Jinsi nilivyotongoza jini bila kujua

Wakati nimelala kilikuja kitu kama moshi mweusi unatembea hewani nikawa nakemea badae ukaingia uvungun mwa kitanda nikakemea KWA hasira sana MWISHO wa siku ukatokea dirishani nikasitua nimesweat mwili mzima na nimeechoka siwez hata sogeza mkono huku nakemea KWA mbaaali BASI kukacha siku yapili tena hivyo hivyo na yatatu pia mbona nilifunga na kuomba na nyumban hakuna aliye jua siku ya nne hakuja na ikawa NDIO MWISHO yaani mambo haya acha kuna siku nyingine nilijistukia naangukia kwenye tv seburen wa manane akati nililala chumban ila sahiv nashukuru Mungu wabaya ubavu huo hawana wakija ni kichapo tu wanakimbia
Ulichookaaa..mhhhh jini huyuu
 
MUENDELEZO SEHEMU YA 04 JINSI NILIVYOKUTANA NA JINI MARIAMU
********************************************
Baai aliponiuliza ilo swali kuwa nimemuamini sasa?
Nikajibu hapa nimekuamini tayari mpenzi wangu basi nikamkumbatia nikampiga busu mbele ya asha ambae alionekana kama kuona kawivu flani basi nikamuaga na kuondoka kurudi ghetto kwangu siku hyo usiku tulikuwa tukichati kwa mahaba makubwa upendo wangu na mariamu ukazidi mno kiasi cha kumwambia kuwa nataka kumuoa ila cha ajabu mariamu aliniambia kwa mda huu hapana ila mda ukifika atanipa ruksa basi usiku ukapita na atimae siku nyingine ikawa imewadia nikaamka asubuhi saa moja na kuanza kwenda kazini kwangu siku hiyo nilipiga sana kazi hadi saa kumi baada ya hapo nikamuacha mwenzangu na kurudi home ili niende mazoezini lakini wakati narudi home mariamu akanitumia sms kuwa nipo njiani nakuja kitu kilichonifanya niongeze mwendo kuwahi home maana leo sikuwa na miadi nae ila nikasema labda tu ameamua kuja mtoto ananipenda huyu basi sasa nimefika home nafungua mlango namkuta mariamu amekaa kitandani kashafika mda sana nilishtuka sana kafikaje ila nikasema kwa sababu anajua funguo zilipo basi nikasalimiana nae akanikumbatia akaanza kunipiga denda na mimi sikuwa nyuma nikamshika kisawa sawa game ikaanza nilimpiga sana hadi muda wa saa 2 usiku tukawa tumefika wote kunako lakini cha ajabu mariamu aliniambia mara baada ya kumaliza kuwa leo atarudi kwao saa kumi usiku so bado. Ana mda kwa kuendelea kuwa nae leo nimekuja kwako kwaajili yako mume wangu nipe nitakachopenda tufurahi zaidi,
Kali yake ilinipa midadi mno kuendelea kufurahia penzi na mariamu leo basi baadae tulipika tukala tukawa tunapiga stori sana mimi na mariamu ila aliniuliza swali moja la mtego,
Hivi mume wangu ushawahi kuona jini na kwani jini anaweza kuolewa na mwanadamu na wakaishi pamoja?
Swali lake nilicheka sana nikamwambia mimi jini naliogopa na sijawahi kuliona akaniuliza kwanini nikamjibu nasikia majini yanauwa watu sana mariamu akacheka sana akaniambia kumbe mume wangu muoga wewe haya bhana,
Nikamuuliza mpenzi mbona umeniuliza hivyo akasema hamna nimeuliza tu lakini mimi sikujua kama ameniuliza ilo swali kimafumbo muda ukaenda wote tukapitiwa na usingizi mara ghafla nashangaa ananiamsha mume wangu saa kumi imefika naomba unisindikize nyumbani kucheki mda kweli saa kumi nikaamka na kuanza kumsindikiza ila nilimuuliza mbona usiku usiku na haogopi akajibu siogopi basi nikamsindikiza hadi uwanjani pale akaniambia ishia hapa hapa mimi naenda mwenyewe nikashangaa sana nikamuuliza unaendaje mwenyewe akanijibu.....

Wakuu nitaendelea leou usiku
 
Hapa bro unazingua sasa kutoa stor fupi fupi inachosha sana
 
Mkuu najua sema nisameeni maana now sipo free sana ila leo usiku nitajitahidi niandike simulizi ndefu
Watu wanakupa attention km yote kwenye story yako halafu unaanza tena kudharau attention yao.

Kwani unadhani wasomaji wa hii story yako hawana mishe za kufanya?

Kwann uwape shida ya kuja mara kwa mara kuchungulia muendelezo wa story yako?

Ulianzisha story kwa lengo lipi? Kama lengo ni Ku share ili watu wapate la kujifunza sasa kwa nn unafanya darasa lako kuwa na pyschological torture?

Halafu, Kwan usipo share unadhani watu watapungukiwa kitu?

Watu wakianza kusema hii ni chai unakuja juu watu wakianza kuendeleza unasusa.......wakati wewe ndo chanzo cha yote kuwadharau wasomaji wako.

Sawa buana....!
 
Duh mbona unatoa vipisi vidogo kama urefu wa sisimiz mkuu...
 
Watu wanakupa attention km yote kwenye story yako halafu unaanza tena kudharau attention yao.

Kwani unadhani wasomaji wa hii story yako hawana mishe za kufanya?

Kwann uwape shida ya kuja mara kwa mara kuchungulia muendelezo wa story yako?

Ulianzisha story kwa lengo lipi? Kama lengo ni Ku share ili watu wapate la kujifunza sasa kwa nn unafanya darasa lako kuwa na pyschological torture?

Halafu, Kwan usipo share unadhani watu watapungukiwa kitu?

Watu wakianza kusema hii ni chai unakuja juu watu wakianza kuendeleza unasusa.......wakati wewe ndo chanzo cha yote kuwadharau wasomaji wako.

Sawa buana....!
Umemchana
 
INAENDELEA
********************************************
Basi swali langu la mimi kumuuliza Asha kuhusu kumjua mariam lilimshtua sana unajua kwanini mtaani kwangu nilikuwa nasifika kama kijana mpole na wengi walikuwa hawajawahi kuniona na demu hata asha ni mwanamke flani alietokeaga kunionyesha dalili za kunipenda sema nikawa kama najifanya simuelewi,

Asha akacheka na wewe ushaanza mambo hayo inaonekana huyo mariamu kakukamata eeeh?

Then akaniambia mimi nawahi nyumbani si unajua bibi angu uwa anapenda wajukuu zake tuwe mda wote nyumbani akanipiga begani na mkono wake huku akicheka na kuondoka kwa mwendo wa madaha mtoto ana figa kweli ila mapepe nilijisemea moyoni na kuanza safari ya kurudi kwangu

********************************************
Siku hiyo ikawa imepita kimya kikitawala kati yangu na mpenzi wangu mariamu tulikuwa ni lazima haipiti siku bila kutumiana sms wala kupigiana simu nilishangaa ukimya wake lakini sikujali chochote basi asubuhi nimeamka saa moja nataka niende kutafuta kazi kuna kazi jamaa angu side aliniambia ya kuuza chipsi ni mda mrfu aliniambia bosi wake anatafuta mfanyakazi mwingine hivyo akaona kutokana na uaminifu wangu bora anipe ilo dili japo nilililitupaga kapuni ila unajua mda mwingine ukiwa hauna kazi unakumbuka kazi za nyuma ulizowahi kupewa

Sasa nikachukua simu yangu ili niangalie kama mpenzi wangu mariamu amenitumia hata sms yoyote, sikuamini nilipokutana amenitumia sms zaidi yakumi za kulalamika juu yangu sms zake alikuwa akilalamika kitu kilichonishangaza ni kuwa anadai eti namchunguza sana na simuamini kwanini simuamini ingawa yeye ananipenda hapendi kuona namchunguza sms ya mwisho alisema kuwa leo nakuja jioni naomba uwepo",

Sms zake zilinishangaza amejuaje kama namchunguza nikawaza hau asha kamwambia nini lakini asha si alisema hamjui mariamu sasa huyu demu kajuaje? Nilipigwa na butwaa japo nikaona labda ni mambo ya kawaida basi nikamcheki side na kumtaarifu kuwa nakuja ofisini kwake nimekubali kufanya kazi basi baada ya dk 30 nikawa nimefika kwa side nikamkuta anamenya viazi basi akanipa tano na stori za hapa na pale zikawa zinaendelea mimi na side ni washkaji sana tunaopendana sana na unajua hakuna kitu kizuri kama kufanya kazi na mtu unaeendana nae basi rasmi nikawa nimeanza kazi ya kuuza chipsi na side basi nilipiga kazi hadi majira ya saa tisa na nusu nikamwambia side oyaah kama nataka niende ghetto mara moja kuna mgeni aliniambia saa kumi anakuja side akacheka sana akaniuliza shemeji nini nikamjibu ndio akasema poa nenda ila fanya mpango kesho uwahi mapema mimi nitapiga kazi leo hadi saa4 ntafunga,

Basi nikaanza kuondoka kwenda gheto kwangu ile nakaribia ghetto mariamu akanitumia sms beiib mimi ndio nipo uwanjani pale nimekaribia kwako nikasema looh ikanibidi niongeze mwendo niwahi ghetto chafu maana nilikuwa nimepaacha vibaya mashuka sijatandika na ukiangalia mtoto ndio amekaribia

Basi nilipoingia tu ghetto sijakaa kama dk 2 nikaanza kusikia marashi makali harufu nzuri nikasema kimoyoni looh mtoto ameshafika huyo ile sijakaa sawa mtoto akagonga mlango hodi x3

Ikabidi nimfungulie sikuamini mtoto siku hiyo alikuwa amependeza sana sana alikuwa ananukia vizuri mnoo unajua sometime unaweza ukawa na demu mkal hadi ukawa unajiuliza ulimpataje pataje

Basi nikamshika kiuno mtoto akaingia ndani ila neno lake la kwanza mmmh beiib mbona gheto pachafu mimi sipendagi kupakuta hivi leo nataka nikufanyie usafi pakae sawa basi mtoto akaanza kufanya usafi pale ghetoni mimi nilikuwa tu nimetulia kitandani kiukweli nilikuwa nawaza vitu vingi kitu kilichokuwa kinanipa mashaka ni kwann mariamu aliniambia kuwa namchunguza simuamini amejuaje?
Itandelea wakuu hii ni simulizi ya kweli juu ya maisha yangu niliyowahi kuyapitia mwaka miaka mitano iliyopita kwa kuanza mahusiano na jini bila kujua atimae nikapata madhara makubwa ikiwemo upungufu wa nguvu za kiume pamoja na kufukuzwa kazini kisa tu ugomvi wangu ambao ulizuka mimi na mariamu sehemu ya tatu inayokuja yapo mengi katika simulizi hii nawaombeni mzidi kuifuatilia kwani mtajifunza mambo mengi nitaendeleea baadae saa tano wakuu mniwie radhi

MUENDELEZO BOFYA HAPA
Na siku zote ulikua wapi hadi hujatusimulia ktk magazete ya udaku? Na somo gani utatupatia leo ndani ya kizazi hiki. Wakati sisi binadamu tunatenda makubwa na maovu kuliko yao majini? Endelea kutumwagia chai ila usije utuambie tukuchangie kuchapisha kijitabu....😂😂😂😂
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom