Jinsi Rais anavyookota vitu bandarini

Misiba ya nini, tujali walio hai, vya kuokota bado vingi mno pale visaidie walio hai...Mwache aendelee kuwauumbuwa..

Ecclesiastes 9:5
At least the living know they will die, but the dead
know nothing; they no longer have a reward, since memory about them has been forgotten.
 
```Naye akawajibu "Msinililie Mimi, jililieni ninyi na kura zenu, kwa maana hakuna aliyewalazimisha mpange foleni siku ile." Basi wakainamisha nyuso zao kwa huzuni, wala wasiweze kumjibu. Naye akiisha kusema hayo akapita katikati yao akaenda zake bandarini``` *_(Watanzania 5:20)_*
Kitabu kinaitwaje mkuu
 
:):):):):)
 
Lakini hata kama ana itelegensia ya kumletea taarifa kwanini akizipata hizo taarifa asimuite waziri mhusika na kumwelekeza au kum-minyia hizo itelegensia? Kwani lazima ajitokeze yeye mwenyewe? Chain of command iko wapi? Collective responsility iko wapi? Ni vizuri mfumo ufanye kazi.... tukitegemea jitihada binafsi tutakwama.
 
Juzi nilijaribu kupita pita ile mitaa pengine bahati itakua upande wangu, huwezi kuamini!

Hata baiskeli sijabahatika
 
Juzi naibu waziri wa uvuvi naye aliokota samaki kirumba mza
Umenikumbusha wakati tukiwa watoto mvua zikinyesha tulikuwa "tunaokota" samaki aina ya kambale ila siku hizi mvua zikinyesha wakubwa "wanaokota" treni, magari nk.
 
Usanii tu. Utaokotaje vitu halafu baadaye uvinunue toka kutoka kwa mtu asiyejulikana!
 
Naombeni kujua wakuu wa JF

Napata shida sana kujua namna Rais wetu anavyoweza kuokota vitu kama magari,vichwa vya treni nk pale bandarini

Je, anakuwa katika ziara za kawaita tu then katika mizunguko ya hapa na pale ndio anapata kuokota?

Natambua kuwa Rais ana vyanzo na intelijensia kuwa katika maeneo nyeti. Hivyo taarifa humuijia. Lakini najiuliza kwa nini mpaka yeye tu ndio akaokote?

Nini maana ya mgawanyo wa majukumu?Hakuna vyombo vingine vya udhibiti. Kwa nini isiwe Mabosi wa bandari wenyewe,au PCCB na pengine waziri?

Naona kama watendaji wa Rais mnamkumbatisha Rais kila kitu matokeo yake anakuwa busy mpaka anakosa mda wa kuhudhuria misiba mizito. Matokeo yake mamlaka zingine zinadharaulika kwa kuwa hazina nguvu( Kama TCRA inavyodhalaulika na zile Channel 5)

Anyway kufupisha maelezo

Naomba kujua jinsi Rais anavyookota vitu pale bandarini
nchi hii kwa sasa ina mifumo mingi ya dili na ujanja sana.hata kufikia malengo kama ya wenzetu inakuwa ngumu,kulingana na mtu au watu kijiangalia wao kama wao.
unaweza kuchunguza hata mazingira yetu tu.usiende mbali mtaani tunapo ishi katika shuguli zetu,maisha yetu .hapo ndipo utakapo jua kuwa mizizi mpaka shina lenyewe aliwezi kuisha hata kidogo.ni ngumu mtu mmoja au wachache wanao taka kuleta mabadiliko yakafikia malengo.
 
Mbona kuna afisa wa pale bandarini alishasema kuwa wao ndio humwambia kunapokua na mzigo wenye mashaka (bila shaka amewaagiza wafanye hivyo), hivyo yeye huenda pale na vyombo vya habari ili apate kiki. Ni mzee wa misifa kama mtoto mdogo
 
BANDARI ya DAR ni sehemu muhimu na nyeti ktk kuingiza mapato Serikalini... Lazima padhibitiwe 24/7 !!
Hongera Rais JPM kusimamia...
 
Back
Top Bottom