Jinsi tunavyoibiwa petrol station

Jinsi tunavyoibiwa petrol station

Dawa yake kidumu. Mimi huwa ninachumba ya maji ya lita moja kwenye gari. Nikifika nawatisha kuwa nataka kwanza lita moja ya kwenye hiyo chupa, wakichomoa nasepa. wakikubali nanunua lita moja kwanza alafu ndio naweka kwenye tank ya gari.

HIZI SIO NYAKATI ZA KUONEANA AIBU
Duh. We mkali
 
Kumbe ndivyo ilivyo, mm huwa nashangaa nikiweka mafuta ya kias flan kwenye sheli flan yanachukua round ila kuna siku nikiweka mafuta ya kiwango kile kile kwa sheli nyingine yanawah kuisha
 
Kuna vituo wako vizuri saana. Kuna Total Mlimani City na PUMA mandela road. Vingine huwa siwaelewi.
Ivi kituo cha Puma pale Ubungo Riverside kalibia na Landmark wao awachakachui mafuta na pale maeneo ya Kimara Baruti
 
Kwa wakala wa VIPIMO ni muhimu kuzikagua hizi pump kila kituo mara kwa mara.
Wakala wa vipimo ni binadamu kama binadamu mwingine mwenye matatizo Kwa iyo Rushwa anachukua kama kawaida
 
Asee mi wamenifilisi basi..
Mwaka wa tano huu ila kuanzia Leo ni dumu kwa kwenda mbele...

Hivi sheli wanakubali ushushe dumu ukiwa na gari hapo hapo?
Si unawaambia naenda kuweka katika jenerata, watakataaa kwani?
Inamaana majenereta na yenyewe yaje petroleum station ()
 
Wakala wa vipimo ni binadamu kama binadamu mwingine mwenye matatizo Kwa iyo Rushwa anachukua kama kawaida
Hapo umenena,haiwezi kuwa hawamo katika dili,hii inamaana hadi meneja au mmiliki huwa anajua.
 
Kumbe ndivyo ilivyo, mm huwa nashangaa nikiweka mafuta ya kias flan kwenye sheli flan yanachukua round ila kuna siku nikiweka mafuta ya kiwango kile kile kwa sheli nyingine yanawah kuisha
Inaonyesha ndiyo mpango wa kujiongezea faida wa vituo vingi.
 
Dawa yao ni kujenga ka shell kadogo nyumbani kwako! Angalau ukichimbia katenk ka Lita 10000 Lt unatumia hadi unasahau!
Ni suala la bajeti tu!
Tenga eneo la nyumba yako iwe mfano Wa yard! Chimbia tank chini, nunua pump zile ndogo funga Kwa matumizi yako! Yakiisha unajaza tu!
Yanini kujipa stress na mafuta ambayo hujui ubora wake?
FAIDA ZA KUJAZA GARI FULL TANK
1. Mafuta hayatumiki sana, kinachotumika sana hapo ni gas inayokuwa generated ndani ya tank..tofauti ni kwamba mtu anayeweka mafuta ya kibaba yanapofika ndani ya tank yanasambaa na kuisha mapema tofauti na aliyejaza full tank.
2. Uhakika Wa safari ni mkubwa
3. Unaepuka uwezekano Wa pump kufuta uchafu uliochini unaweza leta madhala kwenye injini.n.k
MADHALA YA MAFUTA MACHAFU KWENYE GARI
1. Injini kufa mapema.
2. Petrol filters kuziba au kutoa uchafu.
3. Gari kuanza kumisi na kupoteza nguvu.
4. Gari kutoa moshi mwingi
5. Gari kuzima au kutetemeka.
6. Service za Mara Kwa mara
Kwa maelezo zaidi Jinsi ya kufanya mafuta yako yasiishe haraka hata Mara mbili zaidi ni PM nikupe dawa ya kudilute
Swala la kuchimba kisima nyumbani umeongea kama vile kitu simple tu, kuna swala la tahadhari petroli sio maji kwamba kila mtu ajenge kwenye yard yake unataka kuleta maafa katka jamii
 
Hii nimeiona mara nyingi sana: Pump unayoshinikiziwa kupark gari huwa mara nyingi inakuwa imetoka kujaza volume ndogo ya mafuta kwenye chombo kingine cha moto, so ukipark hapo wanaanza kufuel kwako bila kuanzia ZERO reading ya meter yao (Mostly utakotakuta either imetoka bajaji or bodaboda) unaishia kulipa 20,000/= kumbe umewekewa mafuta ya 14,000/= hiyo 6000 ni faida kwake.

Pia huwa wanakuchangamkia mwingine anakuongelesha mwingine anaweka pump kwenye gari na kujifanya wamesahau kukuuliza waweke mafuta ya sh. ngapi na wanakwambia wameshaanza kuweka. Tabia hii ipo sana sheli za fulani hapa maeneo ya ubungo.

Huwa nikifika hapo nazima gari nashuka kabisa ndio naanza kuonea nao
Wizi ndo huu hapa hata mikoani upo sana.Nimeona watu wakiibiwa zaidi ya mara mbili kwenye vituo tofauti.Ni vizuri kuwa makini.
 
Unajua nina umri gani? Ndio maana nakuona ni limbukeni,mpuuzi mkubwa
Ungekuwa unaumri wa kutoshabusingeona kuwa na gari mtu anahitaji kujitangaza,ndiyo maana najua bado mtoto ambae unaonga gari ni kitu kikubwa sana,mshamba we!.
Wachabgiaji wote wanazubgumza magari hapa,wewe tu ndiyo umeona kitu kikubwa sana,maliza kwanza mkopo.
 
Back
Top Bottom