipangae kumaliza hili genge la wahalifu.
Nakushauri kamuone huyu Mtaalamu nasikia yuko Tanga mbona Watesi wako watakutafuta wakurudishie mzigo wakoNimepoa ila tahadhari mnaosafiri hasa usiku Kama unatoka mkoani ukikaribia morogoro bora ukakaa nyuma kabisa kwenye mzigo japo hawa jamaa wanaweza hata kukuua lkn wakiona mtu kidogo wanaogopa pia kama kuna mtu ana kazi hasa kupaua blundering anistue ili nijikimu na huu mji wenye raha za bandia