Siku nyingine mkifanya matengenezo mfanye wakati ule watu wako busy. like karibu na annual reports or s/thng lyk dat..
otherwise, i'v missed u guys a lot!
Barakaz...
aaaaahhh....jamani sina hata la kuwaambieni kwa jinsi nilivyowakoseni.Natumaini kila mmoja alikuwa na sikukuu njema ya Pasaka.Toka Ijumaa kuu mpaka leo kwa mimi kuikosa JF ilikuwa ni adhabu kubwa sana...... wapendwa niliwakumbuka mno...sijui niiwekeje lakini nimegundua kuwa kila mmoja ana umuhimu wake kwangu....nawapenda sana.....xo xo xo
Preta naomba kiss lako ili kunithibitishia kweli ulini miss!
ama kwa hakika, zimwi likujualo halikuli likakwisha. JF ni kama zimwi, pamoja na kutuchukulia masaa yetu mengi, asubuhi, mchana, jioni na usiku wakati mwingine lakini bado tulilitamani na kuli miss kipindi hiki cha mabadiliko. I missed every member here. Am glad we are united again. C'mon, Lets talk.