Jinsi simu za China zinavyowaibia wateja Afrika

Kampuni kubwa ya Simu africa yenye market share inayokadiliwa kua 41% africa, kupitia uchunguzi wa kina uliofanywa na kampuni za Secure - Ds System, A mobile security services na Buzzfeed news.

Ambazo ni mobiles carriers zenye jukumu la kulinda usalama wa huduma zao na wateja wao dhidi ya wizi wa taarifa na Miamala isiiyo ya halali imethibitisha ya kua wamefanikiwa ku block miamala 844,000 ya wizi wa pesa kwa kipindi cha march - December 2019.

Aidha katika report yao ya week hii, wamebaini jumla ya miamala Milion 19.2 ya wizi kutoka katika simu laki 2.

Hili limekuja hadharani baada ya malalamiko ya wateja na hatimaye kampuni hizo zika anza kulifanyia kazi kwa kutumia simu Aina ya tecno W2 katika nchi za Ethiopia, Ghana, South Africa, Cameroon, Egypt n.k na hatimaye kupata ushahidi wa moja kwa moja kwa kukuta pre installed malware ambazo zina mregister mteja katika Digital service mbali mbali ambazo utalipia pesa automatically kwa kupitia airtime, bila idhini ya mteja na bila ya yey kujua...

Kwa baadhi ya simu, ni kupitia pop up ads zinazokuja wakati ukiwa unatumia simu, na endapo ukali cancel automatic unakua ume subscribe.

Baada ya hapo tecno wamejaribu kujitete kama walisha tatua hilo tatizo, japo ushahidi uliodakwa bado una wakana.

Kenya ni miongoni mwa nchi zenye wateja walio lalamikia hili..
 
Kazi kwenu wazee wa..
"Unfortunately jamiiforums has stoped"

"WAIT, OK, REPORT"

Kabla huja opt chochote unaona..

"Phone is restarting"

Ikiwaka, subiri Dk kumi wenge liishe,
Wenge nalo likiisha unaona
"Battery low",

hujatafuta hata charge,
Ilishazima..

Ila nyie ndugu zangu mna Roho ngumuu..

"Rahisi Ghali"
 
Kazi kwenu wazee wa..
"Unfortunately jamiiforums has stoped"

"WAIT, OK, REPORT"

Kabla huja opt chochote unaona..

"Phone is restarting"

Ikiwaka, subiri Dk kumi wenge liishe,
Wenge nalo likiisha unaona
"Battery low",

hujatafuta hata charge,
Ilishazima..

Ila nyie ndugu zangu mna Roho ngumuu..

"Rahisi Ghali"
Unawashauri wafanye nini?
 
Kazi kwenu wazee wa..
"Unfortunately jamiiforums has stoped"

"WAIT, OK, REPORT"

Kabla huja opt chochote unaona..

"Phone is restarting"

Ikiwaka, subiri Dk kumi wenge liishe,
Wenge nalo likiisha unaona
"Battery low",

hujatafuta hata charge,
Ilishazima..

Ila nyie ndugu zangu mna Roho ngumuu..

"Rahisi Ghali"
Ha ha ha...
 
Back
Top Bottom