Premij canoon
JF-Expert Member
- May 27, 2018
- 1,119
- 2,496
Kama una miaka 3 utakua si mgeni humu... Sasa nashangaa why watu wa JF wakuyumbishe akati we ni mkongwe humu.Hapana mkuu jf nina zaidi ya miaka 3 hadi mda huu sema kuna mda watu wa humu wanazingua kinoma wanajifanya wajuaji mkuu hii kitu uwa inanikera sana
Endeleza story mkuu